Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

Kwa kuwa wamemkataa Mungu wa kweli, na yeye ameamua kuwakaa.
MATUKIO YA SIKU YA MWISHO

Chicago na Los Angeles

Matukio ambayo yangetukia hivi karibuni huko Chicago na miji mingine mikubwa pia yalipita mbele yangu. Uovu ulipoongezeka na uwezo wa kulinda wa Mungu ulipoondolewa kulikuwa na pepo za uharibifu na tufani. Majengo yaliharibiwa kwa moto na kutikiswa na matetemeko ya ardhi....

Muda fulani baada ya haya nilionyeshwa kwamba maono ya majengo huko Chicago na rasimu ya njia za watu wetu kuzisimamisha, na uharibifu wake, ilikuwa somo la kitu kwa watu wetu, likiwaonya wasiwekeze kwa kiasi kikubwa mali zao katika mali. katika Chicago, au jiji lingine lolote, isipokuwa majaliwa ya Mungu yafungue njia kwa hakika na kuonyesha waziwazi wajibu wa kujenga au kununua inapobidi katika kutoa maelezo ya onyo. Tahadhari kama hiyo ilitolewa kuhusu ujenzi huko Los Angeles. Mara kwa mara nimeagizwa kwamba hatupaswi kuwekeza njia katika ujenzi wa majengo ya gharama kubwa katika miji-Mkusanyiko wa Paulson wa Ellen G. White Letters, 50 (1906).
Nabii wa wawasabato nae alishaona
 
Vipi kama kuna mtu alichukizwa na hayo matendo akaamua kuchoma mji!? Kati ya waliomdhihaki Mungu ni wangapi wameathiriwa na hilo janga?
Ukubwa/ukali wa moto kwa mji kama ule unasababishwa na mambo mengi ikiwemo miundombinu ya mabomba ya gesi za majumbani. Ndomana ilikuwa rahisi kuzima moto wa Amazon kuliko huo wa mjini unaochochewa na mambo mengi.
 
I was giving yo that message I don't want to make an argument, let it be so....
Your intellectually famished mind is incapable of raising a logical argument against the meticulously stated and intricately sourced problem of evil that eluded giants of philosophy such as Alvin Plantinga and Pope Francis.

If this was chess, you would be checkmated.

If this was Go, it would be inescapable atari.
 
 
Alitumia moto gani kuuchoma huo mji.. Kwanini umeshimdikana kuzima na kusababisha madhara yote Yale
 
Mkuu Acha kabisa Hii level ya Thinking ya hawa Members humu Jamvini inaogopesha sana, Kama kweli Mungu tunaemhubiri anakuwa Emotional driven Kiasi ichi basi Mungu huyo hana sifa kabisa Tunazompatia na Atakuwa wa Ovyo sana Kama anaangamiza Mamia ya watu na Mali zao kisa tu Kikundi cha wachache kilichomzihaki Basi Mungu huyo Ni waajabu sana sana
 
Msiwe WAJINGA kiasi hiki na kupelekwa na wazungu. Hakuna kitu "Mabadiliko ya Tabia ya nchi" kina exist katika uhalisia.
 
Ni kweli Mungu hadhihakiwi.

Mungu kawapa fundisho na pia kuna kitu nimekiona kipo nyuma ya pazia.

Biashara ya Bima,

Wataalam wanadai 80% ya nyumba zote California hazina Insurance.

Sasa nahisi hawa watu wa bima kuna namna wamehusika.

Mungu anaweza watumia hata hawa watu kuwapa somo hayo mahayawani.
 
Msiwe WAJINGA kiasi hiki na kupelekwa na wazungu. Hakuna kitu "Mabadiliko ya Tabia ya nchi" kina exist katika uhalisia.
Binafsi naona wewe ndio mjinga.

Jamaa kaelezea kitu ambacho kipo na kinaweza kuwa ndio sababu.

Sema wewe unaamini chanzo ni nini na unafahamu nini maana ya mabadiliko ya tabianchi?
 
Mabingwa wa olgan hawa amerika sitaki kusema kitu let wait and aee next!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…