Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Naunga mkono hojaElezea Mushi kafanyaje!?,kwanini huwa mnaleta thread kama vile kila mtu anamjua huyo Mushi na familia yake walichofanya!?,kama kuna thread ilitangulia weka link watu wasome ndo watoe maoni yao.
Kwa kosa gani?Akiongea huko Madale mkuu wa mkoa ameliagiza jeshi la polisi liikamate familia yote ya mzee Mushi na kuwaweka kolokoloni!
Unapoleta uzi kwa style hii, wewe na Chalamila mnakuwa na tofauti gani? Mnakuwa kama mapacha wa vichwa, akili na vitambiAkiongea huko Madale mkuu wa mkoa ameliagiza jeshi la polisi liikamate familia yote ya mzee Mushi na kuwaweka kolokoloni! Ni lipi kosa la mke na watoto wa mzee Mushi wanahusika na kosa ambalo huenda lilitendwa na marehemu! Sidhani hata walalamikaji watafurahia kuona mke na watoto wa anayedhaniwa mtuhumiwa wanafungwa bila kupitia mahakamani kutokana na kosa linalohusu ardhi.
Ninawakaribisha Lucas Mwashambwa na Thlaatlaa kupongeza pia.
ni muhimu sana familia hiyo kujisalimisha haraka sana kwenye vituo vya polisi vilivyo karibu nao kabla ya hatua zaidi hazijachukuliwa dhidi yao, ili hatimae hatua muafaka zichukuliwe kutatua changamoto husika na ipatikane suluhu ya kudumu dhidi ya changamoto hiyo inayoleta usumbufu na kuchochea uhasama miongoni mwa jamii.Akiongea huko Madale mkuu wa mkoa ameliagiza jeshi la polisi liikamate familia yote ya mzee Mushi na kuwaweka kolokoloni! Ni lipi kosa la mke na watoto wa mzee Mushi wanahusika na kosa ambalo huenda lilitendwa na marehemu! Sidhani hata walalamikaji watafurahia kuona mke na watoto wa anayedhaniwa mtuhumiwa wanafungwa bila kupitia mahakamani kutokana na kosa linalohusu ardhi.
Ninawakaribisha Lucas Mwashambwa na Thlaatlaa kupongeza pia.
Nimeandika ni marehemu kama ilivyoelezwa kwenye taarifa ya habari.Una haraka Gani asubuhi yote hii hadi kushindwa kutoa briefing ya kinachogombaniwa. Mzee Mushi ndio nani? Alifanyaje?
Mbona nimeeleza ni swala la ardhi.Kwa kosa gani?
Ulichokiandika juu na chini ni kile kile.Kutiwa "kolokoloni" na polisi siyo kufungwa bila kupitia mahakamani.
Ni kuwekwa mtu kati na polisi kabla ya kupelekwa mahakamani.
Naunga mkono hoja.Akiongea huko Madale mkuu wa mkoa ameliagiza jeshi la polisi liikamate familia yote ya mzee Mushi na kuwaweka kolokoloni! Ni lipi kosa la mke na watoto wa mzee Mushi wanahusika na kosa ambalo huenda lilitendwa na marehemu! Sidhani hata walalamikaji watafurahia kuona mke na watoto wa anayedhaniwa mtuhumiwa wanafungwa bila kupitia mahakamani kutokana na kosa linalohusu ardhi.
Ninawakaribisha Lucas Mwashambwa na Thlaatlaa kupongeza pia.
Mke mjane na watoto wake wajisalimishe polisi! Kichaa wewe.ni muhimu sana familia hiyo kujisalimisha haraka sana kwenye vituo vya polisi vilivyo karibu nao kabla ya hatua zaidi hazijachukuliwa dhidi yao, ili hatimae hatua muafaka zichukuliwe kutatua changamoto husika na ipatikane suluhu ya kudumu dhidi ya changamoto hiyo inayoleta usumbufu na kuchochea uhasama miongoni mwa jamii.
Aidha,
Binafsi nampongeza mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam kwa kusimama vizuri katika nafasi yake na kuhakikisha amani, utulivu na usalama wa wana dar es salaam ni shwari wakati wote.
Mungu Ibariki Tanzania 🐒
Acha kunywa visungura.Unapoleta uzi kwa style hii, wewe na Chalamila mnakuwa na tofauti gani? Mnakuwa kama mapacha wa vichwa, akili na vitambi
Gentleman,Mke mjane na watoto wake wajisalimishe polisi! Kichaa wewe.