Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

Tetemeko la Bukoba nao walimdhihaki Mungu? Vita ya Sudan wamemdhihaki Mungu? Vifo vya wanawake na watoto na majanga mbalimbali ya magonjwa ya mlipuko huko Congo wamemdhihaki Mungu? Vipi kuhusu mafuriko ya Dubai na tetemeko la Turkey walimfanya nini Mungu? Tujaribu kutumia hata hiyo akili kiduchu uliyopewa na si mihemko ya kidini.
Tatizo wewe na kichwa chako kama tikitimaji unajifanya unajua sana!
Hilo tukio watu wanalihusisha na Mungu kwa sababu ya tukio la dhihaka juu ya Mungu the Creator of the Universe katika tuzo the Golden Globe!
Na lilitokea baada ya siku chache tu ya tukio hilo na si vinginevyo!
Sema wewe ndo ndo unawaona wote wanaohusisha tukio hilo na moto huu ni wajinga na hawajitambui na kuwaona waafrika hawana akili!
Jaribu kufatilia vyombo vya habari hata USA wenyewe wanakili kuwa moto ni kawaida huko Califonia ila huu sio wa kawaida na wanahisi ni Mungu kuchukizwa na matendo maovu na tukio hilo ya majuzi!
Kwa hiyo wanaohisi hivo sio Watanzania tu ni watu wengi duniani na USA kwenyewe, kwa hiyo usipende kuwaaminisha wenzako unachojua wewe!
 
Hujui ulimwengu wa kielimu, soma gunduzi nyingi ambazo zimebadili hii Dunia hawajafanya wazungu.

Wazungu WAJINGA kwenye vingi bali ni waongo sana, isipokuwa wale ambao Allah amewarehemu, hata hiyo Sayansi unayo Iona wewe ina makosa mengi.

Kutogundua jambo haimaanishi walio gundua mambo wanaakili sana. Mfano mwepesi hivi unaelewa nini ukiambiwa Kuna mzungu aligundua Mlima Kilimanjaro au Ziwa Victoria ? Je ni kweli aligundua aliliona kisha akatoa jina ? Je hapo kabla hawakuwepo watu wakiishi eneo hilo ? Wenyeji waliitaje eneo hilo ? Sasa tofautisha kati ya kugundua na kutoa majina.

Kingine, sio kila kitu nachotumia Mimi wamekigundua, kingine nakupa kazi nenda kadurusu upya tamko "Kugundua".
Internet na simu umegundua wewe? una matatizo ya akili wewe si bure
 
Kuzaliwa ni tokeo la mwisho kabisa, mbona unajitoa ufahamu ?

Angalia asili ya mwanadamu nini ? Ni muunganiko wa mbegu za kike na kiumu, hapo ndio uumbaji unapoanza.

Naam, lazima uthibitishe juu ya kutokuwepo kwa Mola, sababu wewe una dai hilo. Shida yenu huwa mnaona ya kuwa jukumu la kuthibitisha ni la yule anae sadiki na sio nyie mnao kanusha. Hii akili ya uoga na uchachefu wa maarifa.

Usikimbie hoja.
Unataka uthibitisho wa aina gani kwa kitu ambacho hakipo?
 
Tatizo wewe na kichwa chako kama tikitimaji unajifanya unajua sana!
Hilo tukio watu wanalihusisha na Mungu kwa sababu ya tukio la dhihaka juu ya Mungu the Creator of the Universe katika tuzo the Golden Globe!
Na lilitokea baada ya siku chache tu ya tukio hilo na si vinginevyo!
Sema wewe ndo ndo unawaona wote wanaohusisha tukio hilo na moto huu ni wajinga na hawajitambui na kuwaona waafrika hawana akili!
Jaribu kufatilia vyombo vya habari hata USA wenyewe wanakili kuwa moto ni kawaida huko Califonia ila huu sio wa kawaida na wanahisi ni Mungu kuchukizwa na matendo maovu na tukio hilo ya majuzi!
Kwa hiyo wanaohisi hivo sio Watanzania tu ni watu wengi duniani na USA kwenyewe, kwa hiyo usipende kuwaaminisha wenzako unachojua wewe!
Kwa hiyo huyo Mungu anaendeshwa kwa mihemko ya kihisia?

Huyo Mungu ana endeshwa kwa emotions na feelings kama binadamu!!

Akidhihakiwa anakasirika na kufura mihasira na kulipiza kisasi kwa viumbe wake mwenyewe!!

Halafu akitukuzwa na kusifiwa anavimba na kujaa misifa!!

Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?
 
Vichache ninavyo jua kuliko vingi nisivyo vijua, Moja wapi ya vichache Nina vyojua ni la uwepo wa Mungu.

Nina vingi sana nimefanya katika hii Dunia.

Hizi nukta za tatu za mwisho zinaonyesha mada imekushinda na Mimi sishughuliki nazo.
Vingi vipi hivyo ulivyofanya kwenye hii Dunia?
 
