Ninahitaji mwenyeji USA jimbo lolote ila Texas ni much preferable

Mabange

Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
71
Reaction score
137
Ni matumaini yangu nyote mu bukheri wa afya, namshukuru mwenyezi Mungu mimi ni mzima na naendelea na mapambano kama kawaida. Mimi ni mwanaume kijana mwenye passion ya kusafiri na kuishi USA especially kiutafutaji japo ninandoto za kuinvest hapa nyumbani TZ.

Nimeamua kuliweka hili humu jf kwani ninaamini japo wabongo tunakunja lakini pia wapo wabongo elites na positive minded wanaopenda kuwapa nafasi wengine pia wafanikiwe lakini pia nikiamni jf ni link kubwa ya wabongo dunia mzima.

Kabla ya yote ningependa kutoa historia yangu kiufupi maana najua kuna wachimba chumvi washaanza kukunja wakidhani mimi ni kijana mdebwedo ninaetaka kuikimbia bongo kwa kushindwa maisha au kwa uvivu wa kufikiri, la'hasha binafsi ninaitaji another challenge of life kuna baadhi ya mambo hapa nyumbani naweza sema nimeshaaccomplish especilly yale mahitaji muhimu kasoro tu kuoa, kuhusu nyumba, kipato, business n.k tayari kitambo.

Mimi ni mtu wa bidii sana linapokuja suala zima la kukaza/utafutaji na pia kuhusu safari sijaanza juzi wala jana maana mara yangu ya kwanza kuapply visa(US visa) nilikua kijana mdogo sana nilikua 18yrs old hapo nishadrop college akili inawaza mbele tu huniambii kitu haimaanishi nilifeli hapana mimi ni kichwa sana ila sikuona umuhimu wa elimu, money was on my mind like crazy..😅 kiukweli my visa was denied it was a student visa, kutokana na mambo ya kuungaunga pesa ilikua ni tatizo nakumbuka visa fee tu ilikua mtihani nikajikuta nafanikisha muda umeisha so visa officer aliniambia nikaaply upya nikaona sio kweli ukizingatia visa fee ya US ni karibu milioni nikaona no way bora nicheki mambo mengine ya kufanya.

From there nilikisanua SA nikaspend some couple of years (5yrs) with ups and down (that's another story thou nikipata muda nitaandika) lakini pia nilishaishi botswana na namibia katika vipindi tofauti so expossure ya maisha ya nje ipo kiasi chake.

Turudi kwenye mada sasa, binafsi ninaweza kujipambania kuhusu visa but ningehitaji ushauri maana kama tourist visa hainishindi kuapply na kupata maana kama ni vigezo vyote ninavyo including assets,money in the bank simaanishi bank statements za michongo nono mzigo ninao wa kunitosha tu kusafiri, hata cheti cha ndoa ikiitajika nitafyatua tu sio ishu, but vipi nitapata mtu USA wa kunihifadhi kwa muda pia kunielekeza michongo maana siamini kama wote walio states walienda kusoma I believe some went with tourist's visas then mpaka leo wako wanakomaa na life, so kama una hiyo experience jaribu kushare nasi au kama hutaki kumwaga mchele kwenye kware wengi zama inbox yangu nipe elimu pia visa ipi ni nzuri kusafiria kuja huko? najua mpo humu diaspora USA tafadhari mnisaidie kwa hili mtanzania mwenzenu mwenye uchu wa maendeleo. Asanteni kwa muda wenu mliotumia kusoma gazeti hili.
 
Ni matumaini yangu nyote mu bukheri wa afya, namshukuru mwenyezi Mungu mimi ni mzima na naendelea na mapambano kama kawaida. Mimi ni mwanaume kijana mwenye passion ya kusafiri na kuishi USA especially kiutafutaji japo ninandoto za kuinvest hapa nyumbani TZ. Nimeamua kuliweka hili humu jf kwani ninaamini japo wabongo tunakunja lakini pia wapo wabongo elites na positive minded wanaopenda kuwapa nafasi wengine pia wafanikiwe lakini pia nikiamni jf ni link kubwa ya wabongo dunia mzima.

Kabla ya yote ningependa kutoa historia yangu kiufupi maana najua kuna wachimba chumvi washaanza kukunja wakidhani mimi ni kijana mdebwedo ninaetaka kuikimbia bongo kwa kushindwa maisha au kwa uvivu wa kufikiri, la'hasha binafsi ninaitaji another challenge of life kuna baadhi ya mambo hapa nyumbani naweza sema nimeshaaccomplish especilly yale mahitaji muhimu kasoro tu kuoa, kuhusu nyumba, kipato, business n.k tayari kitambo.

