Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwa vile watu hawasomi vitabu ,nabii E.G white aliandika 1906 kuhusu kuungua kwa los angels na Chicago kama maasi yataongezeka. Na kama watu hawatamrudia Mungu. Lakini kwa vile shetani amepofusha fahamu zao ndio maana wakaanza kumdhihaki Mungu. Lakini wamevuna kile walichopanda kwa kutomheshimu Mungu wa Mbinguni.Mm kwenye tuzo za Golden Globes waliposema tu wao ni Godless Town nikajua lazma kiwalambe! Halafu Mungu unampa ZERO SCORE 😃 Halafu Seraphim and Cherubs wakae kimya?! Enewei kuna picha moja inasambaa sana Reddit inaonesha kuna Mwamba black fulani hivi ana mabawa yupo zake anafanya surveillance! GOD IS REALLY! MOCKERY IS ABOVE THE POINT NDANI YA MAREKANI
Hakuna watu wapumbavu duniani kwa sasa kama Nikki Glaser yaani badala ya kuomba Msamaha kwa Mungu yeye aningia mtandaoni anaomba msamaha watu!? Deni lake linakuja!Ni kwa vile watu hawasomi vitabu ,nabii E.G white aliandika 1906 kuhusu kuungua kwa los angels na Chicago kama maasi yataongezeka. Na kama watu hawatamrudia Mungu. Lakini kwa vile shetani amepofusha fahamu zao ndio maana wakaanza kumdhihaki Mungu. Lakini wamevuna kile walichopanda kwa kutomheshimu Mungu wa Mbinguni.
Kwa kipindi hiki adhabu ya Mungu wenu imekuwa kuchoma moto majengo tu ila watu wanapona? Sidhani kama mpaka sasa moto wenu umeleta vifo zaidi ya watu 50 tu
Ngoja niandike kitu hapa japo inawezekana isiwe kwa uandishi mzuri lkn natumaini nitaeleweka
Mungu huyu mnaemsifia hayupo, japo sijamaanisha hakuna Mungu kabisa, Mungu wa asili yupo ila sio huyu mnaemuongelea hapa
Bible imetumika kuuhadaa ulimwengu kuhusu Mungu, thats why kuna watu wa Elen G White wanasema kuna watu waliiteka bible kitambo wakaificha kwa lengo la kuubadili ukweli kuwa uongo
Nitatoa mifano kadhaa hapa:-
Kuhusu mwanamke, nionesheni sehem bible imemuandika vzr mwanake kwanza kabisa kwa mjibu wa bible inaeleza Mungu wenu hakuwa na mpango na mwanamke ila alipoona Adam anaboeka ndio akamfanya mwanamke na hii ilitokea mda baada ya adam kuwepo, lkn ukweli ni kwamba hakuna viumbe vina uwezo kama viumbe vyenye jinsia ya kike
Hii Dunia yenyewe tuliopo ni ya kike nendeni msome ikolojia maana ukweli wete upo huko (dunia n kiumbe na inasifa zote za kiwa kiumbe hai) japo kuna watu wanataka kututoa huko pia kuwa eti dunia ni flat na wala haizunguki lengo turudi kwa Mungu wenu huyu mwenye jinsia ya kiume (bwana) na hapa natamani siku watu wajue why bwana bwana zimekuwa nyingi na mwanamke anachukuliwa simple!? Sijasema chochote hapa msije sema nataka kumaanisha Mungu wa kweli ni mwanamke sisi Mungu wetu wa asili hatumweki kwenye jinsia yoyote kama huyu wenu (bwana)
Ubepari(captalism) Mungu wa asili hakutaka dunia iwe na matabaka dunia ilotakiwa iwe ya kutegemeana sio watu kadhaa watawale na wengine wawe watawaliwa thats why hata yeye utawala wake haupo hivyo, bible inaongelea sana ubepari kina mfalme Seleiman walikuwa na kila kitu wakati kuna kina Lazaro walikuwa apeche alolo, lkn jamaa zenu waliwafundisha shule kuhusu mifumo ya maisha kitabaka (ubepari au captalism) ni mfumo wa mwisho na umeanza hivi karibuni ikiwa wengi wenu baba za babu zenu wameshazaliwa, masuala ya kubadilishana bidhaa kwa bidhaa mpaka leo tunatumia fedha
Story za kina mfalme Seleiman kwenye bible ni agano la kale maana ake ni mda kitambo before Yesu na alipokuja kutokea Yesu mpaka sasa ni zaidi ya miaka 2000 hii inakaaje? Kwamba zamani hizo kulikuwa na captalism kweliiiiii?
