elisha felix
Member
- Jan 9, 2026
- 41
- 84
- Thread starter
-
- #21
yan maisha magumu inategemeana na damu yakoMimi njia ninayotumia kupunguza mwili uwa ni migogoro ya hapa na pale lazima nipungue .
Na wewe jaribu hiyo ,anza kuwakwaza majirani ili muanzishe ligi za kutukanana ,vamia mipaka yao wakushitaki kwenye baraza la ardhi ,ukirudi nyumbani usiku weka mziki mkubwa mpaka wasilale walale wanakutukana na asubuhi uitwe ofisi ya mtaa kwa kuwabugudhi watu ,wakisema ulipe faini kawashitaki PCCB ,wakiletwa watu wa NEMC kubali kulipa faini ila kama huna kubali wakuweke mahabusu ukikaa uko waombe ndugu waje wakutoe ,wakikutoa wambie hata bila wao ungeweza kujidhamini yaani iwe vita mpya na ndugu ,waite wachawi wote ndiyo wanaharibu akili yako yaani kikubwa usikose hekaheka nakuhakikishia haipiti miezi miwili utakuwa umepungua .
Mimi natumia njia hiyo nikihitaji niwe na mwili wa kawaida na uwa nafanikiwa vyema kabisa
Sio hongera wewe mwenzio anateseka unampa hongera?Hongera sana kwakuwa na kilo nyingi.
Una nia kweli ya kupungua au ndio unataka kujaribu kupungua?yan
yan maisha magumu inategemeana na damu yako
Sio kila mtu anafanikiwa kwa njia hio wengine hua ndio wananenepa zaidi mpaka wanaanza kuvimba miguu na kushindwa kutembea..Mimi natumia njia hiyo nikihitaji niwe na mwili wa kawaida na uwa nafanikiwa vyema kabisa
Sasa nakupa ushauri wa kitaalamu unaanza kuniambia habari za maisha magumu inategemea na damu yangu .yan
yan maisha magumu inategemeana na damu yako
me ni boy/kg118 futi kama naneUrefu wako tafadhali na hizo zaidi ya kilo mia ni kilo ngapi kua specific
Bila kusahau jinsia yako
Wewe kwa urefu wa futi nane na kg 118 na umri huo provided ni mwanaume BMI (body mass index) ni 19.85 kg/m2me
me ni boy/kg118 futi kama nane
Anza diet kunywa supu ya utumbo wa mbuzi asubuhi na chapati 4 mchana kula kiti moto na ugali na usiku piga nyama choma na ugali au ndizi 3 na bia 5 utapungua vizuri mpaka utakuja kutuhadithia hapaWakuu
Nimejaribu kukimbia, kujibana sili chakula asubuhi wala mchana, nakula jioni ila uzito bado haupungui.
Nifanyeje kukabiliana na hali hii?
me
me ni boy/kg118 futi kama nane
wengine madeni hayawakondeshi mimi mmoja wapo mtadai mpka mchoke wala sijigusi ukitishia mnada naweka pingamizi mahakamani muda unaendaKupungua mbona simple tu. La kufanya nenda benki wakupe mkopo wa kutosha kununua gari afu ununue gari bovu hela nyingine kunywa na marafiki sasa hilo gari likiwa bovu na mkopo unadaiwa benk > stress = kukonda ama kupungua kaz kwisha
Ongea na wemaWakuu
Nimejaribu kukimbia, kujibana sili chakula asubuhi wala mchana, nakula jioni ila uzito bado haupungui.
Nifanyeje kukabiliana na hali hii?
Ya kwangu ni scientifically approved by doctorSio kila mtu anafanikiwa kwa njia hio wengine hua ndio wananenepa zaidi mpaka wanaanza kuvimba miguu na kushindwa kutembea..
Tatizo umri wake hajafikia bado kukutana na changamoto kama hizo,kwa umri huo wa 19 analelewa na wazazi so hata akianzisha hizo vurugu shida atawapa wazazi wake.Mimi njia ninayotumia kupunguza mwili uwa ni migogoro ya hapa na pale lazima nipungue .
Na wewe jaribu hiyo ,anza kuwakwaza majirani ili muanzishe ligi za kutukanana ,vamia mipaka yao wakushitaki kwenye baraza la ardhi ,ukirudi nyumbani usiku weka mziki mkubwa mpaka wasilale walale wanakutukana na asubuhi uitwe ofisi ya mtaa kwa kuwabugudhi watu ,wakisema ulipe faini kawashitaki PCCB ,wakiletwa watu wa NEMC kubali kulipa faini ila kama huna kubali wakuweke mahabusu ukikaa uko waombe ndugu waje wakutoe ,wakikutoa wambie hata bila wao ungeweza kujidhamini yaani iwe vita mpya na ndugu ,waite wachawi wote ndiyo wanaharibu akili yako yaani kikubwa usikose hekaheka nakuhakikishia haipiti miezi miwili utakuwa umepungua .
Mimi natumia njia hiyo nikihitaji niwe na mwili wa kawaida na uwa nafanikiwa vyema kabisa
HahahaMimi njia ninayotumia kupunguza mwili uwa ni migogoro ya hapa na pale lazima nipungue .