Ninalaani kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA kutafuna pesa alizochangiwa Lissu

Nina mlaani Samia suluhu Hassan
Aliyeruhusu maelfu ya vijana kuuwawa na mapolisi Ili apate kutawala hapo 29 October
Namlaani sana huyu naomba mungu atende jambo linalo mstajili kwake na hata vizazi
 
Hivi Ile michango ya kumnunulia gari lissu iliyofika 100m ilitumikaje,tuliambiwa!?
 
Ile 100m ya kuchangia lissu anunue gari,Iko wapi!?
 
Hivi Ile michango ya kumnunulia gari lissu iliyofika 100m ilitumikaje,tuliambiwa!?
Ww mpumbavu kweli jamaa yangu.
Badala ya kihoji fedha ya bajeti ya taifa inayolowa na mafisadi wa hapo Lumumba unahoji hivi visent?
Unajua lakini kwamba dar hakuna maji na wabiinge kina Asenga wanamsifia wenu na Abdul?
 
Nyie machawa mambo ya chadema yanawahusu nini? pumbavu
 
Ww mpumbavu kweli jamaa yangu.
Badala ya kihoji fedha ya bajeti ya taifa inayolowa na mafisadi wa hapo Lumumba unahoji hivi visent?
Unajua lakini kwamba dar hakuna maji na wabiinge kina Asenga wanamsifia wenu na Abdul?
No,usipindishe, chadema wanataka dola,sasa ikiwa pesa ndogo za michango kama hizi zinaliwa, iweje tuwe na imani kuwakabidhi nchi na hazina?
 
Hivi Ile michango ya kumnunulia gari lissu iliyofika 100m ilitumikaje,tuliambiwa!?
Nina uhakika washazitafuna. Ila safari hii wameingia pabaya. Kaka yake Lissu ni hatari ya kifo kwenye sheria. Halafu kwa jinsi yeye na mdogo wake wanavyopendana hapatakalika kwa vibaka wa CHADEMA waliotafuna pesa za mdogo wake.
 
No,usipindishe, chadema wanataka dola,sasa ikiwa pesa ndogo za michango kama hizi zinaliwa, iweje tuwe na imani kuwakabidhi nchi na hazina?
Unaijua ripoti ya CAG?
Unaijua Takukuru?
Una akili ndogo kama Lucy wa buza hutaweza kunielewa
No,usipindishe, chadema wanataka dola,sasa ikiwa pesa ndogo za michango kama hizi zinaliwa, iweje tuwe na imani kuwakabidhi nchi na hazina?wa
 
Vijana wa CHADEMA wanaosema tutachanga tena hawana tofauti na wale vijana wa Liberia waliompigia kura za ushindi muuaji Chalz Taylor kwa slogani yao maarufu inayosema "Alimuua baba yangu, alimuua mama yangu lakini nitampigia kura"... Chalz Taylor alipochaguliwa alianza kuwaua hao vijana kama kuku na Liberia ikaingia kwenye vita mbaya sana ya wao kwa wao. Ninawasihi vijana wa CHADEMA muache upuuzi na kukataa kuwa kama kondoo mnaswagwa tu. Hela zako zinatafunwa halafu unasema utachanga tena?!! Una akili timamu??
 
No,usipindishe, chadema wanataka dola,sasa ikiwa pesa ndogo za michango kama hizi zinaliwa, iweje tuwe na imani kuwakabidhi nchi na hazina?
Huko Hazina hamna kitu. Mpaka akiba ya dhahabu inapigwa mnada. CCM wamesafisha hazina yote dadeki
 
Kwamaelezo niliyosikia kwa mdogo mtu ,mzee alute alizingua alimpaje namba ya siri huyo kijana eti kisa kufatilia miamala ya pesa inayoingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…