Ni nani unaemfahamu aliefanikiwa kwenda states bila kuwa na mwenyeji?..ili uibadili status ya visa either tourist au J1 visa lazima uwe na mtu kule akusimamie kutengeneza complaining hususa j1 visa ili uibadili status before haija expire njia rahisi ni kuwa na mwenyeji basi, so wewe ukichukulia ni udananda endelea kuning'iniza kende zako bongo. Alafu unaonekana safari zako mwisho morogoro so hujui umuhimu wa papers kwenye nchi za watu, anyway kupitia uzi huu nishapata mwenyeji USA so ni swala la muda tu. Kuhusu mbususu nilisha date wanawake tofauti tofauti ikiwamo dutch, tswana, khosa na macoloured wa capetown sana tu, vp wewe mwezangu ujuaji wako wa papuchi unaexperience ipi?