MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kingekuwa na uwajibikaji hadi muda huu Amani Golugwa na Mnyika wangekuwa wameshajiuzulu ili kulinda taswira ya chama. Haiwezekani Tsh 19m alizochangiwa mwenyekiti Lissu zitafunwe na wahuni ndani ya chama halafu Katibu mkuu na naibu wake wakaendelea kung'ang'ania viti. Wapishe uchunguzi.
Michango iliyotafunwa ni mingi sana huko CHADEMA ila naona huu wa safari hii Mungu mwenyewe kaamua kuingilia kati. Unatafunaje pesa za mtu yuko jela tena akiwa mlemavu? Kweli CHADEMA ni hatari sana kwenye hela. Hawa wakikabidhiwa hazina wataikausha kwa siku moja. Hawafai.
Ninawasihi watanzania wenzangu wote tujiepushe na michango ya CHADEMA kwa sababu haiendi kwenye malengo yaliyokusudiwa bali kwenye matumbo ya watu wachache. Ni aibu kubwa kwa makamu mwenyekiti Heche.
View: https://www.instagram.com/p/DUEHgndjHaQ/?igsh=c2JwamU2czJodDk=