Ninahisi nimepata gonjwa la zinaa ila dawa zote zimedunda

Kapima mkojo,magonjwa ya zinaa na kipimo cha damu full hamna kitu.na amechoka sindano tano+dozi ya siku 10 bado pia hamna
Japo yeye haka dalili zozote Ila nilivyokuwa nawaelezea madokta wakawa wanasema mlete na yeye. Kwahyo kuna baadhi ya dozi tumetumia wote Ila mnamaliza dozi mm najisikia nafuu namuacha Kama siku 10 nakutana nae ngoma inaanza moja tena
 
Japo yeye haka dalili zozote Ila nilivyokuwa nawaelezea madokta wakawa wanasema mlete na yeye. Kwahyo kuna baadhi ya dozi tumetumia wote Ila mnamaliza dozi mm najisikia nafuu namuacha Kama siku 10 nakutana nae ngoma inaanza moja tena
Hebu jaribu kuonana na huyo dr. uliyemsema kisha kama utapima basi na mama apime pia. Mkianza kutumia dawa wote mhakikishe mnamaliza, na kikubwa baada ya kumaliza kutumia dozi uchukuwe wiki kadhaa (hata mbili au tatu) kabla ya kushiriki tendo.

Yawezekana mnaanza kushiriki tendo mapema kabla vimelea havijafa vyote.
 
sawa sawa, shukrani sana
 
Tumia VANCOMYCIN. Kilichokuathiri kina drug resistance hakisikii dawa kiboko yake ndo huyo mjomba apo.
 
Unapiga punyeto? Au umelogwa?
Jaribu dawa mchina.
Au mwarubaini chemsha kunywa na shubiri lowest kunywa.
 
Nimeambiwa nisitumie dawa tena mpaka nijue tatizo ni nini. Hapa nasubiri nionane na urologist (dokta bingwa wa magonjwa ya njia ya mkojo) alhamis ya wiki hii nahisi atanisaidia
inawezekana ww unaponaga kabisa ila mkeo ndo anakurudishia gonjwa mana wao huwa asilimia kubwa hawaonyeshi dalili mapema ww unaweza kujitibu vizuri afu yeye akawela asipone hapo ndio mnapeana tu mambo cha msingi ulipoenda kufanya vipimo vingi ungeenda nae apime vipimo vyote kama vyako ili mujue tatizo lipo kwa nani hasa hasa
 
alafu kabla ya kukutana hakikisheni mnapima tena kumaliza dozi haina maana kuwa umepona unatakiwa kupima tena mujipe muda wa kutoshiriki tendo hata mwezi uone kama utaumwa tena
 
Kweli kabisa, hyo n mojawapo ya sababu pia
 
alafu kabla ya kukutana hakikisheni mnapima tena kumaliza dozi haina maana kuwa umepona unatakiwa kupima tena mujipe muda wa kutoshiriki tendo hata mwezi uone kama utaumwa tena
Point ya maana hii, inabid niwe na subira sana baada ya matibabu
 
Kama uliwahi kula mke wa mtu,,basi nenda katubu kwa mwenye mke..
Utakuja kunishukuru baadae.

Kama mume ni muislam basi unatakiwa siku ya kwenda kutubu uwe na vifaa vifuatavyo.
--sumu ya panya
--Panga kali
--Rungu
--Mundu.

Ukifika mkabidhi hivyo vifaa halafu mpe story nzima.
Yeye ataamuq cha kukufanya ili msamaha wake upite.
 
Mkuu katika maelezo yako hujasema kwamba umewahi kuchepuka au mkeo kuchepuka,sasa kama ni ugonjwa wa ngono umetoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…