Ninahuzunika sana tanzania yangu ni nchi tajiri lakini viongozi wa ccm bado wanahubiri sisi ni masikini lengo ni kutupumbaza

RWANDES

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,788
Reaction score
4,401
Ni wakati wa kuwakataa viongozi wa ccm kwa miaka 63 ya uhuru watanzania wametufanya kuwa wajinga huku wao na familia zao wakiishi maisha mazuri na yenye amani.
Viongozi wa ccm wamefikia hatua ya kuona bila kupigiwa kura wanaamini watakuwa viongozi
Tanzania ina madini lukuki maziwa na mito lakini bado ni maskini
Mwaka 2025 watu hao tuwakatae wanaua ndugu zetu kwa pressure na kisukari , ndugu zangu tumuunge mkono lisu dhana ya no reform no election , wote mmeona raisi amejichagua chamani watu kama hawa mnategemea wanaweza kujali wananchi wanapoendelea kushika madaraka tena madaraka ambayo wanayapata bila kuchaguliwa?
Watanzania tuamke hawa vijana wa ccm wanashibe ya siku moja tunakaa nao vijiweni wakiisimanga serikali ukiwauliza kwanini unaunga mkono serikali amabayo haijali wananchi majibu yao. Ni ya kipuuzi kwamba wao wamekulia ccm wanapigania chama.ujinga kama huu ndiyo unafanya mabadiliko yachelewe kupatikana.
Aidha no reform no election ndiyo habari ya sasa bila mabadiliko hakuna uchaguzi .
 
Kama awamu ya urithi tumeenyeka kiasi hiki, nina wasiwasi na baada ya 2025 bibi yule akifanikiwa kuendelea
 
Nikilio na kusaga meno maana atakuwa anamaliza mda wake hana cha kupoteza
 
Ni wakati wa kuwakataa viongozi wa ccm kwa miaka 63 ya uhuru watanzania wametufanya kuwa wajinga huku wao na familia zao wakiishi maisha mazuri na yenye amani.
Viongozi wa ccm wamefikia hatua ya kuona bila kupigiwa kura wanaamini watakuwa viongozi
Tanzania ina madini lukuki maziwa na mito lakini bado ni maskini
Mwaka 2025 watu hao tuwakatae wanaua ndugu zetu kwa pressure na kisukari , ndugu zangu tumuunge mkono lisu dhana ya no reform no election , wote mmeona raisi amejichagua chamani watu kama hawa mnategemea wanaweza kujali wananchi wanapoendelea kushika madaraka tena madaraka ambayo wanayapata bila kuchaguliwa?
Watanzania tuamke hawa vijana wa ccm wanashibe ya siku moja tunakaa nao vijiweni wakiisimanga serikali ukiwauliza kwanini unaunga mkono serikali amabayo haijali wananchi majibu yao. Ni ya kipuuzi kwamba wao wamekulia ccm wanapigania chama.ujinga kama huu ndiyo unafanya mabadiliko yachelewe kupatikana.
Aidha no reform no election ndiyo habari ya sasa bila mabadiliko hakuna uchaguzi .
Mwamba Magufuli alikuwa anatwambia tutembee kifua mbele nchi hii ni tajiri, mkakataa! Leo mnaambiwa nchi hii Lazima tukope mnakataa! Mnataka nini ninyi?
 
Tanzania si tajiri, fanya kazi bana
 
Back
Top Bottom