MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
NILIWAONYA ZILE PESA WATAZITAPIKA SUBIRIN WATANZANIA WA SASA VYAO HAVILIWI KIRAHISI...WAKATUKANAKingekuwa na uwajibikaji hadi muda huu Amani Golugwa na Mnyika wangekuwa wameshajiuzulu ili kulinda taswira ya chama. Haiwezekani Tsh 19m alizochangiwa mwenyekiti Lissu zitafunwe na wahuni ndani ya chama halafu Katibu mkuu na naibu wake wakaendelea kung'ang'ania viti. Wapishe uchunguzi.
Michango iliyotafunwa ni mingi sana huko CHADEMA ila naona huu wa safari hii Mungu mwenyewe kaamua kuingilia kati. Unatafunaje pesa za mtu yuko jela tena akiwa mlemavu? Kweli CHADEMA ni hatari sana kwenye hela. Hawa wakikabidhiwa hazina wataikausha kwa siku moja. Hawafai.
Ninawasihi watanzania wenzangu wote tujiepushe na michango ya CHADEMA kwa sababu haiendi kwenye malengo yaliyokusudiwa bali kwenye matumbo ya watu wachache. Ni aibu kubwa kwa makamu mwenyekiti Heche.
View: https://www.instagram.com/p/DUEHgndjHaQ/?igsh=c2JwamU2czJodDk=
Watajeni kuwaadabisha pesa zimetumwa kwa uwazi elezenikalahuyunayulee...na sababu maalum za kuliwa...kuwadabisha hata kimyakimya inawezekana lakn kwa kuwa pesa zimetolewa kwa uwaziiAliyetafuna pesa ameshafahamika na hatua zimeshachukuliwa kwanini usiipongeze CHADEMA kwa kuwawajibisha wabadhirifu tofauti na serikali inayocheka na wahuni na wabadhirifu wa billions za umma? 🤔
Hili lilitakiwa liwe ni funzo kwa serikali kuwa haijalishi wewe nani ukigusa fedha ya umma hatua zitachukuliwa dhidi yako.
Kwa hili ninawapongeza sana CHADEMA
Hueleweki mkuu weka hoja yako vizuri tafadhali,Watajeni kuwaadabisha pesa zimetumwa kwa uwazi elezenikalahuyunayulee...na sababu maalum za kuliwa...kuwadabisha hata kimyakimya inawezekana lakn kwa kuwa pesa zimetolewa kwa uwazii
Yule wa bilioni tano kuandaa na kuhamasisha maandano kabla na baada ya uchaguzi abarikiwe au alaaniwe?Kingekuwa na uwajibikaji hadi muda huu Amani Golugwa na Mnyika wangekuwa wameshajiuzulu ili kulinda taswira ya chama. Haiwezekani Tsh 19m alizochangiwa mwenyekiti Lissu zitafunwe na wahuni ndani ya chama halafu Katibu mkuu na naibu wake wakaendelea kung'ang'ania viti. Wapishe uchunguzi.
Michango iliyotafunwa ni mingi sana huko CHADEMA ila naona huu wa safari hii Mungu mwenyewe kaamua kuingilia kati. Unatafunaje pesa za mtu yuko jela tena akiwa mlemavu? Kweli CHADEMA ni hatari sana kwenye hela. Hawa wakikabidhiwa hazina wataikausha kwa siku moja. Hawafai.
Ninawasihi watanzania wenzangu wote tujiepushe na michango ya CHADEMA kwa sababu haiendi kwenye malengo yaliyokusudiwa bali kwenye matumbo ya watu wachache. Ni aibu kubwa kwa makamu mwenyekiti Heche.
View: https://www.instagram.com/p/DUEHgndjHaQ/?igsh=c2JwamU2czJodDk=
Ninampongeza mwanaCCM Alute Mughwai kwa kuripoti polisi uhuni wa wanaCHADEMA kutafuna pesa za kaka yake. Vinginevyo tayari CHADEMA ilishapiga kimya.Aliyetafuna pesa ameshafahamika na hatua zimeshachukuliwa kwanini usiipongeze CHADEMA kwa kuwawajibisha wabadhirifu tofauti na serikali inayocheka na wahuni na wabadhirifu wa billions za umma? 🤔
Hili lilitakiwa liwe ni funzo kwa serikali kuwa haijalishi wewe nani ukigusa fedha ya umma hatua zitachukuliwa dhidi yako.
