Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
GOOD FOR YOU, UMAKINI NA RESEARCH YA KUTOSHA INAHITAJIKA SANANi kweli mkuu,nitajikita kwenye kupata mtu sahihi; nitaanza na wenye cheti kwanza
KUMBUKA NI HELA HIZO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GOOD FOR YOU, UMAKINI NA RESEARCH YA KUTOSHA INAHITAJIKA SANANi kweli mkuu,nitajikita kwenye kupata mtu sahihi; nitaanza na wenye cheti kwanza
Nchi za Jirani na Wananuzi wakubwa hawanunui kwako sababu tu una mzigo / mali bali pia long term relationship kwamba wewe unaaminika, unaweza uka-deliver na mzigo wako sio wa kubabaisha (ndio maana madalali hawaishi wala hawataisha) people like dealing with people they know....Kilimo kina changamoto nyingi sana, kuhusu soko mazingira yote nitayatumia; nita-email mazao yangu kwa nchi za jirani, fb, youtube na mitandao mengineyo
Nakubaliana na wazo lako, kupata mtu atakayejituma bila kuwa mbia ni changamotoTZ hiyo haiwez fanya kazi, Uaminifu zero,
Si unaona Mzee Pinda anaingia front mwenyewe
Tafuta kijana aliyemaliza Kilimo SUA, mtengeneze kampuni ya kilimo, mgawane shea wewe 70% yeye 30%,
70% yako ikiwa initial investment za kununua mashamba, vifaa vya kilimo, gharama za kulima plus mshahara kwa huyo kijana (lets say 300,000Tsh per month)
Hapo kijana atajituma kama mfanyakazi na kama mwenye kampuni, then in 3-5years ndo muanze gawana faida.
At least it can work ila initial cost itakuwa juu, ukishindwa hii ingia front mwenyewe
Nitafanyia utafiti mkuu, nitaanza na zao la viazi mviringoNchi za Jirani na Wananuzi wakubwa hawanunui kwako sababu tu una mzigo / mali bali pia long term relationship kwamba wewe unaaminika, unaweza uka-deliver na mzigo wako sio wa kubabaisha (ndio maana madalali hawaishi wala hawataisha) people like dealing with people they know....
Kwahio kwanza anza kwa ku-cultivate soko kabla ya production..., Unaweza ukaanza kutafuta market wakati hauna shamba..., mwaka huu tu Mwanzoni kuna wakulima walikosa soko la mahindi na mchele ulikuwa haujapanda kwa miaka mitatu mfululizo ungeweza kutafuta mali na kuuza kwa hilo soko lako la nje
Mwachie mkeKauli mbiu ni kufanya uzalishaji vijijini, na kuleta mauzo mjini. Kwa yeyote atakayependa wazo langu, anaruhusiwa kulitekeleza; elimu haina mwisho.
Nitaanza hivi:-
- Nitafungua kampuni yenye jina 'Equation x agricultural adventure'
- Nitatafuta binti wa kazi mpambanaji kweli kweli mwenye cheti cha kilimo
- Nitampiga semina ya wiki moja, ili aweze kuelewa ndoto zangu
- Nitampa safari ya kutembelea vijiji 10 vyenye ardhi ya rutuba katika mikoa 2, kwa kuanzia.
- Nitaingia mkataba wa miaka 2 au 5 kwa kukodi mashamba kwa kila kijiji nitakapofanikisha
- Itakuwa vizuri kama nitapata kuanzia ekari 5 kwa shamba
- Sehemu ambayo mkataba utaanzia miaka 5, nitapambana nichimbe kisima ili kilimo cha umwagiliaji kiwe rahisi.
- Wafanyakazi wa shambani watakuwa wanakijiji, pamoja na mtaalamu mmoja atakayekuwa anawazungukia.
- Nitalima zao la muda mfupi ambalo tayari soko lake nimeshaliona.
- Mi nitakuwa napambana mjini pamoja na kujibana, huku fedha zangu zikiwa zinaenda kijijini kwenye kilimo
- Baada ya mavuno, mazao yataletwa mjini kwa mauzo; nitatafuta kijana wa cheti cha mauzo.
- Mafanikio yakiwa vizuri, nitaongeza wigo kwa kuongeza mikoa mingine.
- Naimani, huu mradi utanilipa
Nawakaribisha kwa mawazo.
ha ha ha hii ni kazi ya kiume mkuuMwachie mke
Uwekezaji wa Kilimo Kwa mtanzania ambaye ni wakipato Cha kati ni mgumuKauli mbiu ni kufanya uzalishaji vijijini, na kuleta mauzo mjini. Kwa yeyote atakayependa wazo langu, anaruhusiwa kulitekeleza; elimu haina mwisho.
