chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,379
- 5,887
LISU,alishawahi kusema katika kampeni alipoulizwa kuhusu sekta binafisi.Nakupenda sitaacha kukufundisha ili ujue.
Alisema ili kuzikuza sekta binafisi Serikali lazina zizilinde.
Inamaanisha kuwa serikali lazima zizipe tenda kampuni binafsi, zizikopeshe, zizipe kodi zilizokuwa rafiki nk.
Mzee wa Matajiri wataishi kama MASHETANI ataweza kweli kufanya hivyo?