Mungu angekua anaoperate hivyo hakuna mtu angekua hai,
Maana at some point kila mtu ameshawahi kukufuru lakini Mungu hatuchomi.
Watanzania wana chuki zao binafsi dhidi ya taifa la Marekani.

Ndio maana wengi wanapenda kuiponda Marekani.

Kumbe na wenyewe ni wadhambi wakubwa huko sirini.

Halafu yakija hapa JF yananifanya watakatifu.
 
Unaunga uongo. Huna akili hata punje acha akili kubwa ikuongoze. Wanadamu wameumbwa kwa matabaka hivyohivyo Kuna watawala na watawaliwa hata mbinguni Ni hivyo tu. Wewe unataka kuondoa gep ili kila mtu aishi kivyake hiyo Ni dalili ya ushetani. Hiyo makala unayotaka kuandika kufa nayo hatuitaki.

Watu wanataka kusikia habari za uzima na sio Mambo ya asili. Wengine habari ya uzima tumezipata kwenye biblia. Wengine wamezipata kwenye Quran. Na wewe lete habari yako ya uzima tu acha ngonjera mpumbavu mkubwa maana mkiachwa kupotosha mnamadhara makubwa mshenzi wewe
Bro mtu mwenye akili kubwa kwanza hatukani ana jenga hoja sio matusi, kitu pekee bible imesaidia ni kuleta matumaini (hope) ndio hiyo aman mnayosema

Matumaini (hope) ndio yanayowajengea imani, mnakuwa na uhakika na mambo mnayotarajia, hiki ndicho pekee bible imewasaidia
Jenga hoja bro sio unatukana tu

Na hujajibu hoja zangu bado vipi kuhusu usikika wa mwanamke kwenye bible, suala la utofauti (races) hujajibu pia wewe umekimbilia kutukana matusi tu, nikikuambia kuwa kwenye hii dunia kuna watu bado hawajafikiwa na hivi vitabu vyenu vya dini (Bible & Quran) na bado watu wanaishi utaamini au utakuja kutukana tena mtu wa dini?

Na inazidi kutoa mashaka kwa watu wenye akili kubwa kama wewe mwenye dini unatukana kiasi hiki

Lkn siwezi kishangaa maana vitabu vyenu vimewafunga kufikiri kila kitu mnaambiwa mwachie Mungu
 
Unaunga uongo. Huna akili hata punje acha akili kubwa ikuongoze. Wanadamu wameumbwa kwa matabaka hivyohivyo Kuna watawala na watawaliwa hata mbinguni Ni hivyo tu. Wewe unataka kuondoa gep ili kila mtu aishi kivyake hiyo Ni dalili ya ushetani. Hiyo makala unayotaka kuandika kufa nayo hatuitaki.

Watu wanataka kusikia habari za uzima na sio Mambo ya asili. Wengine habari ya uzima tumezipata kwenye biblia. Wengine wamezipata kwenye Quran. Na wewe lete habari yako ya uzima tu acha ngonjera mpumbavu mkubwa maana mkiachwa kupotosha mnamadhara makubwa mshenzi wewe
Na mm sijasema nataka kuondoa gap eti kila mtu aishi kivyake bali sasa hivi ndio kila mtu anaishi kivyake by captalism mwanzo Mungu wa asili alitaka tuishi pamoja na dunia alianza na ujamaa haya maisha magumu unayoyaona mtaani yameleta na mabepari (babilon's) wamekwapua kila kitu wamemiliki wao

Before ubebari dhahabu zote zingekuwa zetu wote, kila kitu unachokiona kingekuwa chetu sote, kuna koo au familia leo hii hawana kitu na kupata ni bahati, hawana ardhi wala chochote nenda Kenya tu pale sehemu ambapo ubebari ulijijenga mapema uone gap lililopo kimaisha
Sio unakurupuka kutukana tu fanya tafiti mtu wa dini na upunguze makasiliko (kutukana)
 
Ilikuwa hivi:

Kulikuwa na event ya super stars🌟 ktk mji wa Los Angeles,
Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao,

Majina yaliyoorodheshwa ni 1.Cast&Crew(wacheza filamu wa Hollywood na washiriki)
2.thamani ya mama ,
3.Lopez
4.MUNGU.