Mimi ni mtu wa bidii sana linapokuja suala zima la kukaza/utafutaji na pia kuhusu safari sijaanza juzi wala jana maana mara yangu ya kwanza kuapply visa(US visa) nilikua kijana mdogo sana nilikua 18yrs old hapo nishadrop college akili inawaza mbele tu huniambii kitu haimaanishi nilifeli hapana mimi ni kichwa sana ila sikuona umuhimu wa elimu, money was on my mind like crazy..[emoji28] kiukweli my visa was denied it was a student visa, kutokana na mambo ya kuungaunga pesa ilikua ni tatizo nakumbuka visa fee tu ilikua mtihani nikajikuta nafanikisha muda umeisha so visa officer aliniambia nikaaply upya nikaona sio kweli ukizingatia visa fee ya US ni karibu milioni nikaona no way bora nicheki mambo mengine ya kufanya. From there nilikisanua SA nikaspend some couple of years (5yrs) with ups and down (that's another story thou nikipata muda nitaandika) lakini pia nilishaishi botswana na namibia katika vipindi tofauti so expossure ya maisha ya nje ipo kiasi chake.

Turudi kwenye mada sasa, binafsi ninaweza kujipambania kuhusu visa but ningehitaji ushauri maana kama tourist visa hainishindi kuapply na kupata maana kama ni vigezo vyote ninavyo including assets,money in the bank simaanishi bank statements za michongo nono mzigo ninao wa kunitosha tu kusafiri, hata cheti cha ndoa ikiitajika nitafyatua tu sio ishu, but vipi nitapata mtu USA wa kunihifadhi kwa muda pia kunielekeza michongo maana siamini kama wote walio states walienda kusoma I believe some went with tourist's visas then mpaka leo wako wanakomaa na life, so kama una hiyo experience jaribu kushare nasi au kama hutaki kumwaga mchele kwenye kware wengi zama inbox yangu nipe elimu pia visa ipi ni nzuri kusafiria kuja huko? najua mpo humu diaspora USA tafadhari mnisaidie kwa hili mtanzania mwenzenu mwenye uchu wa maendeleo. Asanteni kwa muda wenu mliotumia kusoma gazeti hili.
Kwanini wafia dini wa imani ile hawawazagi kabisa kutafuta visa ya kwenda Saud Arabia, Iraq, Iran, Afghanistan n.k. zaidi ya USA na Ulaya tu [emoji848][emoji87]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ni matumaini yangu nyote mu bukheri wa afya, namshukuru mwenyezi Mungu mimi ni mzima na naendelea na mapambano kama kawaida. Mimi ni mwanaume kijana mwenye passion ya kusafiri na kuishi USA especially kiutafutaji japo ninandoto za kuinvest hapa nyumbani TZ. Nimeamua kuliweka hili humu jf kwani ninaamini japo wabongo tunakunja lakini pia wapo wabongo elites na positive minded wanaopenda kuwapa nafasi wengine pia wafanikiwe lakini pia nikiamni jf ni link kubwa ya wabongo dunia mzima.

Kabla ya yote ningependa kutoa historia yangu kiufupi maana najua kuna wachimba chumvi washaanza kukunja wakidhani mimi ni kijana mdebwedo ninaetaka kuikimbia bongo kwa kushindwa maisha au kwa uvivu wa kufikiri, la'hasha binafsi ninaitaji another challenge of life kuna baadhi ya mambo hapa nyumbani naweza sema nimeshaaccomplish especilly yale mahitaji muhimu kasoro tu kuoa, kuhusu nyumba, kipato, business n.k tayari kitambo.

Mimi ni mtu wa bidii sana linapokuja suala zima la kukaza/utafutaji na pia kuhusu safari sijaanza juzi wala jana maana mara yangu ya kwanza kuapply visa(US visa) nilikua kijana mdogo sana nilikua 18yrs old hapo nishadrop college akili inawaza mbele tu huniambii kitu haimaanishi nilifeli hapana mimi ni kichwa sana ila sikuona umuhimu wa elimu, money was on my mind like crazy..😅 kiukweli my visa was denied it was a student visa, kutokana na mambo ya kuungaunga pesa ilikua ni tatizo nakumbuka visa fee tu ilikua mtihani nikajikuta nafanikisha muda umeisha so visa officer aliniambia nikaaply upya nikaona sio kweli ukizingatia visa fee ya US ni karibu milioni nikaona no way bora nicheki mambo mengine ya kufanya. From there nilikisanua SA nikaspend some couple of years (5yrs) with ups and down (that's another story thou nikipata muda nitaandika) lakini pia nilishaishi botswana na namibia katika vipindi tofauti so expossure ya maisha ya nje ipo kiasi chake.

