Nina zaidi ya kilo 100 na nina umri wa miaka 19: Nifanyeje?

yan
Mimi njia ninayotumia kupunguza mwili uwa ni migogoro ya hapa na pale lazima nipungue .

Na wewe jaribu hiyo ,anza kuwakwaza majirani ili muanzishe ligi za kutukanana ,vamia mipaka yao wakushitaki kwenye baraza la ardhi ,ukirudi nyumbani usiku weka mziki mkubwa mpaka wasilale walale wanakutukana na asubuhi uitwe ofisi ya mtaa kwa kuwabugudhi watu ,wakisema ulipe faini kawashitaki PCCB ,wakiletwa watu wa NEMC kubali kulipa faini ila kama huna kubali wakuweke mahabusu ukikaa uko waombe ndugu waje wakutoe ,wakikutoa wambie hata bila wao ungeweza kujidhamini yaani iwe vita mpya na ndugu ,waite wachawi wote ndiyo wanaharibu akili yako yaani kikubwa usikose hekaheka nakuhakikishia haipiti miezi miwili utakuwa umepungua .

Mimi natumia njia hiyo nikihitaji niwe na mwili wa kawaida na uwa nafanikiwa vyema kabisa
yan maisha magumu inategemeana na damu yako
 
Sasa nakupa ushauri wa kitaalamu unaanza kuniambia habari za maisha magumu inategemea na damu yangu .

Basi baki na mwili wako uone kama mademu hawatakukimbia ,mimi nina mwili kama wako ila nikitaka nipate mademu nafanya hayo niliyokushauri nakuwa sawa ,sasa nakushauri alafu unakataa
 
me

me ni boy/kg118 futi kama nane
Wewe kwa urefu wa futi nane na kg 118 na umri huo provided ni mwanaume BMI (body mass index) ni 19.85 kg/m2

Maana yake huna tatizo lolote kimsingi una afya nzuri sana cha muhimu endeleza mazoezi na ku maintain huo uzito
Ungekua BMI imefika 25 na kuendelea basi ungekua na overweight chini ya 18 ungekua under weight
 
Wakuu

Nimejaribu kukimbia, kujibana sili chakula asubuhi wala mchana, nakula jioni ila uzito bado haupungui.

Nifanyeje kukabiliana na hali hii?
Anza diet kunywa supu ya utumbo wa mbuzi asubuhi na chapati 4 mchana kula kiti moto na ugali na usiku piga nyama choma na ugali au ndizi 3 na bia 5 utapungua vizuri mpaka utakuja kutuhadithia hapa
 
Kupungua mbona simple tu. La kufanya nenda benki wakupe mkopo wa kutosha kununua gari afu ununue gari bovu hela nyingine kunywa na marafiki sasa hilo gari likiwa bovu na mkopo unadaiwa benk > stress = kukonda ama kupungua kaz kwisha
 
Mm nilikuwa na kilo 124 ijapo umri ni mkubwa ukilinganisha na wa kwako
Lakini kwa sasa nina kg 86. Nilifanya yafuatayo

1. Nilipunguza sana chakula aina ya wanga na jamii yote ya ngano.

2. Niliachana na juis za viwandani pamoja na soda

3. Nilijitahd kila siku kutembea angalau km 2 kwa miguu (si kukimbia)

4. Asbh sana nilikunywa maji ya moto ya tangawizi+kitunguu+swaumu+asali (kama mbadala wa sukari)

5. Mchana nilikula matunda (nanasi+tango+watermelon) na maji ya kutosha,

6. Kabla ya chakula cha jioni nilikuwa nakunywa maji ya moto hapa nisipoweka unga wa majani ya mlonge bs nilikuwa naweka unga wa mbegu ya parachichi+asali)

7. Chakula cha usiku ni ugali kidogo sana( nusu ya vile vya mgahawani+mboga za majani kwa wingi na nyama nyeupe kaw ya kuku kidogo na nilikula na naendelea kula jamii ya samaki(dagaa na kuendelea)

8. Usipende usafiri wa pikipk au gari kama sio lazima (jitahd kutembea kwa mguu sana na mwendo mrefu)

NB: EPUKA SHUGULI ZA KINGONO (UKIMWI UNAUA)
UNAJUA KUNA KITAMBI CHA NGONO.
 
Kupungua mbona simple tu. La kufanya nenda benki wakupe mkopo wa kutosha kununua gari afu ununue gari bovu hela nyingine kunywa na marafiki sasa hilo gari likiwa bovu na mkopo unadaiwa benk > stress = kukonda ama kupungua kaz kwisha
wengine madeni hayawakondeshi mimi mmoja wapo mtadai mpka mchoke wala sijigusi ukitishia mnada naweka pingamizi mahakamani muda unaenda
 
Mimi njia ninayotumia kupunguza mwili uwa ni migogoro ya hapa na pale lazima nipungue .

Na wewe jaribu hiyo ,anza kuwakwaza majirani ili muanzishe ligi za kutukanana ,vamia mipaka yao wakushitaki kwenye baraza la ardhi ,ukirudi nyumbani usiku weka mziki mkubwa mpaka wasilale walale wanakutukana na asubuhi uitwe ofisi ya mtaa kwa kuwabugudhi watu ,wakisema ulipe faini kawashitaki PCCB ,wakiletwa watu wa NEMC kubali kulipa faini ila kama huna kubali wakuweke mahabusu ukikaa uko waombe ndugu waje wakutoe ,wakikutoa wambie hata bila wao ungeweza kujidhamini yaani iwe vita mpya na ndugu ,waite wachawi wote ndiyo wanaharibu akili yako yaani kikubwa usikose hekaheka nakuhakikishia haipiti miezi miwili utakuwa umepungua .

Mimi natumia njia hiyo nikihitaji niwe na mwili wa kawaida na uwa nafanikiwa vyema kabisa
Tatizo umri wake hajafikia bado kukutana na changamoto kama hizo,kwa umri huo wa 19 analelewa na wazazi so hata akianzisha hizo vurugu shida atawapa wazazi wake.
 
Mimi njia ninayotumia kupunguza mwili uwa ni migogoro ya hapa na pale lazima nipungue .

Na wewe jaribu hiyo ,anza kuwakwaza majirani ili muanzishe ligi za kutukanana ,vamia mipaka yao wakushitaki kwenye baraza la ardhi ,ukirudi nyumbani usiku weka mziki mkubwa mpaka wasilale walale wanakutukana na asubuhi uitwe ofisi ya mtaa kwa kuwabugudhi watu ,wakisema ulipe faini kawashitaki PCCB ,wakiletwa watu wa NEMC kubali kulipa faini ila kama huna kubali wakuweke mahabusu ukikaa uko waombe ndugu waje wakutoe ,wakikutoa wambie hata bila wao ungeweza kujidhamini yaani iwe vita mpya na ndugu ,waite wachawi wote ndiyo wanaharibu akili yako yaani kikubwa usikose hekaheka nakuhakikishia haipiti miezi miwili utakuwa umepungua .

Mimi natumia njia hiyo nikihitaji niwe na mwili wa kawaida na uwa nafanikiwa vyema kabisa
Hahaha
 
Back
Top Bottom