MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Hakika ,hivi alisema ana umri gani vile ? Nimpe njia ya umri wake ,kweli hapo nilisahau ,hii njia ni ya vijebaTatizo umri wake hajafikia bado kukutana na changamoto kama hizo,kwa umri huo wa 19 analelewa na wazazi so hata akianzisha hizo vurugu shida atawapa wazazi wake.
Pale juu amesema ana 19!Hakika ,hivi alisema ana umri gani vile ? Nimpe njia ya umri wake ,kweli hapo nilisahau ,hii njia ni ya vijeba
Hakika ,elisha felix mwanangu ,fuata ushauri huu kijana wangu pale juu nilikuoverdoze ,pole sanaPale juu amesema ana 19!
Dogo bado kinda kabisa,huyu inabidi apunguze size ya chakula mezani na akimbize sana upepo.
πππTipwa tipwa tetema oooh mama tetema
ππTafuta stress (mwanamke mweupe mwenye wowowo)!π€
We jamaa chengaππMimi njia ninayotumia kupunguza mwili uwa ni migogoro ya hapa na pale lazima nipungue .
Na wewe jaribu hiyo ,anza kuwakwaza majirani ili muanzishe ligi za kutukanana ,vamia mipaka yao wakushitaki kwenye baraza la ardhi ,ukirudi nyumbani usiku weka mziki mkubwa mpaka wasilale walale wanakutukana na asubuhi uitwe ofisi ya mtaa kwa kuwabugudhi watu ,wakisema ulipe faini kawashitaki PCCB ,wakiletwa watu wa NEMC kubali kulipa faini ila kama huna kubali wakuweke mahabusu ukikaa uko waombe ndugu waje wakutoe ,wakikutoa wambie hata bila wao ungeweza kujidhamini yaani iwe vita mpya na ndugu ,waite wachawi wote ndiyo wanaharibu akili yako yaani kikubwa usikose hekaheka nakuhakikishia haipiti miezi miwili utakuwa umepungua .
Mimi natumia njia hiyo nikihitaji niwe na mwili wa kawaida na uwa nafanikiwa vyema kabisa
Eeh wengine tunazo chacheSio hongera wewe mwenzio anateseka unampa hongera?
Unamdhihaki daktari kaka ?We jamaa chengaππ
Ah we bwanaπ πUnamdhihaki daktari kaka ?
Mbna kama naona dalili zaπ , mwanaume kusema we ni boy mbele za watu ni ushogame
me ni boy/kg118 futi kama nane
ninayi nnia ya kwel kabsaUna nia kweli ya kupungua au ndio unataka kujaribu kupungua?
πππππTipwa tipwa tetema oooh mama tetema
ππππππ dadekiiiiii, wee hata kikojoleo kipo kwa ndani, tumbo limefunika potee.me
me ni boy/kg118 futi kama nane
ππππππOngea na wema
Mmeshakua brainwashed na π hadi mnakera sasa, hamjistukiii??.Mbna kama naona dalili zaπ , mwanaume kusema we ni boy mbele za watu ni ushoga
aliuliza jinsia ili aweze kunisaidiaMbna kama naona dalili zaπ , mwanaume kusema we ni boy mbele za watu ni ushoga
ebu mpe ndo uje ulete ushuhuda sio kupiga ramliππππππ dadekiiiiii, wee hata kikojoleo kipo kwa ndani, tumbo limefunika potee.
Sasa utadinya aje? Km una interest na sex??
Poleeee wee πππππ