stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
we changia bana acha kuskiliza watuPia alaaniwe mama yenu kwa mauaji aliyofanya

kuna kura yako imeibiwa?Mwizi wa kura nae atakamatwa lini?.
changeni msiskilize wana zengwe, nyie changeni kwenda namba ya hildaCcm Wana uchungu sana na chadema kuliko chadema wenyewe 😄😄😄.
Unamwambia nani sasa? Mwambie huyo aliyekuja na hoja ya kada wa chadema kuiba pesa za michango.Safari hii mmeingia pabaya.. kaka wa Lissu ni mwanasheria hatari sana kuliko Lissu.
Kingekuwa na uwajibikaji hadi muda huu Amani Golugwa na Mnyika wangekuwa wameshajiuzulu ili kulinda taswira ya chama. Haiwezekani Tsh 19m alizochangiwa mwenyekiti Lissu zitafunwe na wahuni ndani ya chama halafu Katibu mkuu na naibu wake wakaendelea kung'ang'ania viti. Wapishe uchunguzi.
Michango iliyotafunwa ni mingi sana huko CHADEMA ila naona huu wa safari hii Mungu mwenyewe kaamua kuingilia kati. Unatafunaje pesa za mtu yuko jela tena akiwa mlemavu? Kweli CHADEMA ni hatari sana kwenye hela. Hawa wakikabidhiwa hazina wataikausha kwa siku moja. Hawafai.
Ninawasihi watanzania wenzangu wote tujiepushe na michango ya CHADEMA kwa sababu haiendi kwenye malengo yaliyokusudiwa bali kwenye matumbo ya watu wachache. Ni aibu kubwa kwa makamu mwenyekiti Heche.
View: https://www.instagram.com/p/DUEHgndjHaQ/?igsh=c2JwamU2czJodDk=

Ile 100m ya kuchangia lissu anunue gari,Iko wapi!?Aliyetafuna pesa ameshafahamika na hatua zimeshachukuliwa kwanini usiipongeze CHADEMA kwa kuwawajibisha wabadhirifu tofauti na serikali inayocheka na wahuni na wabadhirifu wa billions za umma? 🤔
Hili lilitakiwa liwe ni funzo kwa serikali kuwa haijalishi wewe nani ukigusa fedha ya umma hatua zitachukuliwa dhidi yako.
Kwa hili ninawapongeza sana CHADEMA
Ww mpumbavu kweli jamaa yangu.Hivi Ile michango ya kumnunulia gari lissu iliyofika 100m ilitumikaje,tuliambiwa!?
Kingekuwa na uwajibikaji hadi muda huu Amani Golugwa na Mnyika wangekuwa wameshajiuzulu ili kulinda taswira ya chama. Haiwezekani Tsh 19m alizochangiwa mwenyekiti Lissu zitafunwe na wahuni ndani ya chama halafu Katibu mkuu na naibu wake wakaendelea kung'ang'ania viti. Wapishe uchunguzi.
Michango iliyotafunwa ni mingi sana huko CHADEMA ila naona huu wa safari hii Mungu mwenyewe kaamua kuingilia kati. Unatafunaje pesa za mtu yuko jela tena akiwa mlemavu? Kweli CHADEMA ni hatari sana kwenye hela. Hawa wakikabidhiwa hazina wataikausha kwa siku moja. Hawafai.
Ninawasihi watanzania wenzangu wote tujiepushe na michango ya CHADEMA kwa sababu haiendi kwenye malengo yaliyokusudiwa bali kwenye matumbo ya watu wachache. Ni aibu kubwa kwa makamu mwenyekiti Heche.
View: https://www.instagram.com/p/DUEHgndjHaQ/?igsh=c2JwamU2czJodDk=
No,usipindishe, chadema wanataka dola,sasa ikiwa pesa ndogo za michango kama hizi zinaliwa, iweje tuwe na imani kuwakabidhi nchi na hazina?Ww mpumbavu kweli jamaa yangu.
Badala ya kihoji fedha ya bajeti ya taifa inayolowa na mafisadi wa hapo Lumumba unahoji hivi visent?
Unajua lakini kwamba dar hakuna maji na wabiinge kina Asenga wanamsifia wenu na Abdul?
Nina uhakika washazitafuna. Ila safari hii wameingia pabaya. Kaka yake Lissu ni hatari ya kifo kwenye sheria. Halafu kwa jinsi yeye na mdogo wake wanavyopendana hapatakalika kwa vibaka wa CHADEMA waliotafuna pesa za mdogo wake.Hivi Ile michango ya kumnunulia gari lissu iliyofika 100m ilitumikaje,tuliambiwa!?
Unaijua ripoti ya CAG?No,usipindishe, chadema wanataka dola,sasa ikiwa pesa ndogo za michango kama hizi zinaliwa, iweje tuwe na imani kuwakabidhi nchi na hazina?
No,usipindishe, chadema wanataka dola,sasa ikiwa pesa ndogo za michango kama hizi zinaliwa, iweje tuwe na imani kuwakabidhi nchi na hazina?wa
Hatuongelei serikali, tunaongelea chadema na wizi wa michangoUnaijua ripoti ya CAG?
Unaijua Takukuru?
Una akili ndogo kama Lucy wa buza hutaweza kunielewa
Unaweza ikaitenganisha serikali na chama Cha mapinduzi au hirlewi unachoandika?Hatuongelei serikali, tunaongelea chadema na wizi wa michango
Hizo spinning za kitoto wewe,unaongea na mtu aliyehitimu shahada ya uchumi 2006Unaweza ikaitenganisha serikali na chama Cha mapinduzi au hirlewi unachoandika?
Huko Hazina hamna kitu. Mpaka akiba ya dhahabu inapigwa mnada. CCM wamesafisha hazina yote dadekiNo,usipindishe, chadema wanataka dola,sasa ikiwa pesa ndogo za michango kama hizi zinaliwa, iweje tuwe na imani kuwakabidhi nchi na hazina?
Kwanini mnaumia?changeni msiskilize wana zengwe, nyie changeni kwenda namba ya hilda
ccm hakuna hata centi inaweza kuchukuliwaKwanini mnaumia?
Harambee aliyofanya mama Samia mnamjua zile hela zimeenda wapi?au zimetumika vp?