Nina zaidi ya kilo 100 na nina umri wa miaka 19: Nifanyeje?

Humu kuna watoto wengi sana now days, Ndo maana nawaambiaga msijiachie sana na nyuzi zenu… Punguzeni ukali
 
Pole Kuna zile dawa za kikorea ukimeza unakuwa mwembamba sana unazijua?
Hii sidhani kama itakuwa na usalama kiafya kwake.

Mazoezi na kuepuka baadhi ya vyakula ndio njia salama.

Ishu ya mazoezi inataka nidhamu sio unapiga leo kesho una skip unasubiria misuli ipone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…