Ninalaani agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaka familia yote ya mzee Mushi ikamatwe

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
24,523
Reaction score
30,084
Akiongea huko Madale mkuu wa mkoa ameliagiza jeshi la polisi liikamate familia yote ya mzee Mushi na kuwaweka kolokoloni! Ni lipi kosa la mke na watoto wa mzee Mushi wanahusika na kosa ambalo huenda lilitendwa na marehemu!

Sidhani hata walalamikaji watafurahia kuona mke na watoto wa anayedhaniwa mtuhumiwa wanafungwa bila kupitia mahakamani kutokana na kosa linalohusu ardhi.
Ninawakaribisha Lucas Mwashambwa na Thlaatlaa kupongeza pia.
 
Akiongea huko Madale mkuu wa mkoa ameliagiza jeshi la polisi liikamate familia yote ya mzee Mushi na kuwaweka kolokoloni! Ni lipi kosa la mke na watoto wa mzee Mushi wanahusika na kosa ambalo huenda lilitendwa na marehemu! Sidhani hata walalamikaji watafurahia kuona mke na watoto wa anayedhaniwa mtuhumiwa wanafungwa bila kupitia mahakamani kutokana na kosa linalohusu ardhi.

Unapoleta uzi kwa style hii, wewe na Chalamila mnakuwa na tofauti gani? Mnakuwa kama mapacha wa vichwa, akili na vitambi
 
Akiongea huko Madale mkuu wa mkoa ameliagiza jeshi la polisi liikamate familia yote ya mzee Mushi na kuwaweka kolokoloni! Ni lipi kosa la mke na watoto wa mzee Mushi wanahusika na kosa ambalo huenda lilitendwa na marehemu! Sidhani hata walalamikaji watafurahia kuona mke na watoto wa anayedhaniwa mtuhumiwa wanafungwa bila kupitia mahakamani kutokana na kosa linalohusu ardhi.
Ninawakaribisha Lucas Mwashambwa na Thlaatlaa kupongeza pia.
ni muhimu sana familia hiyo kujisalimisha haraka sana kwenye vituo vya polisi vilivyo karibu nao kabla ya hatua zaidi hazijachukuliwa dhidi yao, ili hatimae hatua muafaka zichukuliwe kutatua changamoto husika na ipatikane suluhu ya kudumu dhidi ya changamoto hiyo inayoleta usumbufu na kuchochea uhasama miongoni mwa jamii.

Aidha,
Binafsi nampongeza mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam kwa kusimama vizuri katika nafasi yake na kuhakikisha amani, utulivu na usalama wa wana dar es salaam ni shwari wakati wote.

Mungu Ibariki Tanzania 🐒
 
Naunga mkono hoja.
p
 
Mke mjane na watoto wake wajisalimishe polisi! Kichaa wewe.
 
Gentleman,
nasisitiza kiungwana kabisa kwamba, wale wote ambao mkuu wa mkoa amaagiza polisi kuwatia nguvuni wajisalimishe kwa hiyari zao mapema iwezekanavyo regardless ya status zao kuepuka usumbufu.

Maagizo ya kimamlaka na kisheria hayana hizo porojo. Tii sheria bila shuruti na itapendeza zaidi, otherwise subiri fedheha na public sympathy ikiwa zina manufaa 🐒
 
Back
Top Bottom