MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
In fact,Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza Mbowe kwa sasa yuko wapi baada ya kuporwa chama na mnyampaa? Nadhani ni swali la watu wengi pia. Nimeshangaa kugundua jabali la siasa za upinzani nchini anatumia muda wake mwingi Machame. Yaani hajihusishi kabisa na siasa kwa sasa. Watu wangu kadhaa walio kwenye circle ya Mbowe wanasema kwa sasa ukienda nyumbani kwake yeye mwenyewe ndo atakupokea na kukukaribisha.
Mungu mbariki jabali Mbowe kwa kuamua kuachana na siasa za kihuni chini ya Lissu na Heche. Uamuzi wake wa kujikalia kimya kijijini ni uamuzi wa busara sana unaomlindia heshima yake aliyoijenga kwa miongo kadhaa.
Ila ninaamini Mbowe atarudi tena ulingoni na kumsambaratisha vibaya Lissu.
Unampongeza Mbowe kujiweka mbali na siasa wakati weye humu unashinda kutwa na kuwa chawa wa wanasiasa. Kwanini usimuige mbowe mkawa nyote kijijini?Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza Mbowe kwa sasa yuko wapi baada ya kuporwa chama na mnyampaa? Nadhani ni swali la watu wengi pia. Nimeshangaa kugundua jabali la siasa za upinzani nchini anatumia muda wake mwingi Machame. Yaani hajihusishi kabisa na siasa kwa sasa. Watu wangu kadhaa walio kwenye circle ya Mbowe wanasema kwa sasa ukienda nyumbani kwake yeye mwenyewe ndo atakupokea na kukukaribisha.