Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri sana kwa kupenda maisha mazuri. Endelea na juhudi hizo inaonekana utaweza especially kama tayari una kipato cha kutosha kulipa visa fee na flight ticket. Nipo katika mchakato huo naamini soon nitafanikiwa.Ni matumaini yangu nyote mu bukheri wa afya, namshukuru mwenyezi Mungu mimi ni mzima na naendelea na mapambano kama kawaida. Mimi ni mwanaume kijana mwenye passion ya kusafiri na kuishi USA especially kiutafutaji japo ninandoto za kuinvest hapa nyumbani TZ.
Nimeamua kuliweka hili humu jf kwani ninaamini japo wabongo tunakunja lakini pia wapo wabongo elites na positive minded wanaopenda kuwapa nafasi wengine pia wafanikiwe lakini pia nikiamni jf ni link kubwa ya wabongo dunia mzima.
Kabla ya yote ningependa kutoa historia yangu kiufupi maana najua kuna wachimba chumvi washaanza kukunja wakidhani mimi ni kijana mdebwedo ninaetaka kuikimbia bongo kwa kushindwa maisha au kwa uvivu wa kufikiri, la'hasha binafsi ninaitaji another challenge of life kuna baadhi ya mambo hapa nyumbani naweza sema nimeshaaccomplish especilly yale mahitaji muhimu kasoro tu kuoa, kuhusu nyumba, kipato, business n.k tayari kitambo.
Mimi ni mtu wa bidii sana linapokuja suala zima la kukaza/utafutaji na pia kuhusu safari sijaanza juzi wala jana maana mara yangu ya kwanza kuapply visa(US visa) nilikua kijana mdogo sana nilikua 18yrs old hapo nishadrop college akili inawaza mbele tu huniambii kitu haimaanishi nilifeli hapana mimi ni kichwa sana ila sikuona umuhimu wa elimu, money was on my mind like crazy..😅 kiukweli my visa was denied it was a student visa, kutokana na mambo ya kuungaunga pesa ilikua ni tatizo nakumbuka visa fee tu ilikua mtihani nikajikuta nafanikisha muda umeisha so visa officer aliniambia nikaaply upya nikaona sio kweli ukizingatia visa fee ya US ni karibu milioni nikaona no way bora nicheki mambo mengine ya kufanya.
From there nilikisanua SA nikaspend some couple of years (5yrs) with ups and down (that's another story thou nikipata muda nitaandika) lakini pia nilishaishi botswana na namibia katika vipindi tofauti so expossure ya maisha ya nje ipo kiasi chake.
Turudi kwenye mada sasa, binafsi ninaweza kujipambania kuhusu visa but ningehitaji ushauri maana kama tourist visa hainishindi kuapply na kupata maana kama ni vigezo vyote ninavyo including assets,money in the bank simaanishi bank statements za michongo nono mzigo ninao wa kunitosha tu kusafiri, hata cheti cha ndoa ikiitajika nitafyatua tu sio ishu, but vipi nitapata mtu USA wa kunihifadhi kwa muda pia kunielekeza michongo maana siamini kama wote walio states walienda kusoma I believe some went with tourist's visas then mpaka leo wako wanakomaa na life, so kama una hiyo experience jaribu kushare nasi au kama hutaki kumwaga mchele kwenye kware wengi zama inbox yangu nipe elimu pia visa ipi ni nzuri kusafiria kuja huko? najua mpo humu diaspora USA tafadhari mnisaidie kwa hili mtanzania mwenzenu mwenye uchu wa maendeleo. Asanteni kwa muda wenu mliotumia kusoma gazeti hili.
Asante kwa darasa mkuu lakini pia asante kwa kuusoma na kuuelewa uzi wangu vizuri nadhani shughuli ya kutafuta visa ianze kwa kasi.Vizuri sana kwa kupenda maisha mazuri. Endelea na juhudi hizo inaonekana utaweza especially kama tayari una kipato cha kutosha kulipa visa fee na flight ticket. Nipo katika mchakato huo naamini soon nitafanikiwa.
