Nina zaidi ya kilo 100 na nina umri wa miaka 19: Nifanyeje?

Nina zaidi ya kilo 100 na nina umri wa miaka 19: Nifanyeje?

118kg 5fut

Fanya mambo mawili kwa pamoja.

1. Tembea km 5-10 kwa siku.
Mdogo mdogo. (Asubh au jion)
Tenga masaa yako mawil tu yanatosha.

2. Chakula - punguza wanga na Sukari.
(Genes za Mwili wako zinashindwa kugeuza sukar na wanga kwensa kwenye energy na badala yake inazitunza na kuwa fat).
Kwahiyo intake ya vyakula vyenye wanga na sukar iwe ndogo.

Mazoez yatasaidia kuondoa fat iliyopo na diet chakula itafanya mwil usihifadh fat nyingne kwa uwingi.

Asubub usile maandazi, chapat, mkate au viporo.
Kula Mihogo au viazi vitamu au maboga au mayai 2 na maji.
Kama ni chai usiweke sukar nying.

Kati ya mchana au usiku amua ule mlo mmoja.
Na ukila bas kula ndizi za kupikwa na nyama + mboga za majan. Au ugali kidogo wa Sembe. Au wali uliooshwa mara nying nying kupunguza nutrients za wanga.

Nyama haina shida. Ila usile kwa wingi.

Na Usiku usile baada ya saa 2 usiku.

Ukimaliza mazoez kula matunda kama tikiti . Tango na ndizi mbivu (ila sio kwa sana . )

NB ukishindwa hayo yote kwasababu mbali mbali zilizo nje ya uwezo wako.
Basi kuna zile dawa mfano kuna kahawa unakunywa asubuh alaf inafanya ukose hamu ya kula. . Unakaa siku nzima hausikii njaa. Na mwil utatumia reserve yako ya mafuta kujimudu. Na utapungua.
Ila zile dawa zinafanya mwil kukosa nguvu.

Kwenye Nia pana Njia.
Kila la kheri dogo.
 
KULA SAHANI MOJA TU MARA MOJA TU KWA SIKU.
FASTING KUFUNGA.

NILIKUWA NA KILA 117 nimepungua mpaka 87 BAADA YA KUANZA KUFUNGA ..NA KUFUNGA KULA NI KWA AJILI YA MAOMBI NA KUSALI.

mfano nilifunga siku 3 kavu bila kula chakula chichote wala kunywa maji...tarehe 26,27 na 28 ya october 2025 niilikuwa naombea mambo fulani ya familia ,na huwa nafunga mara kwa mara nusu siku nimeshajizoesha kula mara moja tu kwa siku ,

HII NDIO NJIA RAHISI YA KUPUNGUZA MANYAMA NYAMA NA MAFUTA FUTA MWILINI.
 
nimepunguza kilo 30kg kupitia kufunga kula na kunywa nakula mara moja tu kwa siku na nimeshazoea...kutoka kilo 117 hadi 87 jaribu na wewe itakusaidia.
 
Una 8ft au 5ft?
Kama ni 8feet basi uko under weight kwa chini ya 4%
Kwa mujibu wa bmi kama una kilo 100 kwa fet 8 ilipaswa uwe na kilo kwa nzia 110-155 kwenda juu,usijipunje dogo..

Ila km uko 5ft basi pungua sana fuata ushauri wa kujinyima.
 
Kwa umri wako huo inaonesha bdo ww ni mwanafunzi kwaio nenda advance chagua combi kma PCB AU PCM utakuja kunishukuru ila usiende shule za kishua

Hii mbinu ilinikondesha mpka nikawa najiogopa
 
Una 8ft au 5ft?
Kama ni 8feet basi uko under weight kwa chini ya 4%
Kwa mujibu wa bmi kama una kilo 100 kwa fet 8 ilipaswa uwe na kilo kwa nzia 110-155 kwenda juu,usijipunje dogo..

Ila km uko 5ft basi pungua sana fuata ushauri wa kujinyima.
hapana fut 5ninazo
 
Back
Top Bottom