Turudi kwenye mada sasa, binafsi ninaweza kujipambania kuhusu visa but ningehitaji ushauri maana kama tourist visa hainishindi kuapply na kupata maana kama ni vigezo vyote ninavyo including assets,money in the bank simaanishi bank statements za michongo nono mzigo ninao wa kunitosha tu kusafiri, hata cheti cha ndoa ikiitajika nitafyatua tu sio ishu, but vipi nitapata mtu USA wa kunihifadhi kwa muda pia kunielekeza michongo maana siamini kama wote walio states walienda kusoma I believe some went with tourist's visas then mpaka leo wako wanakomaa na life, so kama una hiyo experience jaribu kushare nasi au kama hutaki kumwaga mchele kwenye kware wengi zama inbox yangu nipe elimu pia visa ipi ni nzuri kusafiria kuja huko? najua mpo humu diaspora USA tafadhari mnisaidie kwa hili mtanzania mwenzenu mwenye uchu wa maendeleo. Asanteni kwa muda wenu mliotumia kusoma gazeti hili.
Huko DM uwe makini. Umesema mawe unayo so Angalia Sana utaopoa Chawa akuhande uutoe mkwanja.

Hiyo ni moja.. pili Wewe umesema umejipambanua financially Upo vizuri... Sasa mbona unazunguruka..kama ishu ni visa fee tu papo hapo ungesha apply..why tena ulipoteza muda south.

Anyway uwe makini. I dea ya kuruka ka dent imetulia.

Najua lazima uwe na kiasi Cha ada benki.

Uwe na Chuo ulichokubaliwa.

Sehemu ya kufikia nk.

Kwa stail yako uendaji wako don't bother kwenda kusumbuana na wabongo, hawaendi..Mzee utashuka airport mara jamaa anakausha, na simu anazima.

Kikubwa Hela ya ada ndio hiyohiyo utaanzia maisha, ya ada itatafuta. Mcheki EMB scholar atakisadia kikubwa hatataka ukawe chawa
 
EBM Scholar apewe kadi za CCM
 
Enyi Diaspora mje kumsaidia huyu kijana wa Kihaya anatamani kuja Marekani ila mpunga hautoshi kujikimu.
 
Hivi Arizona ni jimbo au mkoa anyway Mr ma weed welcome much in Arizona,tuvute kitu cha chuga. [emoji849]
 
Huko DM uwe makini. Umesema mawe unayo so Angalia Sana utaopoa Chawa akuhande uutoe mkwanja.

Hiyo ni moja.. pili Wewe umesema umejipambanua financially Upo vizuri... Sasa mbona unazunguruka..kama ishu ni visa fee tu papo hapo ungesha apply..why tena ulipoteza muda south.

Anyway uwe makini. I dea ya kuruka ka dent imetulia.

Najua lazima uwe na kiasi Cha ada benki.

Uwe na Chuo ulichokubaliwa.

Sehemu ya kufikia nk.

Kwa stail yako uendaji wako don't bother kwenda kusumbuana na wabongo, hawaendi..Mzee utashuka airport mara jamaa anakausha, na simu anazima.

Kikubwa Hela ya ada ndio hiyohiyo utaanzia maisha, ya ada itatafuta. Mcheki EMB scholar atakisadia kikubwa hatataka ukawe chawa
Nashukuru kwa ushauri bro ila kuhusu kupigwa haiwezi tokea maana mimi mwenyewe bontown kitambo sana na wala sijaja kuomba msaada wa kupata visa hapa nahitaji chanel hukohuko states sio hapa bongo hapa siitaji msaada thanks. Kipindi ninaaply US visa still nilikua mdogo sijaanza kutafuta SA nimeenda nikiwa mdogo pia na sio kupoteza mida ile ilikua shule ya maisha maana nilirudi bongo na nikawakuta raia na nikawapita maendeleo so no regrets so far anyways lets talk about unyamwezini aka USA.
 
Back
Top Bottom