WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Tanganyika au hujui?Tanganyika au hujui/
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanganyika au hujui?Tanganyika au hujui/
Mwambie kwa busara kabisa huyo mzee wako akusaidie; 1. Wakati tunapata uhuru tulikuwa na madaktari bingwa wangapi. 2. Vyuo vikuu vingapi na lile jengo la Jitegemee Lumumba lilikuwa nini. 3. Barabara za lami ngapi na kwenda kwao mkoa wowote alitumia siku ngapi. 4. Shule za msingi ngapi. 5. Mahakama zilikuaje.Ni kweli... Jinsi tulivyofundishwa shuleni namna ambavyo WAKOLONI WAZUNGU HASA WAINGEREZA WALIKUWA NI WATU MAKATILI, WANYANYASAJI, WABAGUZI WASIOJALI...
nikajiuliza maswali... Ukiangalia viongozi wengi waliokuwa rika la MWALIM NYERERE na wenzake na wazee wengine... Wanatueleza historia za maisha yao kielimu mpaka kisiasa wakati wa ukoloni...
Angalia historia ya mwalim nyerere mathalan, alisoma mpaka shule mbalimbali hapa nchi zilizojengwa na hao hao wazungu... Na katika shule hizo hakuwa nyerere pekee yake(kwamba eti walikuwa wanabagua watoto wa machifu)... Shule zilisheheni watoto wa kiafrika wengi tu. Waliofaulu walipelekwa kufanya kazi serikalini(ya kikoloni) idara mbalimbali. Wengine waliofaulu vizuri zaidi.
Walipandishwa ndege za hao hao wakoloni bure na kusomeshwa bure... Mfano mwalim nyerere alienda KAMPALA(nayo ilikuwa chini ya wakoloni) na mpaka kaenda EDINBURGH (Huko huko kwa wakoloni)... Amerudi akapewa kazi na serikali hiyo hiyo ya kikoloni mpaka akawa WAZIRI MKUU.
Mpaka hapo hakuna mahali nimeona WAKOLONI WALIMTESA NA KUMNYANYASA... kama tunavyoaminishwa kwenye historia MFU.
Nilijaribu kufanya utafiti kila nikipata nafasi ya kukaa na mzee ambae aliishi zama za ukoloni aniambie je walipata adha gani kutoka kwa wakoloni... Hakuna mzee hata mmoja aliniambia waliteswa na wakoloni... Na huduma za kijamii walipata kama kawaida japo zilikuwa chache kutokana na nchi ilikuwa bado iko nyuma...
Nikiangalia historia za walim wangu wa dini wakisimulia jinsi walivyosafiri kutoka sehemu mbalimbali nchini kuelekea ZANZIBAR, TANGA, MOMBASA NA LAMU... BILA BUGHUDHA NA TABU...
UBAYA WA WAKOLONI TUNAOFUNDISHWA KWENYE HISTORIA YA UONGO NI UPI?
Ukiangalia shule nyingi kongwe hapa nchini zilijengwa na wakoloni... Na nyingine bado zipo kwenye ubora wa majengo yaleyale yaliyojengwa na wakoloni... Ila hili serikali la waafrika wenzetu linafanya kazi ya kupiga rangi tu...
Barabara nyingi kuu zilichongwa na wakoloni...
Reli nayo ya kati... Vivyo hivyo...
Hospital mfano MUHIMBILI... Ni wakoloni hao...
Sehemu kubwa ya nchi yetu imeasisiwa na wakoloni kwa ubora mkubwa sana..
Sasa najiuliza ule uhuru tuliokuwa tunautafuta mpaka leo unamsaidiaje MTANZANIA... yaani kuna tofauti gani kimaisha kati ya zama za MKOLONI na KUJITAWALA WENYEWE.
NISHAELEWA UHURU TULIOTAFUTA NI KWA AJILI YA WATANZANIA WENZETU AMBAO WALIKUWA NA TAMAA YA MADARAKA... UHURU WA KISIASA NA KIUONGOZI...
Naamini kama tungekuwa chini ya mkoloni hii nchi mpaka leo ingekuwa mbali sana...
Naamini hata hawa CHADEMA, ACT CUF wanaojifanya wanatafuta ukombozi wetu... Ni uongo... UKOMBOZI WA MATUMBO YAO TU KAMA ILIVYO CCM inavyopigania tonge lake lisipokwe mdomoni...
NATAMANI HATA WAKOLONI WARUDI... KULIKO NCHI KUWA CHINI YETU WENYEWE... HATUWEZI KUJIONGOZA...
