AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Ni kweli... Jinsi tulivyofundishwa shuleni namna ambavyo WAKOLONI WAZUNGU HASA WAINGEREZA WALIKUWA NI WATU MAKATILI, WANYANYASAJI, WABAGUZI WASIOJALI...
nikajiuliza maswali... Ukiangalia viongozi wengi waliokuwa rika la MWALIM NYERERE na wenzake na wazee wengine... Wanatueleza historia za maisha yao kielimu mpaka kisiasa wakati wa ukoloni...
Angalia historia ya mwalim nyerere mathalan, alisoma mpaka shule mbalimbali hapa nchi zilizojengwa na hao hao wazungu... Na katika shule hizo hakuwa nyerere pekee yake(kwamba eti walikuwa wanabagua watoto wa machifu)... Shule zilisheheni watoto wa kiafrika wengi tu. Waliofaulu walipelekwa kufanya kazi serikalini(ya kikoloni) idara mbalimbali. Wengine waliofaulu vizuri zaidi.
Walipandishwa ndege za hao hao wakoloni bure na kusomeshwa bure... Mfano mwalim nyerere alienda KAMPALA(nayo ilikuwa chini ya wakoloni) na mpaka kaenda EDINBURGH (Huko huko kwa wakoloni)... Amerudi akapewa kazi na serikali hiyo hiyo ya kikoloni mpaka akawa WAZIRI MKUU.
Mpaka hapo hakuna mahali nimeona WAKOLONI WALIMTESA NA KUMNYANYASA... kama tunavyoaminishwa kwenye historia MFU.
Nilijaribu kufanya utafiti kila nikipata nafasi ya kukaa na mzee ambae aliishi zama za ukoloni aniambie je walipata adha gani kutoka kwa wakoloni... Hakuna mzee hata mmoja aliniambia waliteswa na wakoloni... Na huduma za kijamii walipata kama kawaida japo zilikuwa chache kutokana na nchi ilikuwa bado iko nyuma...
Nikiangalia historia za walim wangu wa dini wakisimulia jinsi walivyosafiri kutoka sehemu mbalimbali nchini kuelekea ZANZIBAR, TANGA, MOMBASA NA LAMU... BILA BUGHUDHA NA TABU...
UBAYA WA WAKOLONI TUNAOFUNDISHWA KWENYE HISTORIA YA UONGO NI UPI?
Ukiangalia shule nyingi kongwe hapa nchini zilijengwa na wakoloni... Na nyingine bado zipo kwenye ubora wa majengo yaleyale yaliyojengwa na wakoloni... Ila hili serikali la waafrika wenzetu linafanya kazi ya kupiga rangi tu...
Barabara nyingi kuu zilichongwa na wakoloni...
Reli nayo ya kati... Vivyo hivyo...
Hospital mfano MUHIMBILI... Ni wakoloni hao...
Sehemu kubwa ya nchi yetu imeasisiwa na wakoloni kwa ubora mkubwa sana..
Sasa najiuliza ule uhuru tuliokuwa tunautafuta mpaka leo unamsaidiaje MTANZANIA... yaani kuna tofauti gani kimaisha kati ya zama za MKOLONI na KUJITAWALA WENYEWE.
NISHAELEWA UHURU TULIOTAFUTA NI KWA AJILI YA WATANZANIA WENZETU AMBAO WALIKUWA NA TAMAA YA MADARAKA... UHURU WA KISIASA NA KIUONGOZI...
Naamini kama tungekuwa chini ya mkoloni hii nchi mpaka leo ingekuwa mbali sana...
Naamini hata hawa CHADEMA, ACT CUF wanaojifanya wanatafuta ukombozi wetu... Ni uongo... UKOMBOZI WA MATUMBO YAO TU KAMA ILIVYO CCM inavyopigania tonge lake lisipokwe mdomoni...
NATAMANI HATA WAKOLONI WARUDI... KULIKO NCHI KUWA CHINI YETU WENYEWE... HATUWEZI KUJIONGOZA...