Nina zaidi ya kilo 100 na nina umri wa miaka 19: Nifanyeje?

Nina zaidi ya kilo 100 na nina umri wa miaka 19: Nifanyeje?

Sasa kama alizaliwa na kilo nne au tano lakini leo ana kilo mia na usheee si anatakiwa kupongezwa
Wewe umejuaje na sio kumpongeza umri wake na kilo zake hazifanani amtafute Baghdad Kweka atamwambia alifanyaje
Before
pg kweka.jpg

After
1483124_671770252843923_399033784_n.jpg
 
Humu kuna watoto wengi sana now days, Ndo maana nawaambiaga msijiachie sana na nyuzi zenu… Punguzeni ukali
 
Pole Kuna zile dawa za kikorea ukimeza unakuwa mwembamba sana unazijua?
Hii sidhani kama itakuwa na usalama kiafya kwake.

Mazoezi na kuepuka baadhi ya vyakula ndio njia salama.

Ishu ya mazoezi inataka nidhamu sio unapiga leo kesho una skip unasubiria misuli ipone.
 
Back
Top Bottom