🙏"Wakoloni" wabaya zaidi ni hawa wa ccm.
Wamepotosha kila kitu na kumfanya mtanganyika apoteze utu na uwezo wa akili yake!
Waulize wa- Algeria n.k.Hupo sawa kwani hao wakoloni hasa wazungu mpaka Leo wanaishi na ndugu zetu waafrika vizuri sana.Mfano Ufaransa
Bila Congo kunyonywa kungekuwa hakuna Belgium nzuri kama ya leo..., kifo cha kina Patrice Lumumba kina mkono wa hao,Ubelgiji
Hao walioko Australia sasa hivi ni waingereza ambao walipelekwa kule kama waharifu matokeo yako wakawakandamiza Aborigines; the rest is historyna hata Uingereza
that is now hao weusi ni waingereza n.k. kama vile wahindi wa huku na waarabu wa huku ni watanzania pure..., nadhani ifike wakati tufahamu utamaduni ndio unakufanya wewe uwe wa wapi / aina gani na sio babu yako alitokea wapi wakati wewe huko hujawahi hata kufikatimu zao za Taifa za kandanda zimejaa watu weusi tupu.Hawa jamaa Wana upendo wa Hali ya juu.
Hao marekani waliopo sasa wengi wavamizi wenye nchi red indians walifyekelewa mbali na kuangamizwa sasa hivi ni wa kutafuta in short waliopo wengi ni either waliletwa kutumikishwa au mababu zao walikuwa wanyanganyi walinyanganya ardhi ya wazawa...Angalia nchi Kama marekani au Italia mpaka weusi wanakuwa Marais au mawaziri.Kuna mataifa mengine hauwezi kuona watu
cultural differences ila in short humans are not good people..., hususan resources zikiwa chache animal instinct kicks in and its survival of the fittestweusi.Mfano:Japan,Korea.
Hukusoma waarabu ndio walikuwa na masoko makubwa ya utumwa hapa africa na hao wazungu ndio waliyaburn hayo masoko na kukomesha biaashara hiyo ya utumwa wa watu..?Ninavyoona mimi ni kwamba...
Walikwepo watu kutoka Asia (hususani waarabu) ambao walijikita kwa nyanja zote afrika na watu waliishi nao vizuri tu bila bugdha
SoundWikend hii wazee wa kazi lazma Mpige vitu vizito kupunguza depression
Ulichokiongea ndicho ninachokijua baada ya kuchimba sana! Na ndio ukweli wenyewe. Itoshe tu kusema wakoloni hawakuwa na baya lolote zaidi ya Propaganda za kipumbavu. Anayebisha aje na hoja hapa. Na akumbuke kuwa nimesoma na wala siringi.Ni kweli... Jinsi tulivyofundishwa shuleni namna ambavyo WAKOLONI WAZUNGU HASA WAINGEREZA WALIKUWA NI WATU MAKATILI, WANYANYASAJI, WABAGUZI WASIOJALI...
nikajiuliza maswali... Ukiangalia viongozi wengi waliokuwa rika la MWALIM NYERERE na wenzake na wazee wengine... Wanatueleza historia za maisha yao kielimu mpaka kisiasa wakati wa ukoloni...
Angalia historia ya mwalim nyerere mathalan, alisoma mpaka shule mbalimbali hapa nchi zilizojengwa na hao hao wazungu... Na katika shule hizo hakuwa nyerere pekee yake(kwamba eti walikuwa wanabagua watoto wa machifu)... Shule zilisheheni watoto wa kiafrika wengi tu. Waliofaulu walipelekwa kufanya kazi serikalini(ya kikoloni) idara mbalimbali. Wengine waliofaulu vizuri zaidi.
Walipandishwa ndege za hao hao wakoloni bure na kusomeshwa bure... Mfano mwalim nyerere alienda KAMPALA(nayo ilikuwa chini ya wakoloni) na mpaka kaenda EDINBURGH (Huko huko kwa wakoloni)... Amerudi akapewa kazi na serikali hiyo hiyo ya kikoloni mpaka akawa WAZIRI MKUU.
Mpaka hapo hakuna mahali nimeona WAKOLONI WALIMTESA NA KUMNYANYASA... kama tunavyoaminishwa kwenye historia MFU.
Nilijaribu kufanya utafiti kila nikipata nafasi ya kukaa na mzee ambae aliishi zama za ukoloni aniambie je walipata adha gani kutoka kwa wakoloni... Hakuna mzee hata mmoja aliniambia waliteswa na wakoloni... Na huduma za kijamii walipata kama kawaida japo zilikuwa chache kutokana na nchi ilikuwa bado iko nyuma...
