Ninampenda ila tabia zake zinanitia hofu

90%+ babu atakuwa kashaungua, haoni tatizo kujipoza na pesa zake alizonazo.

Wakiamua kufanya hivyo basi wahakikishe hawezi kuunguzwa
Babu hajaungua walioungua pesa kama laki 5 hua haisubiri mwisho wa mwezi.

Ushauri wangu kwa mleta uzi ni afanya mpango agewe hata 1M afungua biz yoyote.
 
Kaka hapo hauna mke ,mchumba wala demu huo ni mlupo...yaan mtu anapigwa nje kisa simu daaah..wanawake wa siku hizi ni shida
 
Ukiona manyoya?.....................................ntarudi kucomment badae
 
Kama unampenda mtu wee focus nae! Mbadilishe kuwa vile unataka nahizo tabia ataacha. Wanawake tunabadilika vizuri tu mbona. Pia fanya hima mkapime!

Jarbu huu ushauri mkuu lakin njia nyepesi ya kumbadilish mtu ni kubadilika ww kwanza,,
 
hivi hawa raia waliopo jf ndiyo wapo na huku mtaani sasa hapa ushauri unaomba wa nini
 
yaani unachofanya ni sawa na Mwanamke mwenye akili timamu unaenda kwa mwanaume then ukiliwa mzigo ukitoka unasema haukutaka kuliwa ulijua umeenda kutembea tu
 
Yupo kijana mmoja jirani hapa hafanyi kazi yeyote lakini mkewe kila akitoka akirudi ana chochote kitu wanapika wanakula maisha yanaenda. Hutaki unaacha, unataka bas kaza roho
 
Kijana bado anahitaji ushauri juu ya hayo[emoji23][emoji23] mpaka baba mdogo kamwambia kuwa makini lakn jamaa bado haelewi
 
pesa zipo nahisi hazitoshi
Brother "huna Pesa" huo ndio ukweli, japo kuwa na pesa sio sababu ya mwanamke kuto kuchepuka
Lakini angalau ukiwa na Pesa inapunguza asilimia kadhaa za mwanamke kuchepuka hovyo.
Sikia achana na maswala ya kumpenda mwanamke ambaye tayari amethibitisha mwenyewe kuwa yupo kwa ajili ya Pesa.
Piga chini kisha komaa kwenye mishe zako . ukataze moyo wako kupenda kitu/mtu asiye sahihi kwako.
Narudia komaa kwenye mishe zako, sisi wanaume ni jamii ya wanyama wawindaji, simba ukimkamata swala ukaona nyama yake hailiki piga chini endelea kuwinda swala mwingne
Ahsante
 
Ushauri mkubwa kuliko wote, jibidishe kutafuta pesa na maisha. Root cause ya kila ulichosimulia hapo ni wewe kukosa pesa, basi sio pesa nyingi...walau ya kuweza kukusaidia hata akitaka kupika biriani uwe nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…