Nina wazo la kufanya hii 'project' kwa mwaka 2022

Inawezekana kama tukithubutu kufanya; tukipeana hofu kabla ya kuingia field ni sawa na kuukumbatia umasikini
 
Shamba lipo mkoa gani,na wanakodisha kwa kiasi gani? Na je lina miundo mbinu ya umwagiliaji?
 
Hongera kwa mwanga mzuri zaidi nilicho kipenda ni Ile kugawa kiasi na kuingiza kidgo kidgo NB don't pull all eggs in one bucket
 
Aisee
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kilimo cha PDF

hivi ile pisi kali uliyojiokotea counter bado ipo au
 
Minimeishia lasaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…