Ninaamini bila shaka historia ya nchi imeharibiwa makusudi kisiasa, sehemu kubwa ni uongo

Mwambie kwa busara kabisa huyo mzee wako akusaidie; 1. Wakati tunapata uhuru tulikuwa na madaktari bingwa wangapi. 2. Vyuo vikuu vingapi na lile jengo la Jitegemee Lumumba lilikuwa nini. 3. Barabara za lami ngapi na kwenda kwao mkoa wowote alitumia siku ngapi. 4. Shule za msingi ngapi. 5. Mahakama zilikuaje.

6. Wewe mswahili kama uliweza kusafiri kwa ndege bila udhamini wa mhindi au mzungu (maana mswahili mshamba wewe ungetapika au kuruka). Mambo ni mengi lakini maana kubwa ya uhuru ni kwamba tunajitawala, hatuongozwi kutoka 10 downing street au chini ya usimamizi wa Duke of Edingburgh#Acha fikra za mabaharia arosto wa nchikavu.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Wakoloni wote huwa sio watu wazuri ila wakoloni weusi ndio walioiharibu zaidi Africa.
 
Hupo sawa kwani hao wakoloni hasa wazungu mpaka Leo wanaishi na ndugu zetu waafrika vizuri sana.Mfano Ufaransa
Waulize wa- Algeria n.k.
,Ubelgiji
Bila Congo kunyonywa kungekuwa hakuna Belgium nzuri kama ya leo..., kifo cha kina Patrice Lumumba kina mkono wa hao
na hata Uingereza
Hao walioko Australia sasa hivi ni waingereza ambao walipelekwa kule kama waharifu matokeo yako wakawakandamiza Aborigines; the rest is history
timu zao za Taifa za kandanda zimejaa watu weusi tupu.Hawa jamaa Wana upendo wa Hali ya juu.
that is now hao weusi ni waingereza n.k. kama vile wahindi wa huku na waarabu wa huku ni watanzania pure..., nadhani ifike wakati tufahamu utamaduni ndio unakufanya wewe uwe wa wapi / aina gani na sio babu yako alitokea wapi wakati wewe huko hujawahi hata kufika
Angalia nchi Kama marekani au Italia mpaka weusi wanakuwa Marais au mawaziri.Kuna mataifa mengine hauwezi kuona watu
Hao marekani waliopo sasa wengi wavamizi wenye nchi red indians walifyekelewa mbali na kuangamizwa sasa hivi ni wa kutafuta in short waliopo wengi ni either waliletwa kutumikishwa au mababu zao walikuwa wanyanganyi walinyanganya ardhi ya wazawa...
weusi.Mfano:Japan,Korea.
cultural differences ila in short humans are not good people..., hususan resources zikiwa chache animal instinct kicks in and its survival of the fittest
usishangae when push comes to shove tukaanza kufukuzana kila mtu arudi kwao.... (sijui kwao ni wapi hapa chini ya jua, ambapo kila mtu ni kwao)
 
Ninavyoona mimi ni kwamba...
Walikwepo watu kutoka Asia (hususani waarabu) ambao walijikita kwa nyanja zote afrika na watu waliishi nao vizuri tu bila bugdha
Hukusoma waarabu ndio walikuwa na masoko makubwa ya utumwa hapa africa na hao wazungu ndio waliyaburn hayo masoko na kukomesha biaashara hiyo ya utumwa wa watu..?
 
Kitu muhimu kwa binadamu ni haki ya kujiamlia mambo yake mwenyewe,ndio uhuru wa kweli.

Tokea tupate uhuru kutoka kwa Mwingereza, watawala wapya kwa kutojiamini au kwa kukosa uzoefu wa uongozi walijitubukiza katika usultani usiokuwa na mipaka, usiotaka kuhojiwa,kushauriwa au kuwajibika kwa watawaliwa.
Kuna nyakati tofauti waliopinga ukandamizaji,na uporaji wa mali za umma ,wamefungwa,au kuwekwa kizuizini,kunyanganywa urai,na wakati mwingine kupotea au kutokea vifo vyao vyenye utata.

Kosa kubwa kwa mkoloni Mwingereza ilikuwa kuachia madaraka yote ya utawala kwa kipindi kifupi,huku akijua hajawatayarisha Watanganyika kujiongoza wao kama taifa.
Sasa hivi haiwezekani kumrudisha mkoloni,hata mwenyewe hataki kwa kuwa mazingira ya leo ni tofauti kabisa na yale miaka ya 60.
Kinachohitajika kwa watawala wetu ni kujenga utawala unaozingatia utu wa mtu.
 
Ulichokiongea ndicho ninachokijua baada ya kuchimba sana! Na ndio ukweli wenyewe. Itoshe tu kusema wakoloni hawakuwa na baya lolote zaidi ya Propaganda za kipumbavu. Anayebisha aje na hoja hapa. Na akumbuke kuwa nimesoma na wala siringi.
 
Ukatili na ubaya wa mkoloni yeyote, ni kukufanya ukawa na akili na ujinga kama ulionao wewe sasa hivi! Hilo ndilo baya sana! Yaani wewe kuwa na mawazo na akili kwamba mkoloni ni mzuri na uendelee kutawaliwa! Hasa hasa ubaya ndo huo. Kutojua kwanini wakoloni walielimisha watu wachache tu, kutofahamu kwanini walijenga miundo mbinu fulani tu na mahala fulani! Ubaya wa ukoloni na mkoloni ni mkubwa kuweza kuutambua kwa akili yako wewe - ila ukianza na Kutojua ubaya huo wewe mwenyewe, ndipo ukoloni ulivyo mbaya!
 
HIZO NI POROJO TU...HAKUNA UKWELI WOWOTE...
 
Ulichokiongea ndicho ninachokijua baada ya kuchimba sana! Na ndio ukweli wenyewe. Itoshe tu kusema wakoloni hawakuwa na baya lolote zaidi ya Propaganda za kipumbavu. Anayebisha aje na hoja hapa. Na akumbuke kuwa nimesoma na wala siringi.
PROPAGANDA TU.
 
Hawakuelimishwa wachache...ila ufaulu ndio uliokuwa unapunguza watu...
Kuna watu walioishia darasa la 4 wengine hata la 8 hawakufika...

Vilevile...hii elimu mnaosomeshwa wengi ina viwango gani na faida gani?...au wengi wape.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…