Kama una fedha njia ya haraka ni kupata tourist visa ambayo fee yake si chini ya $700. Baada ya mwezi utakuwa nayo ila pia bank account yako isome salio la kama $9,000 na pia uwe na flight fee kama $3,000. Visa itakuwezesha kubaki USA kwa miezi isiyozidi 6.
Ukifika USA na uwe na mtu wa kushukia kusave fedha, nadhani ndilo unalotafuta sasa, good!
Ukiwa kule tafuta kazi ya kuajiriwa na mwajiri akupe work visa sponsorship, halafu apply visa adjustment kupata permanent residency. njia hii ni ngumu kama huna qualification za kutosha kupata ajira. Au njia nyingine oa (au pata tu mchumba) raia wa huko na it akusaidie kupata permanent residency ndani ya miezi 6 na uraia within 3 years. Njia za panya zipo na zina madhara yake.
Sawa hata mimi nipo kwenye issue ya kutafuta pa kushukia. Pia angalia uwezekano wa kushukia kwa watu wanaopokea wageni na kukaa nao kwenye nyumba zao au Mashamba yao. Hawa wanaweza wakakuchaji rate za kawaida, wakachaji rate kidogo au wengine wasikuchaji kabisa. Kuna websites zinaorodhesha watu hao (hosts) mfano WWOOF check World Wide Opportunities on Organic Farms | WWOOF. Hawa ni watu wenye mashamba(farms) na wana plans mbalimbali za kukaa na wageni kwa jinsi mtakavyo kubaliana wengine wanalipisha, wengine hawalipishi na hata wapo wengine wanakulipa kidogo na kukupatia chakula, accommodation,etcAsante kwa darasa mkuu lakini pia asante kwa kuusoma na kuuelewa uzi wangu vizuri nadhani shughuli ya kutafuta visa ianze kwa kasi.
We msengerema kweli kweliKwanini wafia dini wa imani ile hawawazagi kabisa kutafuta visa ya kwenda Saud Arabia, Iraq, Iran, Afghanistan n.k. zaidi ya USA na Ulaya tu [emoji848][emoji87]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Vita unayo taka kuianzisha humu utasababisha watu wa pigwe block [emoji23][emoji117] shauri zenyuKwanini wafia dini wa imani ile hawawazagi kabisa kutafuta visa ya kwenda Saud Arabia, Iraq, Iran, Afghanistan n.k. zaidi ya USA na Ulaya tu [emoji848][emoji87]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ninapatikana John's Corner siyo mbali kutoka Camp David ni sehemu tulivu na ina baridi inayovumilika.Ni matumaini yangu nyote mu bukheri wa afya, namshukuru mwenyezi Mungu mimi ni mzima na naendelea na mapambano kama kawaida. Mimi ni mwanaume kijana mwenye passion ya kusafiri na kuishi USA especially kiutafutaji japo ninandoto za kuinvest hapa nyumbani TZ.
Nimeamua kuliweka hili humu jf kwani ninaamini japo wabongo tunakunja lakini pia wapo wabongo elites na positive minded wanaopenda kuwapa nafasi wengine pia wafanikiwe lakini pia nikiamni jf ni link kubwa ya wabongo dunia mzima.
Kabla ya yote ningependa kutoa historia yangu kiufupi maana najua kuna wachimba chumvi washaanza kukunja wakidhani mimi ni kijana mdebwedo ninaetaka kuikimbia bongo kwa kushindwa maisha au kwa uvivu wa kufikiri, la'hasha binafsi ninaitaji another challenge of life kuna baadhi ya mambo hapa nyumbani naweza sema nimeshaaccomplish especilly yale mahitaji muhimu kasoro tu kuoa, kuhusu nyumba, kipato, business n.k tayari kitambo.
