Ninahitaji mwenyeji USA jimbo lolote ila Texas ni much preferable

Ninahitaji mwenyeji USA jimbo lolote ila Texas ni much preferable

Kwenye huu uzi wako nimeona matambo ni mengi zaidi kuliko ulichohitaji kukiwakilisha
Nashukuru mkuu kwa mchango wako binafsi sijaona tambo yoyote hapo vyote ni vya kawaida sana tu, labda kitu gani kimekushangaza hapo mkuu au ndio uswahili tu. Trust me wapo walioelewa na wamenishauri mazuri sana.
 
Ni matumaini yangu nyote mu bukheri wa afya, namshukuru mwenyezi Mungu mimi ni mzima na naendelea na mapambano kama kawaida. Mimi ni mwanaume kijana mwenye passion ya kusafiri na kuishi USA especially kiutafutaji japo ninandoto za kuinvest hapa nyumbani TZ.

Nimeamua kuliweka hili humu jf kwani ninaamini japo wabongo tunakunja lakini pia wapo wabongo elites na positive minded wanaopenda kuwapa nafasi wengine pia wafanikiwe lakini pia nikiamni jf ni link kubwa ya wabongo dunia mzima.

Kabla ya yote ningependa kutoa historia yangu kiufupi maana najua kuna wachimba chumvi washaanza kukunja wakidhani mimi ni kijana mdebwedo ninaetaka kuikimbia bongo kwa kushindwa maisha au kwa uvivu wa kufikiri, la'hasha binafsi ninaitaji another challenge of life kuna baadhi ya mambo hapa nyumbani naweza sema nimeshaaccomplish especilly yale mahitaji muhimu kasoro tu kuoa, kuhusu nyumba, kipato, business n.k tayari kitambo.

Mimi ni mtu wa bidii sana linapokuja suala zima la kukaza/utafutaji na pia kuhusu safari sijaanza juzi wala jana maana mara yangu ya kwanza kuapply visa(US visa) nilikua kijana mdogo sana nilikua 18yrs old hapo nishadrop college akili inawaza mbele tu huniambii kitu haimaanishi nilifeli hapana mimi ni kichwa sana ila sikuona umuhimu wa elimu, money was on my mind like crazy..😅 kiukweli my visa was denied it was a student visa, kutokana na mambo ya kuungaunga pesa ilikua ni tatizo nakumbuka visa fee tu ilikua mtihani nikajikuta nafanikisha muda umeisha so visa officer aliniambia nikaaply upya nikaona sio kweli ukizingatia visa fee ya US ni karibu milioni nikaona no way bora nicheki mambo mengine ya kufanya.

From there nilikisanua SA nikaspend some couple of years (5yrs) with ups and down (that's another story thou nikipata muda nitaandika) lakini pia nilishaishi botswana na namibia katika vipindi tofauti so expossure ya maisha ya nje ipo kiasi chake.

Turudi kwenye mada sasa, binafsi ninaweza kujipambania kuhusu visa but ningehitaji ushauri maana kama tourist visa hainishindi kuapply na kupata maana kama ni vigezo vyote ninavyo including assets,money in the bank simaanishi bank statements za michongo nono mzigo ninao wa kunitosha tu kusafiri, hata cheti cha ndoa ikiitajika nitafyatua tu sio ishu, but vipi nitapata mtu USA wa kunihifadhi kwa muda pia kunielekeza michongo maana siamini kama wote walio states walienda kusoma I believe some went with tourist's visas then mpaka leo wako wanakomaa na life, so kama una hiyo experience jaribu kushare nasi au kama hutaki kumwaga mchele kwenye kware wengi zama inbox yangu nipe elimu pia visa ipi ni nzuri kusafiria kuja huko? najua mpo humu diaspora USA tafadhari mnisaidie kwa hili mtanzania mwenzenu mwenye uchu wa maendeleo. Asanteni kwa muda wenu mliotumia kusoma gazeti hili.
Naenda utube mtafute Dnyota .atakusaidia ila uwe na hela
 
Unatafuta mwenyeji au unatafuta mtu wa kumdananda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jipange asee kaza kama unavyosema us sio pabkutafta mwenyeji mambo yanajieleze.

Ukifika usisahau kutafta fukwe za uchi ukaoshe macho maana unaweza enda na kurudi hujachakata mbususu
 
Unatafuta mwenyeji au unatafuta mtu wa kumdananda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jipange asee kaza kama unavyosema us sio pabkutafta mwenyeji mambo yanajieleze.

Ukifika usisahau kutafta fukwe za uchi ukaoshe macho maana unaweza enda na kurudi hujachakata mbususu
Mafanikio ni watu kaka hakuna mafanikio ya kukomaa kivyako ni lazima ushikwe mkono iwe na mtu unaemfahamu au usie mfahamu ili uvuke step flani ya maisha chukua hiyo. Kaka mimi siendi kutafuta mbususu sina ushamba wa mbususu bwana nimeona za kila rangi bwana inatosha.
 
Mkuu hongera sana,dream zako na zangu siko sawa kbsaaa...kilichonikwamisha ni baada tu kumpa mimba binti wa watu,kwa hyo imebidi nilee kidogo then harakati zianze tena.[emoji120]
 
Kuliko kutembeza bahasha bongo miaka 5 ni bora uvuke boda ukaanze hata kwa kubeba box.
 
Mtafute brother EBM anapatikana sana kwenye mitandao ya kijamii huyu atakua mwelekeo na rangi halisi za USA
 
Kikubwa kama hela ipo, nenda kupitia training au mtalii. Kisha tafuta mwanasheria anyooshe maelezo. Maana usa bila makaratasi sio poa
 
Kinachokera Marekani yani wale mademu wakali tunaowachakata kwa sound tu Bongo Marekani huwezi kuwagusa utaishia kula kwa macho tu na kuchakata mitunyetunye tu.

By the way maisha yako Bongo kama tayari una capital.
 
Kikubwa kama hela ipo, nenda kupitia training au mtalii. Kisha tafuta mwanasheria anyooshe maelezo. Maana usa bila makaratasi sio poa
Kuna mchongo nimeshapata mkuu hopefully mwaka huu nitatia timu mungu akijaalia
 
Back
Top Bottom