Ninamzidishia baba 500K kila nikitoa hela

Na Mama pia mzidishie
 
Upo sawa
 
We zidisha hata mara kumi ukiondoka anampa mke wake zote....
Bora hivyo. Tatizo madingi wengine miyeyusho kinyama. Siku nilipojua katika huu umri wangu wa miaka zaidi ya 35 kuwa nina mdogo wangu wa mwaka mmoja na nusu toka kwa mama mwingine nikaamua kuweka vikwazo vya kiuchumi kimyakimya kwa mshua. Abebe msalaba wake. Mama ataendelea kufaidi jasho langu bila vikwazo.
 
Ungejua nilivyo choka mbaya... Unafikiri hiyo 500k natoa kila mwezi basi...
 
Ungejua nilivyo choka mbaya... Unafikiri hiyo 500k natoa kila mwezi basi...
Sawa, ni sahihi kumzidishia mzee, lakini haswa kama mzee unaona mambo yake yananyooka na pesa yake inatumika home, ila kama mzee ana mambo mengi, wamama kibao pembeni, mama yangu hata kitenge hamnunulii, hapo ni vema umpe mpunga wa maana bimkubwa na mzee umpelekee bunda la sigara, suruali na mashati.
 
🀣🀣🀣 kweli african families hazina mpangilio, hapo utakuta mtoto wako wa miaka 10 ana huyo baba ake mdogo wa mwaka na nusu, nacheka kama mazuri....
 
🀣🀣🀣 kweli african families hazina mpangilio, hapo utakuta mtoto wako wa miaka 10 ana huyo baba ake mdogo wa mwaka na nusu, nacheka kama mazuri....
Acha tu ndugu yangu. Kina mama wengi ni wavumilivu na wanakutana na majaribu mengi. Kina baba tunawavuruga haswa.
 
Ni kopi kabisa. Huulizi mara mbili. Huo ni ushahidi tosha. Ni kama Ridhiwani na Jakaya!
Kama ni kweli

Kuanzia leoooooo muongezeeeee mil 1

Na sioo lak 5 tenaaaaaa na usijekulalamika

Mzazi ameshika baraka zakoo mpendwa

Nikopale kwa wakalaaaaa
 
Sijawahi kumpa hela mzazi nkateseka na hela ukimpa ineneneeee kama inavyotoa sadaka utaona baraka zake
 
Mungu akubariki mkuu! Wewe ni mfano jinsi watu tunatakiwa kufanya! Hakuna makosa kwenye kuwapa wazazi hela! Hakuna mtu atafilisika kwa kuwapa wazazi wake hela! Hongera sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…