Ngosha Mashine
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 665
- 1,360
Napata shida kujua uwezo wako kiakili huenda hukwenda kabisa shule ndio maanaSasa wewe unatuandikia mambo ya ajabu ajabu eti unadai hii dunia Ni ya kike😄 Sasa kwa Nini tusiku nyok*
Unajua fika kwa vyovyote maelezo yako hayawezi kulinganishwa na yale ya biblia lkn bado uko bize kupotosha watu. Nenda andaa nondo zakutosha Kisha njoo humu ueleweke. Wewe hoja zako zimekaa kwa mtindo wa upingaji biblia pasipo hoja za kina.
Mwanamke kwenye biblia ameelezewa vizuri Kuna mama maria amebarikiwa kuliko wanawake wote au humuoni? Maisha yasingekuwa na maana endapo wote tungekuwa sawa. Lkn pia uonavyo ndivyo ilivyo vinginevyo ungebadili hata kidogo punguani wewe.
Kama hujui hata sifa za viumbe hai, Kupumua, kuzaliana, kusogea nk, sifa zote hizo dunia inazo inasogea ndio tunapata majira na usiku na mchana, inapumua thats why shimo la choo nyumbani kwako umeweka bomba la kutoa hewa, inazaa shambani kwako unavyogeuza ardhi ukatupia punje ya mbegu mmea unatokea
Basi tukae hapo kwenye kuzaa ni kuimbe cha jinsia gani kinachopokea mbegu kisha chenyewe kikatoa kiumbe kama sio cha kike
Urutubishaji wa mbegu mpaka igeuke kuwa mmea unafanyika wapi mkuu, tatizo waTanzania muliokuwa wengi (sio wote lkn) mnachukulia vitu juu juu bila kufanya tafiti hujui kuhusu hicho kitu unaleta ubishi na matusi