Nitaanza hivi:-
- Nitafungua kampuni yenye jina 'Equation x agricultural adventure'
- Nitatafuta binti wa kazi mpambanaji kweli kweli mwenye cheti cha kilimo
- Nitampiga semina ya wiki moja, ili aweze kuelewa ndoto zangu
- Nitampa safari ya kutembelea vijiji 10 vyenye ardhi ya rutuba katika mikoa 2, kwa kuanzia.
- Nitaingia mkataba wa miaka 2 au 5 kwa kukodi mashamba kwa kila kijiji nitakapofanikisha
- Itakuwa vizuri kama nitapata kuanzia ekari 5 kwa shamba
- Sehemu ambayo mkataba utaanzia miaka 5, nitapambana nichimbe kisima ili kilimo cha umwagiliaji kiwe rahisi.
- Wafanyakazi wa shambani watakuwa wanakijiji, pamoja na mtaalamu mmoja atakayekuwa anawazungukia.
- Nitalima zao la muda mfupi ambalo tayari soko lake nimeshaliona.
- Mi nitakuwa napambana mjini pamoja na kujibana, huku fedha zangu zikiwa zinaenda kijijini kwenye kilimo
- Baada ya mavuno, mazao yataletwa mjini kwa mauzo; nitatafuta kijana wa cheti cha mauzo.
- Mafanikio yakiwa vizuri, nitaongeza wigo kwa kuongeza mikoa mingine.
- Naimani, huu mradi utanilipa
Nawakaribisha kwa mawazo.
Ni mgumu sana mkuu, ila nimefanyia utafiti kiasi fulani; kama ukifanikisha sehemu za umwagiliaji unawezakupiga hatua fulaniUwekezaji wa Kilimo Kwa mtanzania ambaye ni wakipato Cha kati ni mgumu
Kwa mwanzoni, nitaanza na vijana wawili wenye certificate; mmoja kilimo, mwingine mauzo; hawa kazi yao ni kuzunguka kwenye masoko na shambani. Kwa kila shamba kijijini, nitatafuta mzee mtu mzima moja ambaye atakuwa anaripoti kwangu kimawasiliano.
Nitafanya hivyo mkuu, kwa sasa nitaanza na harakati za kutengeneza timuAll the best Mkuu
Ukiendelea kwa muda ulete mrejesho
- Mi nitakuwa napambana mjini pamoja na kujibana, huku fedha zangu zikiwa zinaenda kijijini kwenye kilimo.... yawezekanaukawa na wazo zuri sana, lakini hiyo[emoji115] point ya hapo juu ni tayari kosa namba moja la kiufundi.
Kama hauna milioni 50 kwa hiyo project yako unajidanganyaKilimo kina changamoto nyingi sana, kuhusu soko mazingira yote nitayatumia; nita-email mazao yangu kwa nchi za jirani, fb, youtube na mitandao mengineyo
Nitaanza kidogo kidogo; kuna baadhi ya vijiji kukodi shamba haizidi 50,000/= Na kuna mikoa mingine shamba la ekari moja linauzwa 200,000 au chini ya hapoKama hauna milioni 50 kwa hiyo project yako unajidanganya
Good idea ila approach yako itakucost utakula hasaraNitaanza kidogo kidogo; kuna baadhi ya vijiji kukodi shamba haizidi 50,000/= Na kuna mikoa mingine shamba la ekari moja linauzwa 200,000 au chini ya hapo
Nipe njia sahihi ili nisipate hasaraGood idea ila approach yako itakucost utakula hasara
Mkuu yote hiyo ni mipango mizuri.ukitaka ufanikiwe jibu rahisi na lazma wewe uwe front.habari ya kuambiwa dawa imeisha tuma ela.utakuja kulia vibaya tuulize sisi tuliokuwa hukuNipe njia sahihi ili nisipate hasara
Nitajitahidi kuwa makini sana kwenye kutengeneza timu, pia kubuni mfumo wa kudhibiti hizo changamoto. Kwa asili ya mwanadamu, bila kuwekewa mfumo wa kumdhibiti lazima atasababisha hasara tu, ndio maana hata makazini kunakuwa na miongozo mingi, kanuni, ukaguzi n.k hiyo yote ni kumdhibiti binadamu.Mkuu yote hiyo ni mipango mizuri.ukitaka ufanikiwe jibu rahisi na lazma wewe uwe front.habari ya kuambiwa dawa imeisha tuma ela.utakuja kulia vibaya tuulize sisi tuliokuwa huku
Hao wafanya kazi utalia labda uweke Managment ya Wahindi,Kauli mbiu ni kufanya uzalishaji vijijini, na kuleta mauzo mjini. Kwa yeyote atakayependa wazo langu, anaruhusiwa kulitekeleza; elimu haina mwisho.