Ninamzidishia baba 500K kila nikitoa hela

Huo ni ubaguzi na badae itakughalimu hasa pale mama atakapojua kuwa baba anapsta zaid
 
Dhambi zako zimefutwa labda uanze kutenda zingine. Aaamen!
 
Nakosea kwa hili?
Naomba maoni yenu ndugu zangu.
Upo sahihi 500k uliyompa ni inaenda kwa Mama tena atakua na mara 2 alafu hio 500k unayomuongeza ndio ya kwake Ila utakuta nayo sasa ndio inakua ya matumizi wakati huo kashampa 500k Mama yako hapo ni akili kichwani,.

Cha kukushauri ukimpa mara ya Pili usimpe 500k mpe mara 2 yaan 1M kwa hio atakua na akiba ya 500k pembeni ukiondoa Ile 500k uliyomuongeza ambayo itaenda kwa Mama na Ile 500k ambayo pia itaenda kwa Mama sasa yeye atabakia na 500k ambayo ni ya kwake atajua mwenyewe cha kufanya, tunawajua Mama zetu na hio 500k uliyomuongeza mara 2 mwambie kabisa 500k 1 ndio ya kwake hiyo nyingine ataamua mwenyewe ampe Mama au asaidie matumizi, namaanisha Baba mpe 1.5M
 
Huo ni ubaguzi na badae itakughalimu hasa pale mama atakapojua kuwa baba anapsta zaid
Mama anachukua kwa Baba ipo hivyo mfano mdogo kuna familia Baba ndio provider Mama Pesa yake sio kwa ajili ya matumizi ya familia hata kidogo Ila Pesa yake kwa ajili ya matumizi mengine hata akiumwa bills zote za matibabu anatoa Baba hata km Mama Pesa anayo Ila hatotoa sababu Pesa zake sio kwa ajili ya matumizi hayo Ila Baba ndio Mlinzi namba 1 na msimamizi wa Familia, majestically Baba ndio Mfalme wa Familia akiwa kinyume chake falme lazima ianguke na kuparaganyika kabisa, kwa hio Mama anapokea Baba kazi yake ni kutoa sasa hapo uzani lazima uelemee upande mmoja kwa hio kutokana na hilo mmoja mwenye kutoa lazima umjazie minyama maana Ile minyama yote hatokaa nayo lazima ataitoa kwa wengine katika hili na lile, sio ubaguzi Ila ndio nature ilivyo
 
Nimejifunza kitu.. hii nzuri
 
Siku ukikosa ya kumpa pembeni lazima akuwakie kuwa unampa mama yako, na siku ukikosa kabisa atalaumiwa mkeo.
 
Ikiisha huyo miatano atatumia ile uliyompa kifupi mwanaume ni majukumu hafaidi chochote
 
Sasa unataka ushauri gani? Pesa zako, wazazi wako.

Imekaa kitangazo tangazo.
 
Sio kweli huu ni upotoshaji
Wala sipotoshi, mie wazazi walivyotulea tulikuwa tunawapa wote na anakabidhiwa baba hata kama umenunua nguo ya mama anakabidhiwa baba yeye ndiye anampa mkewe.
 
Hizo familia za kiswahili hizo, mama hawezi ficha pesa kisa matumizi yake watoto walale njaa? Kwanza Mzee kama hakuna kitu anamuuliza mkewe vipi huko huna akiba mama anatoa, ila siwezi wasemea wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…