Matabaka ya watu (races) Aliumbwa Adam kisha baada ya Adam kuwa mpweke Mungu wenu akamfanya Eva kutoka kwa Adam (basi tuseme wao walikuwa wazungu, sisi weusi tulipatikanaje, vp kuhusu wachina, wahindi, waarabu nk
Dini zilipatikanaje je, n mpango wa asili au kuna wahuni wachache walikaa kutaka kuipotosha dunia, vipi kuhusu vyama wa siri (secret sociaty) kina illuminat na wengine, wanaojitanabaisha kuiendesha dunia
Asili imejieleza kupitia ikolojia kila kitu kipo wazi kuna watu hawaamini kama elimu ni mfumo wa asili wanadai ni matrix, japo asili ndio chanzo cha kila kitu hakuna hata kimoja ambacho kimefanyika kisayansi hakipo kiasili
Na kwa taarifa tu sayansi ipo kwenye mambo matatu tu wanasayansi wote kikanuni wanaishu kwenye hii kitu (mawimbi, sumaku na mwanga) physics yote ipo hapo (waves, magnetic & light) hivi vyote vipo kiasili wanaosema dunia ni flat waje watuambie kupwa na kujaa kwa bahari kunatokeaje?
Bahati nzuri ni kwamba vitabu hivi havitakuwepo tena hapo baadae na asili inatuonesha maana kuna viumbe wametajwa kwenye bible vizazi vya karne ijayo hawataviona imeanza kitambo na ndio maana jamaa zenu waliichukua bible kwenda kuibadili kwa kisingizio kile cha Elen G White, ukiwa mkoani Lindi kuna sanam la mjusi mkubwa sisi hiki kizazi chetu hakijabahatika kuwaona, lkn kupotea kwa viumbe kunaendelea bado mfano huyu nyoka nawahakikishia karne mbili mbele hatakuwepo tena kwenye uso wa dunia mbaya zaidi mlisema ni mwelevu na hapo hapo asili akamnyima akili ya kujifunza kitu kipya hafundishiki yeye anakuja akiwa na akili ya moja kwa moja
Nipo naandaa makala hopelly kwa nguvu ya asili mda sio mrefu nitaanza kuisambaza
huyo ni mr.Ropo ropoHili la kumpigia Kura si kweli. Ni kwamba kwa wale wote walioshinda tunzo katika tamasha hilo hakuna aliyemshukuru Mungu, hivyo basi mtangazaji akashangaa na kusema katika washindi wote hakuna hata mmoja aliyemshukuru Mungu kwa ushindi wake. Akaendelea kwa kusema inaonekana huu mji si wa watu wa Mungu. Hivyo bwana mshana uache mara moja kupotosha watu na kusambaza taarifa za uongo ili kufanikisha azima yako.
AIIli movie iwe sawa itabidi wachome moto kama huo. Nathani hawataweza!
And you can't pay attention for little things like spelling?College votes, haya jibu swali sasa unaelewa nini?
Ni kwa vile watu hawasomi vitabu ,nabii E.G white aliandika 1906 kuhusu kuungua kwa los angels na Chicago kama maasi yataongezeka. Na kama watu hawatamrudia Mungu. Lakini kwa vile shetani amepofusha fahamu zao ndio maana wakaanza kumdhihaki Mungu. Lakini wamevuna kile walichopanda kwa kutomheshimu Mungu wa Mbinguni.
Baridi haifanyi majani kuwa mabichi. Ila wakati wa baridi na hasa mwaka huu ambapo baridi imekuwa kali mno na haijapata kuonekana theluji nyingi sana Ulaya na America, mimi imenishangaza kuona moto mkubwa wa kihistoria ukiwaka huko Los Angeles. Kwa kawaida kuna mioto inawaka maeneo hayo hasa kaskazini mwa California karibu na Yosemite National parks kila mwaka lakini ni majira ya joto kali kuanzia July-October na sio majira ya baridi kama sasa.Picha zinaonesha majani makavu na hakuna hiyo baridi unayoisema.
