Ninani basi aliyewaambia wabongo pilau lazima ipikwe siku ya sikukuu?

Inategemea mkuu, kijijini kwetu wali nyama tu ndo vinatamba siku za sikukuu, mambo ya pilau sijui tambi ni kwa wachache sana.

Anyway ni maamuzi tu ya mtu na hali aliyonayo, kwa mfano kama una familia wakat mwingine unafanya hivyo kuwafanya watoto wasikae kinyonge, ila binafsi unaona hata ugali maharage fresh

Mm nipo peke yangu nimepika ugali mayai, na hakuna mshipa wa fahamu ulioshtuka
 
Hakika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…