Nikiangalia historia za walim wangu wa dini wakisimulia jinsi walivyosafiri kutoka sehemu mbalimbali nchini kuelekea ZANZIBAR, TANGA, MOMBASA NA LAMU... BILA BUGHUDHA NA TABU...
UBAYA WA WAKOLONI TUNAOFUNDISHWA KWENYE HISTORIA YA UONGO NI UPI?
Ukiangalia shule nyingi kongwe hapa nchini zilijengwa na wakoloni... Na nyingine bado zipo kwenye ubora wa majengo yaleyale yaliyojengwa na wakoloni... Ila hili serikali la waafrika wenzetu linafanya kazi ya kupiga rangi tu...
Barabara nyingi kuu zilichongwa na wakoloni...
Reli nayo ya kati... Vivyo hivyo...
Hospital mfano MUHIMBILI... Ni wakoloni hao...
Sehemu kubwa ya nchi yetu imeasisiwa na wakoloni kwa ubora mkubwa sana..
Sasa najiuliza ule uhuru tuliokuwa tunautafuta mpaka leo unamsaidiaje MTANZANIA... yaani kuna tofauti gani kimaisha kati ya zama za MKOLONI na KUJITAWALA WENYEWE.
NISHAELEWA UHURU TULIOTAFUTA NI KWA AJILI YA WATANZANIA WENZETU AMBAO WALIKUWA NA TAMAA YA MADARAKA... UHURU WA KISIASA NA KIUONGOZI...
Naamini kama tungekuwa chini ya mkoloni hii nchi mpaka leo ingekuwa mbali sana...
Naamini hata hawa CHADEMA, ACT CUF wanaojifanya wanatafuta ukombozi wetu... Ni uongo... UKOMBOZI WA MATUMBO YAO TU KAMA ILIVYO CCM inavyopigania tonge lake lisipokwe mdomoni...
NATAMANI HATA WAKOLONI WARUDI... KULIKO NCHI KUWA CHINI YETU WENYEWE... HATUWEZI KUJIONGOZA...
Ukatili na ubaya wa mkoloni yeyote, ni kukufanya ukawa na akili na ujinga kama ulionao wewe sasa hivi! Hilo ndilo baya sana! Yaani wewe kuwa na mawazo na akili kwamba mkoloni ni mzuri na uendelee kutawaliwa! Hasa hasa ubaya ndo huo. Kutojua kwanini wakoloni walielimisha watu wachache tu, kutofahamu kwanini walijenga miundo mbinu fulani tu na mahala fulani! Ubaya wa ukoloni na mkoloni ni mkubwa kuweza kuutambua kwa akili yako wewe - ila ukianza na Kutojua ubaya huo wewe mwenyewe, ndipo ukoloni ulivyo mbaya!Ni kweli... Jinsi tulivyofundishwa shuleni namna ambavyo WAKOLONI WAZUNGU HASA WAINGEREZA WALIKUWA NI WATU MAKATILI, WANYANYASAJI, WABAGUZI WASIOJALI...
nikajiuliza maswali... Ukiangalia viongozi wengi waliokuwa rika la MWALIM NYERERE na wenzake na wazee wengine... Wanatueleza historia za maisha yao kielimu mpaka kisiasa wakati wa ukoloni...
Angalia historia ya mwalim nyerere mathalan, alisoma mpaka shule mbalimbali hapa nchi zilizojengwa na hao hao wazungu... Na katika shule hizo hakuwa nyerere pekee yake(kwamba eti walikuwa wanabagua watoto wa machifu)... Shule zilisheheni watoto wa kiafrika wengi tu. Waliofaulu walipelekwa kufanya kazi serikalini(ya kikoloni) idara mbalimbali. Wengine waliofaulu vizuri zaidi.
Walipandishwa ndege za hao hao wakoloni bure na kusomeshwa bure... Mfano mwalim nyerere alienda KAMPALA(nayo ilikuwa chini ya wakoloni) na mpaka kaenda EDINBURGH (Huko huko kwa wakoloni)... Amerudi akapewa kazi na serikali hiyo hiyo ya kikoloni mpaka akawa WAZIRI MKUU.
Mpaka hapo hakuna mahali nimeona WAKOLONI WALIMTESA NA KUMNYANYASA... kama tunavyoaminishwa kwenye historia MFU.
