Size yetu ni kuhakikisha TL anafungwa ananyamazishwa asiongee ujinga wetu.Kupitia maonesho ya hii parade ya wachina kutimiza miaka 80 toka vita vya pili vya dunia baada ya kumnyuka Japan.
Kama taifa la Tanzania na bara zima la Afrika tujitafakari kidogo kwa kweli tupo nyuma kiulinzi.
Kwa hizi silaha wachina walizo amua kutuonesha japo nina mashaka kama wameonesha zote kabisa walizo nazo tupo nyuma sana ndugu zangu.
Tusijiongopee wakuu tumeachwa mbali sana hizi silaha tulizo nazo kwetu sijui hawa mabwana wameziacha store maana hapa sioni huu uchafu wetu naona vitu vizito vizito mpaka inatisha siku tukianzisha ka vita ka kirafiki sisi na wao maana kamanda wetu mmoja wa JW alisema sisi ni jeshi la sita kwa ubora😁
Ukitazama kwenye documentaries silaha walizokuwa wakitumia wachina wakati wanapambana na Japan na vita vya wenyewe kwa wenyewe ni magobore ya ajabu ajabu hata airforce walikuwa hawana wala jeshi la wana maji linalo jitambua ila leo wanaonesha vyuma vizito hapa.
Sisi bado tumejaza magobore
Sawa.Marekani haijawahi fanya military parade hata siku moja Silaha zao siri
Na miaka inavyozidi kwenda ndio tunazidi kuachwa nyuma zaidi kwasababu wenzetu wanajenga juu ya misingi waliyojiwekea miaka ya nyuma. Sisi hata kwenye msingi bado 🙁Dunia ipo kasi mkuu ni sisi tu tumebaki nyuma nyuma kwa kila kitu.
😀Kuna clip mwandishi wa habari wa bbc anamhoji waziri wa mambo ya nje ya china kuwa china ni rafiki, adui au mshindani wa uingereza.
Aisee jamaa alimpa jibu moja matata.
Akamwambia wao kama china hawaoni kama ni washindani wa uingereza katika chochote.
Akaanza kumtajia vitu ambavyo wanaongoza kuanzia mauzo ya EVs, export, ugunduzi na research, gdp n.k akasema kwa hiyo hakuna wanachoshindana na mwingereza maana wao ama ni wa kwanza au wa pili nyuma ya marekani katika kila kitu.
Akasema wao wanachokiona ni kuwa uingereza ni taifa tu ambalo wanapaswa kushirikiana nalo kwa amani wala si mshindani kwa lolote.
lini acha uongo.
Wanastahili pongezi kwa walipotoka,walipo na wanapokwenda sio kazi ndogo kabisaYoutube wale wanatengeneza content za kusafiri toka ulaya wanasema wazi kuwa china ina moundombinu, usafi kuliko kwao. Kuna mmoja toka Uingereza akasema amegundua kuwa nchi yake kwa sasa ni 3rd world country baada ya kufika china
Sijajua kwa kweli maana nae Russia sio mwepesi ana mavyuma mazito kweliChina kijeshi huenda ni taifa kubwa kuliko hata Urusi (japo kazidiwa wingi wa silaha za nyuklia).
T14 Armata Lee Van free
Tujitahidi kuzaa tusiogope, kila familia ikiwa na watu 10 tutawafikia tu. Jeshi linahitaji watu, na shughuli za kiuchumi zinahitaji watu pia.Idadi ya Wachina ni sawa na Waafrika wote.
😁 Ila wabongo kwamba Sasha alisomea ususi Pakistan akashibdane na wakina Xi kazi kweli kweliCCM mgombea wao wa Urais aliombewa kufaulu darasa la saba na baba yake, CV yake ni ya mtu kasoma Lahore Pakistan, sasa imagine utashindana na China kwa lipi, Marais wa nchi ndio wanatarajiwa kuwa taswira ya taifa ila wetu ni ...
Wachina ni zaidi wapo 2.4B Africa tupo 1.3BIdadi ya Wachina ni sawa na Waafrika wote.