Nina wazo la kufanya hii 'project' kwa mwaka 2022

Nina wazo la kufanya hii 'project' kwa mwaka 2022

Great contents so far,

Was thinking the same thing.

Mfano eka moja ukapanda mahindi 5,000 mabichi ukauza moja 300 Una 5000x300= 1,500,000 Kwa kilimo cha umwagiliaji cha solar ambavho hakina running cost technically.

Ukilima mara 2 au 3 kwa mwaka una 4.5m

Imagine everything scales proportionally expect positive response
Inawezekana kama tukithubutu kufanya; tukipeana hofu kabla ya kuingia field ni sawa na kuukumbatia umasikini
 
Interesting, hii project kama ilitaka kufanana na ya kwangu hv mpaka natamani tufanye patnership. Mi nimesoma kilimo ngazi ya cheti, na ninauzoef wa masuala ya pembejeo kidogo (nlikua dukani kuuza pembejeo for almost 5yrs) ardhi ninayo, na uwezekano wa kupata ya kukodi upo (kwa kijiji nilichopo) tatizo hela hapo ndo nlipokwamia....
Shamba lipo mkoa gani,na wanakodisha kwa kiasi gani? Na je lina miundo mbinu ya umwagiliaji?
 
Hongera kwa mwanga mzuri zaidi nilicho kipenda ni Ile kugawa kiasi na kuingiza kidgo kidgo NB don't pull all eggs in one bucket
 
Great contents so far,

Was thinking the same thing.

Mfano eka moja ukapanda mahindi 5,000 mabichi ukauza moja 300 Una 5000x300= 1,500,000 Kwa kilimo cha umwagiliaji cha solar ambavho hakina running cost technically.

Ukilima mara 2 au 3 kwa mwaka una 4.5m

Imagine everything scales proportionally expect positive response
Aisee
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kilimo cha PDF

hivi ile pisi kali uliyojiokotea counter bado ipo au
 
Too many unknowns..., sio kwamba haiwezekani but its not easy it needs dedication as there are ups and downs not plain sailing..., kwahio kama upo dedicated na unapenda unachofanya utachukua the rough with the smooth.... Kama una-enjoy the ride hata destination ikichelewe au usipofika bado unakuwa na furaha...
Minimeishia lasaba
 
Back
Top Bottom