Nilijaribu kufanya utafiti kila nikipata nafasi ya kukaa na mzee ambae aliishi zama za ukoloni aniambie je walipata adha gani kutoka kwa wakoloni... Hakuna mzee hata mmoja aliniambia waliteswa na wakoloni... Na huduma za kijamii walipata kama kawaida japo zilikuwa chache kutokana na nchi ilikuwa bado iko nyuma...
Nikiangalia historia za walim wangu wa dini wakisimulia jinsi walivyosafiri kutoka sehemu mbalimbali nchini kuelekea ZANZIBAR, TANGA, MOMBASA NA LAMU... BILA BUGHUDHA NA TABU...
UBAYA WA WAKOLONI TUNAOFUNDISHWA KWENYE HISTORIA YA UONGO NI UPI?
Ukiangalia shule nyingi kongwe hapa nchini zilijengwa na wakoloni... Na nyingine bado zipo kwenye ubora wa majengo yaleyale yaliyojengwa na wakoloni... Ila hili serikali la waafrika wenzetu linafanya kazi ya kupiga rangi tu...
Barabara nyingi kuu zilichongwa na wakoloni...
Reli nayo ya kati... Vivyo hivyo...
Hospital mfano MUHIMBILI... Ni wakoloni hao...
Sehemu kubwa ya nchi yetu imeasisiwa na wakoloni kwa ubora mkubwa sana..
Sasa najiuliza ule uhuru tuliokuwa tunautafuta mpaka leo unamsaidiaje MTANZANIA... yaani kuna tofauti gani kimaisha kati ya zama za MKOLONI na KUJITAWALA WENYEWE.
NISHAELEWA UHURU TULIOTAFUTA NI KWA AJILI YA WATANZANIA WENZETU AMBAO WALIKUWA NA TAMAA YA MADARAKA... UHURU WA KISIASA NA KIUONGOZI...
Naamini kama tungekuwa chini ya mkoloni hii nchi mpaka leo ingekuwa mbali sana...
Naamini hata hawa CHADEMA, ACT CUF wanaojifanya wanatafuta ukombozi wetu... Ni uongo... UKOMBOZI WA MATUMBO YAO TU KAMA ILIVYO CCM inavyopigania tonge lake lisipokwe mdomoni...
NATAMANI HATA WAKOLONI WARUDI... KULIKO NCHI KUWA CHINI YETU WENYEWE... HATUWEZI KUJIONGOZA...
HIZO NI POROJO TU...HAKUNA UKWELI WOWOTE...Mwambie kwa busara kabisa huyo mzee wako akusaidie; 1. Wakati tunapata uhuru tulikuwa na madaktari bingwa wangapi. 2. Vyuo vikuu vingapi na lile jengo la Jitegemee Lumumba lilikuwa nini. 3. Barabara za lami ngapi na kwenda kwao mkoa wowote alitumia siku ngapi. 4. Shule za msingi ngapi. 5. Mahakama zilikuaje.
6. Wewe mswahili kama uliweza kusafiri kwa ndege bila udhamini wa mhindi au mzungu (maana mswahili mshamba wewe ungetapika au kuruka). Mambo ni mengi lakini maana kubwa ya uhuru ni kwamba tunajitawala, hatuongozwi kutoka 10 downing street au chini ya usimamizi wa Duke of Edingburgh#Acha fikra za mabaharia arosto wa nchikavu.🙏🙏🙏
PROPAGANDA TU.Ulichokiongea ndicho ninachokijua baada ya kuchimba sana! Na ndio ukweli wenyewe. Itoshe tu kusema wakoloni hawakuwa na baya lolote zaidi ya Propaganda za kipumbavu. Anayebisha aje na hoja hapa. Na akumbuke kuwa nimesoma na wala siringi.
Hawakuelimishwa wachache...ila ufaulu ndio uliokuwa unapunguza watu...Ukatili na ubaya wa mkoloni yeyote, ni kukufanya ukawa na akili na ujinga kama ulionao wewe sasa hivi! Hilo ndilo baya sana! Yaani wewe kuwa na mawazo na akili kwamba mkoloni ni mzuri na uendelee kutawaliwa! Hasa hasa ubaya ndo huo. Kutojua kwanini wakoloni walielimisha watu wachache tu, kutofahamu kwanini walijenga miundo mbinu fulani tu na mahala fulani! Ubaya wa ukoloni na mkoloni ni mkubwa kuweza kuutambua kwa akili yako wewe - ila ukianza na Kutojua ubaya huo wewe mwenyewe, ndipo ukoloni ulivyo mbaya!