Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

Nimekwambia binadamu tunazaliwa.

Binadamu hatujaumbwa.

Unataka nikuthibitishie mola hayupo wakati wewe unayedai yupo huna uthibitisho.
sawa hatukatai tunazaliwa hebu tuambie binadamu wa kwanza alitokana na nini au alitokea wapi na kama alizaliwa, alizaliwa na nani?
 
Kwangu ni si rahisi sababu jambo la kupigana kwa ajili ya Allah ni ibada, kina masharti na nguzo, endapo viwili vikitimia na nikaamrishwa kufanya hivyo nitafanga ila sio kiholela holela.
Chochote utakachofanya wewe kama kina athari kwa jamii inayokuzunguka basi hilo ni tatizo iwe umetumwa na mchawi au Allah does not matter, what matters is the deed kwahio kwa jicho la jamii inayohusika the deed is what matters not the idea behind the deed (ukizingatia Imani ni nyingi na kila watu wana zao)
Wewe unajuaje kama jambo hili ni baya na hili ni suri ? Yaani kipimo chako ni nini ?
Kwahio wewe hujui zuri au baya ? Binafsi So long as jambo lolote linaumiza wengine ni Baya na vice versa pia ni muumini wa Natural Justice, na hata hizi Imani zote zimekuwa na Amri tofauti tofauti ili kuhakikisha social harmony..., hazitofautiani sana;
Kwa kipimo gani unachotumia wewe mpaka ukasema baya ni baya ? Tuambie hili, ili tuonyeshe ujinga wako ulipo.
Nadhani nimekujibu hapo juu na hapa nakwambia tena hata bila kutumia hizi so called Amri za Mungu, binafsi lolote like ambalo linaweza lika cause harm kwa yoyote yule ni baya na vice versa.
Kingine unapo mjadili Mungu hakikisha unamjua sio kama mnavyofanya nyinyi kumjadili msiwe mjua, huu ni upumbavu na ujinga ulio pea na kukomaa kabisa.

Karibu kwenye mjadala, sasa.
Kwahio huyu Mungu wa wote amechagua wachache ndio wamjue ? Na ndio maana kwenye Qoute yangu ya mwanzo kabisa nimesema Mungu huyu mwenye Kisirani na kuadhibu hata wasio hatia wala sihitaji kumjua, na wala siwezi support hio barbaric behavior, lakini I know better kwamba kinachotokea ni natural disasters
 
Uwezo anao na hayo ameyafanya sana na anaendelea kuyafanya.

Anapoleta jambo kama adhabu huwa alichagui na hapo Kuna hekima zake.

Hao ambao hawana hatia kufa kwao kwenye hiyo adhabu ndio muda wao ulifika humo, lakini kwa wenye hatia wapo ambao waliona hayo maovu yakotendeka lakini wakayafumbia macho nao pia hubebwa na hiyo adhabu.
Kwa hiyo Mungu anaamua kutoa collective punishment?

Wewe tu huwezi ukaadhibu familia yako yote kwa kosa la mtoto wako mmoja. Iweje an all-knowing, Merciful and compassionate God atoe adhabu ya moto kwa viumbe wengi kwa pamoja, kwa sababu ya kosa la watu wachache?
 
Mkuu sijaona mahali ulipoelezea chanzo cha moto either ni moto wa volkano, shoti ya umeme or mlipuko wa bomu
Wamarekan wenyewe waliopo California wamesema hawajajua bado chanzo Cha huo moto,,ww unataka mtu wa uku tandahimba akuambie chanzo!!!!
 
Waafrika tuna safari ndefu mno kufikia hatua ya kuwa binadamu kamili. Kwamba ulikuwa unsikia sauti inakwambia iba mboga na kwaakili yako ukahisi ni sauti ya shetani!? Hiyo ni shida ya akili, nenda milembe ple
Sio waafrika tunasafari ndefu sema unasafari ndefu maana inaonekana we ni tahira ambaye anamiliki makende tu,ambacho hukijui au hakijawahi kukutokea kausha,nyi ndo wale matahira tahira mnaojifanya ujuaji mwingi kumbe kichwani box ,nikuulize unaelimu juu ya maswala ya kiroho we bumunda
Waafrika tuna safari ndefu mno kufikia hatua ya kuwa binadamu kamili. Kwamba ulikuwa unsikia sauti inakwambia iba mboga na kwaakili yako ukahisi ni sauti ya shetani!? Hiyo ni shida ya akili, nenda milembe please.
 
sawa hatukatai tunazaliwa hebu tuambie binadamu wa kwanza alitokana na nini au alitokea wapi na kama alizaliwa, alizaliwa na nani?
Hakuna binadamu wa kwanza.

Uwepo wa utofauti wa vinasaba (DNA) 🧬 ni uthibitisho kwamba binadamu tunatofautiana sana kwanzia rangi na vinasaba kwa ujumla.

Kuna waafrika weusi, wazungu weupe, wahindi weupe, weusi na wekundu. Kuna wachina, wajapan, wafilipino, wakorea n.k

Kuna Albino.

Sasa kwa utofauti huu wa vinasaba. Haiwezekani eti binadamu mmoja ndio awe chanzo cha binadamu wote.

Kama kungekuwa na binadamu mmoja chanzo cha binadamu wote, Basi tungekuwa na vinasaba vinavyo fanana.
 
Back
Top Bottom