Kwa hili ninawapongeza sana CHADEMA
Kama hujui kitu kaa kimya. Freddie ni kada maarufu wa CHADEMA. Alikamatwa akiwa anakimbilia Kenya baada ya ishu kujulikana.Tunajua vizuri jinsi CCM ilivyo na wivu kila mara wanapoona CHADEMA na hasa Lissu wakichangiwa.
Huyo mtuhumiwa sijaelewa mantiki ya huo utambulisho wake wa CHADEMA maana ni kama ametenda kosa la kudukua account ya Kaka yake Lissu na kuhamisha pesa hizo (kazi ambayo naona iko sophisticated na unahitaji access fulani ya mitandao ya pesa), kwa kwa hiyo kosa lake pamoja na utambulisho wake havina uhusiano wowote na uanachama wake wa CHADEMA.
Hapa nia ni kutengeneza stori ya kuwakatisha tamaa wana watu wanaomuunga mkono Lissu.
Yale malalamiko ya kufungia line ya kupokea pesa yamefanyiwa kazi?
Ukada wake unahusiana nini na uhalifu huu? Kwa hiyo sasa hivi utaratibu ni kuwauliza wahalifu wote ukada na milengo yao ya kisiasa?Kama hujui kitu kaa kimya. Freddie ni kada maarufu wa CHADEMA. Alikamatwa akiwa anakimbilia Kenya baada ya ishu kujulikana.
Mimi nalaani Samia kuua Watanganyika zaidi ya 10,000Kingekuwa na uwajibikaji hadi muda huu Amani Golugwa na Mnyika wangekuwa wameshajiuzulu ili kulinda taswira ya chama. Haiwezekani Tsh 19m alizochangiwa mwenyekiti Lissu zitafunwe na wahuni ndani ya chama halafu Katibu mkuu na naibu wake wakaendelea kung'ang'ania viti. Wapishe uchunguzi.
Michango iliyotafunwa ni mingi sana huko CHADEMA ila naona huu wa safari hii Mungu mwenyewe kaamua kuingilia kati. Unatafunaje pesa za mtu yuko jela tena akiwa mlemavu? Kweli CHADEMA ni hatari sana kwenye hela. Hawa wakikabidhiwa hazina wataikausha kwa siku moja. Hawafai.
Ninawasihi watanzania wenzangu wote tujiepushe na michango ya CHADEMA kwa sababu haiendi kwenye malengo yaliyokusudiwa bali kwenye matumbo ya watu wachache. Ni aibu kubwa kwa makamu mwenyekiti Heche.
View: https://www.instagram.com/p/DUEHgndjHaQ/?igsh=c2JwamU2czJodDk=
Safari hii mmeingia pabaya.. kaka wa Lissu ni mwanasheria hatari sana kuliko Lissu.Ukada wake unahusiana nini na uhalifu huu? Kwa hiyo sasa hivi utaratibu ni kuwauliza wahalifu wote ukada na milengo yao ya kisiasa?
Tukumbuke wale wahuni walioua watu wengi MO29 huku wakiwa wamevaa jezi za Yanga, watu wakasema uvaaji wao hauna uhusiano na uhalifu zimetafunwa na wanaCHADEMA a
Lisu alipigwa risasi hadi leo polisi hawajafuatilia nani alitaka kumua. Iweje leo polisi wawe na uchungu wa pesa za Lisu ambazo hata mchangaji hatujawahi kuona namba yake ikichangisha? Bado kuna watu wanaamini taarifa za polisi? Weka namba iliyokuwa inachangisha hela hapa tuone inasoma jina gani, maana namba zote zinasajiliwa kwa kitambulisho cha NIDA.Kingekuwa na uwajibikaji hadi muda huu Amani Golugwa na Mnyika wangekuwa wameshajiuzulu ili kulinda taswira ya chama. Haiwezekani Tsh 19m alizochangiwa mwenyekiti Lissu zitafunwe na wahuni ndani ya chama halafu Katibu mkuu na naibu wake wakaendelea kung'ang'ania viti. Wapishe uchunguzi.