Ninampenda ila tabia zake zinanitia hofu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo ni business partner kwaio babu anampa bure bure tu alooo
Usikute kakuroga tayari dah
Kaka zangu mnamalizwa jamani[emoji2362]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee dea jaman khaaaah
 
Ushauri mkubwa kuliko wote, jibidishe kutafuta pesa na maisha. Root cause ya kila ulichosimulia hapo ni wewe kukosa pesa, basi sio pesa nyingi...walau ya kuweza kukusaidia hata akitaka kupika biriani uwe nayo.
Bora hata mumuambie ukweli ajue, lol
 
kama unakomaa huyo manzi wee komaa tuu,
kuna watu wengine kama mimi huwa sijali mambo hayo!

mwanamke km hatongozwi au hukuti msg kwenye sim yake huyo hakufai...

tafuta jinsi ya kuishi nae kwa hayo mapungufu yake ili hali kuna kitu special unakipata kwake..

wamasai wanaita FRIEND WITH BENEFIT.

mimi hayo maisha nimezoea na nitayaishi tuu!!
kama ukimhitaji upo nae why killing rself thinkin about her??

we tafuna tuu siku ziende hakuna mwanamke wa kuoa miaka hiii...

may be wapo lakini ni wale WIFE MATERIAL.

sio wazuri ila wana akili sana na hata sura zao unaziona zilivyo inocent
hahahaha u know what..
u never give a fuvk unatoa black n white!
inside out ni msngee kumma tu ndo hatakuelewa
 
Kama wote wa maisha ya chini anza kujipanga na huyo manzi wako muandae awe kitega uchumi
...mtapiga hela...leo anzia na babu..kesho muogeshe mlete mjini huku karambezi au capetown mlengeshe hatokosa danga heavy ila uwe unamsimamia..pia kama pisi kali mfungulie insta account uisimamie mpige mapicha makali location nzuri kwenye kile cafeteria kenye baiskeli na maua town au kule kwenye miamvuli obey...
Yan mtapiga hela balaaaa..ila uwe unatumia kinga au usipige show za kibabe..pia tafuta kidumu chako uhakika ukiandae kama back up plan uyo baadae akikolea akakimbia kimoja
 
Maushauri ya JF miaka hii ni kiboko!!
 
Maushauri ya jf miaka hii ni kiboko!!
Mkuu kijana anaonekana hana hela alafu hana uwezo wa kumpiga chini huyo manzi..sasa unataka umshauri nini kama sio unataka ongeza watu wenye sonono nchini...

Huyu ni wakumpa moyo aendeleze gurudumu tu maana dem kamchana live na kafanya hivyo kwasababu anamuelewa mchizi ..mpaka anamka kuomba game unakuta uko babu kamchezea wee hajala mzigo kamtoa simu...karud chupi ipo ndembe ndembe anataka kaz jamaa anasusa..anasusa na hela hana...ila kajamaa kana roho ya ki rwanda😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…