Ktk matokeo ya uchaguzi wao matokeo yalikuwa hivi:
Cast&Crew= kura 11
Thamani ya mama=Kura 3
Lopez =Kura 1
MUNGU=walimpa kura 0,

Msimamizi wa uchaguzi akasema matokeo hayo hayashangazi kwani mji wao ni Godless town,
Walipotoka nje wakatengeneza bango kubwa lenye maandishi "God get out in this city"
kesho yake ndo mji ukaanza kulipuka,
Ukumbuke msitu wa Amazon ulioko Brazil ambao ndio msitu mkubwa zaidi duniani ulipoungua miaka 4 iliyopita ni Marekani ndiyo iliyosaidia kuuzima lkn huu wa kwao umewashinda.
Marekani ndiye baba wa technology ulimwenguni,ukizungumza Helocopter,ndege,kemikali na kila sayansi unaizungumzia Marekani

Sasa hivi wanafyeka mahekta ya misitu kwa kuyang'oa na kuchimba kimo kirefu kwenda chini ili moto ukifika usivuke mbele lakini kinachotokea ni kwamba kila wakichimba moto ukifika kwenye mtaro waliouwekea mpaka inatokea cheche moja inapaa angani inavuka mpaka inashukia ghorofa linaambukiza miti na ghorofa nyingine mji unaangamia

Mamia ya ndege na helcopter za zimamoto ziko angani Calfornia zikimwaga kemikali za kuzima moto lkn moto umegoma kuzimika, hakuna matumaini, majumba ya wasanii mabilionea wa Holly Wood yanaangamia

Holly Wood ndiko kuna makazi ya thamani kuliko miji yote ulimwenguni, kidunia Hollywood inatambuliwa kama makao makuu ya uzur wa dunia lkn saa hii panaelekea kuwa jangwa gumu, wafuatiliaji wa sinema za Hollywood mlioko humu jiji lenu/mazingira yenu pendwa ya Hollywood linaangamia,

Ule moto hautozimwa na technology,
Utazimwa na Toba ya makuhani,

Nimeyasema haya ili kutoa tahadhari tujiweke mbali na vikundi vyenye mizaha juu ya MUNGU MKUU, ukiona kiashiria chochote cha mzaha kwa BWANA kemea kwa nguvu, wasipokuelewa kata connection na hicho kikundi hata kama kina maslahi makubwa kiasi gani,

BWANA MUNGU hadhihakiwi!View attachment 3205068


Nimepata furaha kuu. Mungu ni mfalme mkuu Mbinguni na duniani .
Mungu ni yeye yule aliyetajwa ndani ya biblia kwa miaka mingi na hajawahi kukaa kimya panapotokea uasi wa kiujumla . Yaani madhambi yakiwa ni ya kupanga kwa dhahaka na kuwadhihaki watu wema kamwe hayavumiliki tena.

Trump alikuja kama nabii kwao .Aliwatahadharisha sana kuhusu maadili na kurejea kwa Mungu . Lakini hawakujali walichukulia kiwa ni siasa .

Kuana chama kimoja kule kijijini Calfonia kiliwahi kusema kuwa Sisi ushindi kwenye uchaguzi sio Mungu akipanda bali ni lazima . Walisema kuwa Mungu apende asipende tutashinda. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Nina imani kuwa kile Chama nacho kinaungua moto taratibu ndio maana hata uchaguzi wao hauna mtu anayefuatilia pamoja na kuwa na dola ,pesa na vyombo vyote vya habari. Huko mitaani hakuna shamrashamra za kumpata yule mshindi wao kutoka kule amazoni 😂😂😂😂.
 
Allah ameumbwa hajatengeneza, jifunzeni maana za maneno na mjue mipaka yake, ili msikosee katika kujenga hoja.

Allah aliumba ujinga na weerevu, ndio maana ukiamua kuwa msomi unakuwa na ukiamua kuwa mjinga unakuwa mjinga vile vile.

Kwahiyo Allah hajaumba mtu awe mjinga au awe mwerevu, bali ameumbwa ujinga na werevu kisha ukapewa uwezo wa kuvidiriki viwili hivyo au kutovidiriki.

Kwahiyo chaguo ni lako.
Ili ukidiriki kimoja wapo aweze kuunguza na kuangamiza mji mzima no matter kuna werevu au wajinga?

No wonder watu wenye fikra kama zako ni rahisi kuwaambia waende kuua watu in the name of God.... Ila mtu kama mimi siwezi kufanya baya lolote au kushangilia baya lolote no matter ninaambiwa limetoka kwa nani; Baya ni baya hata kama unaamini limetoka kwa Mungu au vinginevyo...

 
Mimi ni Bwana Mungu wako ni Mungu mwenyrme wivu.. Nawapatiliza wana maovu ya baba zao.. Wa kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukizao ...
Ndio kalipiza kwa kuchoma nyumba?! Baada ya kikundi cha watu kupiga kura?
 
Mm kwenye tuzo za Golden Globes waliposema tu wao ni Godless Town nikajua lazma kiwalambe! Halafu Mungu unampa ZERO SCORE 😃 Halafu Seraphim and Cherubs wakae kimya?! Enewei kuna picha moja inasambaa sana Reddit inaonesha kuna Mwamba black fulani hivi ana mabawa yupo zake anafanya surveillance! GOD IS REALLY! MOCKERY IS ABOVE THE POINT NDANI YA MAREKANI
 

Attachments

  • IMG-20250114-WA0040.jpg
    IMG-20250114-WA0040.jpg
    56.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom