Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 5,883
- 12,570
Amelewa madaraka.Yule chala ni mshenzi.
Amelewa madaraka.Yule chala ni mshenzi.
Jielimishe maana ya kufungwa.Ulichokiandika juu na chini ni kile kile.
Tanzania ya sasa haina weledi na viongozi wake wote hawana weledi kama ofisa anaweza kuteka kijana wawatu eti kisa kamuacha bint yake aliye kuwa mpenzi wake unadhani kuna weledi kwa hawa viongozi ?Shusha pumzi
Tunajua inakera ila usituambukize hila na Nongwa kwa kivuli cha wanaonewa.!
Ni agizo kubwa sana kwa mtu uliyemtaja
Kwa sisi Wa Tz Agizo la mtu kama huyo na hadhi yake lazima linasababu nb: Sijasema yupo sahihi
Sasa Tupe sababu za kuona unaonewa..?
Ahahahaha mkata viuno hata nyie machawa hamko salama chini ya CCM yeyote linamkura Yuko wapi m nec polepole au muungwana Sana NCHIMBI ? Siku yako yajaGentleman,
nasisitiza kiungwana kabisa kwamba, wale wote ambao mkuu wa mkoa amaagiza polisi kuwatia nguvuni wajisalimishe kwa hiyari zao mapema iwezekanavyo regardless ya status zao kuepuka usumbufu.
Maagizo ya kimamlaka na kisheria hayana hizo porojo. Tii sheria bila shuruti na itapendeza zaidi, otherwise subiri fedheha na public sympathy ikiwa zina manufaa 🐒
Kolokoroni ni kufungwa! Hata hivyo hiyo siyo hoja ya mjadala, acha ligi za Simba na Yanga kwenye mambo ya msingi.Jielimishe maana ya kufungwa.
Mpaka sasa Lisu siyo mfungwa licha ya kukaa mwaka Ukonga,ni mahabusu tu.
Bila wakuu wa mikoa na wilaya huko mtaani kungekuwa na vikundi vya kujilinda vya kila familiaHivi vyeo vya Wakuu wa Mikoa na Wilaya wananchi tulishavikataa kitambo kwenye Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba. Mara zote vimekuwa vikitumika ndivyo sivyo.
Wakuu wa mikoa hawana mamlaka ya kuingilia maamuzi ya mahakama, ni kuenda kinyume na utawala wa sheria..Bila wakuu wa mikoa na wilaya huko mtaani kungekuwa na vikundi vya kujilinda vya kila familia
Wapi ameingilia ??yaani umeitwa kwenye kikao cha kuijadili amani wewe unadharau ..huo ni uungwana?Wakuu wa mikoa hawana mamlaka ya kuingilia maamuzi ya mahakama, ni kuenda kinyume na utawala wa sheria..
Uamuzi wa mahakama ulitosha, wakitaka wakate rufaa na si jukuma lao kumtii mkuu wa mkoa kwa kuwa mhusika alifariki.Wapi ameingilia ??yaani umeitwa kwenye kikao cha kuijadili amani wewe unadharau ..huo ni uungwana?
Sasa tuma mabaunsa waende kwa RC sio kuja humu jamvini kutafuta public sympathy
Unalaani km nani we bwege?Akiongea huko Madale mkuu wa mkoa ameliagiza jeshi la polisi liikamate familia yote ya mzee Mushi na kuwaweka kolokoloni! Ni lipi kosa la mke na watoto wa mzee Mushi wanahusika na kosa ambalo huenda lilitendwa na marehemu! Sidhani hata walalamikaji watafurahia kuona mke na watoto wa anayedhaniwa mtuhumiwa wanafungwa bila kupitia mahakamani kutokana na kosa linalohusu ardhi.
Ninawakaribisha Lucas Mwashambwa na Thlaatlaa kupongeza pia.
We huwezi kuwa wananchi, wawakilishi wa wananchi wanaitwa "WABUNGE" hayo ni mawazo yakoHivi vyeo vya Wakuu wa Mikoa na Wilaya wananchi tulishavikataa kitambo kwenye Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba. Mara zote vimekuwa vikitumika ndivyo sivyo.
Kwanza we kima unalaani kama nani nyau pori wewe!Akiongea huko Madale mkuu wa mkoa ameliagiza jeshi la polisi liikamate familia yote ya mzee Mushi na kuwaweka kolokoloni! Ni lipi kosa la mke na watoto wa mzee Mushi wanahusika na kosa ambalo huenda lilitendwa na marehemu! Sidhani hata walalamikaji watafurahia kuona mke na watoto wa anayedhaniwa mtuhumiwa wanafungwa bila kupitia mahakamani kutokana na kosa linalohusu ardhi.
Ninawakaribisha Lucas Mwashambwa na Thlaatlaa kupongeza pia.
Kumbe mgogoro wenyewe ni huu!Mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa, raia wake familia zaidi ya 15 zinalala.nje wapo watoto, wazee, wagonjwa asiingilie kati? Yule mchaga amehonga mahakamani ananyanyasa raia kwa pesa zake hana hata utu,, km anaweza kumdharau na kumpuuza mkuu wa mkoa atamsikiliza nani nchi hii? Atamsikiliza mwenyekiti wa mtaa? Anataka aishije nchi hii? We huwajui wachaga wakipataga pesa, yule ni wa kufukuzwa arudi kwao Moshi
Aseeeeh kweli Kuna watu wanajua kuufanyia kazi uchawani muhimu sana familia hiyo kujisalimisha haraka sana kwenye vituo vya polisi vilivyo karibu nao kabla ya hatua zaidi hazijachukuliwa dhidi yao, ili hatimae hatua muafaka zichukuliwe kutatua changamoto husika na ipatikane suluhu ya kudumu dhidi ya changamoto hiyo inayoleta usumbufu na kuchochea uhasama miongoni mwa jamii.
Aidha,
Binafsi nampongeza mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam kwa kusimama vizuri katika nafasi yake na kuhakikisha amani, utulivu na usalama wa wana dar es salaam ni shwari wakati wote.
Mungu Ibariki Tanzania 🐒
Gentleman,Aseeeeh kweli Kuna watu wanajua kuufanyia kazi uchawa

Kuna siku agizo litatolewa ukamatwe wewe Sasa sijui na wewe utaandika hizi mbaka zako humu ni hvy tuGentleman,
ni vizuri kueleza ukweli bila kujali mihemko useless ya wanafiki ambao wanajaribu kuitia kiburi familia hiyo, badala ya kuwasaidia kuondokana na fedheha au usumbufu wa bure ambao wanaweza kukutana nao wakidinda kujisalimisha.
hata hivyo,
kujisalimisha kwao kutawasaidia wao wenyewe na si vinginevyo,
huku unafiki na porojo za mitandaoni zikiendelea kuwafedhehesha ikiwa watazizingatia kwasababu hazina msaada wowote kwao.
Nawasihii sana familia hiyo,
kupuuza kujazwa kiburi na wanafiki kama huyu aliereply koment yangu, bali kwa hiyari zao wajisalimishe kwa mkuu wa mkoa bila shuruti ili hatimae wakae pamoja na wanaowalalamikia na kupata ufumbuzi na suluhu ya kudumu ambayo jamii imekua ikilalamikia familia hiyo mara kwa mara na itapendeza zaidi![]()
Gentleman,Kuna siku agizo litatolewa ukamatwe wewe Sasa sijui na wewe utaandika hizi mbaka zako humu ni hvy tu