Siyo suala la kudhani. Mungu anaweza lolote atakalo.Wewe unadhani Mungu hawezi kufanya hivo
Hana uwezo wa kutofautisha mwenye kosa na asiye na kosa?
Maana akileta adhabu inaangamiza viumbe vingi vidogo na vikubwa. Moto unaangamiza mpaka mayai ya ndege, nyoka, kenge n.k.uwezo
Alisema moto utatokea mwaka gani?Ni kwa vile watu hawasomi vitabu ,nabii E.G white aliandika 1906 kuhusu kuungua kwa los angels na Chicago kama maasi yataongezeka. Na kama watu hawatamrudia Mungu. Lakini kwa vile shetani amepofusha fahamu zao ndio maana wakaanza kumdhihaki Mungu. Lakini wamevuna kile walichopanda kwa kutomheshimu Mungu wa Mbinguni.
Sijagundua Mimi, Sasa ndio nini yaani ? Jenga hoja. Shida yenu inakuja pale mnapowaona Wazungu ni wajuzi wa kila kitu, wakati ukweli Wazungu ni watu wa kuangalia fursa.Internet na simu umegundua wewe? una matatizo ya akili wewe si bure
Unataka uthibitisho wa aina gani kwa kitu ambacho hakipo?
Vingi vipi hivyo ulivyofanya kwenye hii Dunia?
Mabadiliko ya Tabia-nchi siyo Kitu Cha uhalisia? Are you mentally stable?
Is it true that a Climate change is not a real thing???
Ili ukidiriki kimoja wapo aweze kuunguza na kuangamiza mji mzima no matter kuna werevu au wajinga?
No wonder watu wenye fikra kama zako ni rahisi kuwaambia waende kuua watu in the name of God....
Ila mtu kama mimi siwezi kufanya baya lolote au kushangilia baya lolote no matter ninaambiwa limetoka kwa nani;
Baya ni baya hata kama unaamini limetoka kwa Mungu au vinginevyo...
Sasa wewe unatuandikia mambo ya ajabu ajabu eti unadai hii dunia Ni ya kike😄 Sasa kwa Nini tusiku nyok*Bro mtu mwenye akili kubwa kwanza hatukani ana jenga hoja sio matusi, kitu pekee bible imesaidia ni kuleta matumaini (hope) ndio hiyo aman mnayosema
Matumaini (hope) ndio yanayowajengea imani, mnakuwa na uhakika na mambo mnayotarajia, hiki ndicho pekee bible imewasaidia
Jenga hoja bro sio unatukana tu
Na hujajibu hoja zangu bado vipi kuhusu usikika wa mwanamke kwenye bible, suala la utofauti (races) hujajibu pia wewe umekimbilia kutukana matusi tu, nikikuambia kuwa kwenye hii dunia kuna watu bado hawajafikiwa na hivi vitabu vyenu vya dini (Bible & Quran) na bado watu wanaishi utaamini au utakuja kutukana tena mtu wa dini?
Na inazidi kutoa mashaka kwa watu wenye akili kubwa kama wewe mwenye dini unatukana kiasi hiki
Lkn siwezi kishangaa maana vitabu vyenu vimewafunga kufikiri kila kitu mnaambiwa mwachie Mungu
Acha wivu eti haya maisha magumu yameletwa na mabeberu na maisha mazuri yameletwa na mwafrica? Kwani hakuna waafrica wenye maisha mazuri? Uhalisia tu unatuonesha kwamba hata akili tunatofautiana iweje tulingane wote? Lkn bado hujachelewa unauwezo wakuleta badiliko kubwa lkn sio kwa hoja hizi hapana.Na mm sijasema nataka kuondoa gap eti kila mtu aishi kivyake bali sasa hivi ndio kila mtu anaishi kivyake by captalism mwanzo Mungu wa asili alitaka tuishi pamoja na dunia alianza na ujamaa haya maisha magumu unayoyaona mtaani yameleta na mabepari (babilon's) wamekwapua kila kitu wamemiliki wao
Before ubebari dhahabu zote zingekuwa zetu wote, kila kitu unachokiona kingekuwa chetu sote, kuna koo au familia leo hii hawana kitu na kupata ni bahati, hawana ardhi wala chochote nenda Kenya tu pale sehemu ambapo ubebari ulijijenga mapema uone gap lililopo kimaisha
Sio unakurupuka kutukana tu fanya tafiti mtu wa dini na upunguze makasiliko (kutukana)