LISU,alishawahi kusema katika kampeni alipoulizwa kuhusu sekta binafisi.Nakupenda sitaacha kukufundisha ili ujue.
Unapeleka pesa mtaani kwa hasara ya kazi kutomalizika kwa muda!.Mkuu mawazo yako ni kama ya Magufuli na mwafrika chini ya Jangwa la Sahara...
Hahahaha we jamaa hahahaha kwamba alikalili tu katika kichwa ila maana yake ukimuuliza hajui hahahahaHata hivyo kaongea tu siku ipite, hajui hata kuboresha sekta binafsi maana yake ni nini.
Ni kama tu alivyosema kuimarisha demokrasia na utawala bora.
Haelewi hata maana yake
Wewe na nani?!Kumbuka sisi waswahili tukipewa hizo kazi wanazopewa Suma JKT tunaboronga kwa kuleta uzembe na figisu zisizo na maana.
Jamaa ni bonge moja mmezaji, na pia ni bonge la chawa.hahahaha we jamaa hahahaha kwamba alikalili tu katika kichwa ila maana yake ukimuuliza hajui hahahaha
Sekta binafsi ni pana sana mkuu usiangalie angle moja tu.Wewe na nani?!
Wakiharibu wape wengine uendeleze sekta binafsi, sio unarudisha pesa kule kule ilipotoka.
Ndio mnapokeseaga ,hapo kwenye ushiriki wa serikali ,serikali haitakiwi kuwa kiranja au baba mzazi ambapo kila kinachofanyika anakijua na anatoa idhini yeye.Kuinua sekta binafsi ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi kama kutakua na usimamizi makini wa sheria za nchi kwa maslahi ya nchi husika....
Sijui jamaa huwa anawaza nn?Hata hivyo kaongea tu siku ipite, hajui hata kuboresha sekta binafsi maana yake ni nini.
Ni kama tu alivyosema kuimarisha demokrasia na utawala bora.
Haelewi hata maana yake
Magu ana roho mbayaaaaa saana na hayuko tayari kuona sekta binafsi ikistawi labda ziwe kampuni za watu wake kina MayanjaSekta binafsi ni pana sana mkuu usiangalie angle moja tu.
👍Juzi tarehe 13. 11 Rais alitoa hotuba ya ufunguzi wa Bunge Dodoma na kuahidi kuimarisha na kushamirisha sekta binafsi nchini ili iweze kuchangia kwenye ukuaji wa uchumi. Mimi ninakubaliana na hatua hizo kwa vile hakuna taifa duniani lililoendelea bila sekta binafsi....
Huu ni mtazamo wako. Miundo mbinu inayojengwa ya gharama kubwa walengwa kwa asilimia kubwa ni sekta binafsi.Magu ana roho mbayaaaaa saana na hayuko tayari kuona sekta binafsi ikistawi labda ziwe kampuni za watu wake kina Mayanja
Ni katili na ana roho mbaya ya asili.Sijui jamaa huwa anawaza nn?
Hafai kuwa kiongozi hata kwa dak 1Ni katili na ana roho mbaya ya asili.
Wakati anaingia madarakani aliagiza SUMA JKT ( Kampuni ya ulinzi ) walinde sehemu zote za Serikali Kwasababu ni kampuni CHEAP. Hivyo hao walinzi wa SUMA JKT wasitegemee kuongezewa mshahara.
Mpaka vituo vya mafuta washaanza kufungua TANCOL.
Hatujasahau ya Fastjet, JKT, Korosho, Nassaco, Mahotel,
Anajifanya anabana matumizi, ukimuuliza pesa zilizobanwa ziko wapi unatafuta mauti. Deni la Taifa linapaa kwa kasi ya Mbuni
Miundombinu hujengwa kulingana na uhitaji ndio maana tangu nazaliwa nilipanda train kutoka Mbeya na lami ilikuwepo. Msimpe kichwa akajiona kafanya makubwa kuwazidi wenzake wakati ndiye aliyeharibu kuliko yeyote.Huu ni mtazamo wako. Miundo mbinu inayojengwa ya gharama kubwa walengwa kwa asilimia kubwa ni sekta binafsi.
Ni jukumu letu kujiongeza kwa kuiangalia dunia ipo vipi na sisi tunaweza kufaidika nayo vipi.
Kulalamika tu hakuna tija yoyote ile.
Dunia ipi, nchi hii ni kama tuko jela.Huu ni mtazamo wako. Miundo mbinu inayojengwa ya gharama kubwa walengwa kwa asilimia kubwa ni sekta binafsi.
Ni jukumu letu kujiongeza kwa kuiangalia dunia ipo vipi na sisi tunaweza kufaidika nayo vipi.
Kulalamika tu hakuna tija yoyote ile.
Hata yeye analijua hilo. Hata urais wenyewe kapewa na MkapaHafai kuwa kiongozi hata kwa dak 1
Hajui chochoteLISU,alishawahi kusema katika kampeni alipoulizwa kuhusu sekta binafisi..
Alisema ili kuzikuza sekta binafisi Serikali lazina zizilinde...
Inamaanisha kuwa serikali lazima zizipe tenda kampuni binafsi,zizikopeshe,zizipe kodi zilizokuwa rafiki nk..
Mzee wa Matajiri wataishi kama MASHETANI ataweza kweli kufanya hivyo?
Ndio mnapokeseaga ,hapo kwenye ushiriki wa serikali ,serikali haitakiwi kuwa kiranja au baba mzazi ambapo kila kinachofanyika anakijua na anatoa idhini yeye.
Serikali inatakiwa ishiriki kama mwalimu wa chuo "lecture" asiejali umevaa uniform, hukwenda darasani au la ila yeye anaangalia umetimiza kile anachotaka basi
Kama mtu analipa kodi,anaajiri,anazingatia haki za wafanyakazi wake anatunza mazingira aachwe asianze kuwekewa vikwazo.
Halafu si kila muwekezaji lazma aje na hela hata idea tu