Mimi ni mtu wa bidii sana linapokuja suala zima la kukaza/utafutaji na pia kuhusu safari sijaanza juzi wala jana maana mara yangu ya kwanza kuapply visa(US visa) nilikua kijana mdogo sana nilikua 18yrs old hapo nishadrop college akili inawaza mbele tu huniambii kitu haimaanishi nilifeli hapana mimi ni kichwa sana ila sikuona umuhimu wa elimu, money was on my mind like crazy..😅 kiukweli my visa was denied it was a student visa, kutokana na mambo ya kuungaunga pesa ilikua ni tatizo nakumbuka visa fee tu ilikua mtihani nikajikuta nafanikisha muda umeisha so visa officer aliniambia nikaaply upya nikaona sio kweli ukizingatia visa fee ya US ni karibu milioni nikaona no way bora nicheki mambo mengine ya kufanya.
From there nilikisanua SA nikaspend some couple of years (5yrs) with ups and down (that's another story thou nikipata muda nitaandika) lakini pia nilishaishi botswana na namibia katika vipindi tofauti so expossure ya maisha ya nje ipo kiasi chake.
Turudi kwenye mada sasa, binafsi ninaweza kujipambania kuhusu visa but ningehitaji ushauri maana kama tourist visa hainishindi kuapply na kupata maana kama ni vigezo vyote ninavyo including assets,money in the bank simaanishi bank statements za michongo nono mzigo ninao wa kunitosha tu kusafiri, hata cheti cha ndoa ikiitajika nitafyatua tu sio ishu, but vipi nitapata mtu USA wa kunihifadhi kwa muda pia kunielekeza michongo maana siamini kama wote walio states walienda kusoma I believe some went with tourist's visas then mpaka leo wako wanakomaa na life, so kama una hiyo experience jaribu kushare nasi au kama hutaki kumwaga mchele kwenye kware wengi zama inbox yangu nipe elimu pia visa ipi ni nzuri kusafiria kuja huko? najua mpo humu diaspora USA tafadhari mnisaidie kwa hili mtanzania mwenzenu mwenye uchu wa maendeleo. Asanteni kwa muda wenu mliotumia kusoma gazeti hili.
Nashukuru kukufahamu brother, John's Corner ipo TX? Utulivu na hali ya hewa nzuri ni jambo jema , , nitakutafuta unipe experience asante sana kaka.Ninapatikana John's Corner siyo mbali kutoka Camp David ni sehemu tulivu na ina baridi inayovumilika.
Imekaa poa hiyo ngoja niifatilie kuna website pia inaitwa "workaway" hii pia ina host wengi wanaoprovide accomodation na food ila ni ya kulipia. Hiyo WWOOF haiitaji mtu awe na ujuzi kwenye kilimo?Sawa hata mimi nipo kwenye issue ya kutafuta pa kushukia. Pia angalia uwezekano wa kushukia kwa watu wanaopokea wageni na kukaa nao kwenye nyumba zao au Mashamba yao. Hawa wanaweza wakakuchaji rate za kawaida, wakachaji rate kidogo au wengine wasikuchaji kabisa. Kuna websites zinaorodhesha watu hao (hosts) mfano WWOOF check World Wide Opportunities on Organic Farms | WWOOF. Hawa ni watu wenye mashamba(farms) na wana plans mbalimbali za kukaa na wageni kwa jinsi mtakavyo kubaliana wengine wanalipisha, wengine hawalipishi na hata wapo wengine wanakulipa kidogo na kukupatia chakula, accommodation,etc
Haihitaji ujuzi wowote ila upende kujifunza na kufanya kazi kwenye organic farms. Zipo website nyingi tu workaway pia ni nzuri sana. Ila itabidi ujiandikishe na kulipia ili uweze ktumia sites hizi kupata mwenyeji.Imekaa poa hiyo ngoja niifatilie kuna website pia inaitwa "workaway" hii pia ina host wengi wanaoprovide accomodation na food ila ni ya kulipia. Hiyo WWOOF haiitaji mtu awe na ujuzi kwenye kilimo?