Ninani basi aliyewaambia wabongo pilau lazima ipikwe siku ya sikukuu?

Wewe na pilau ni wapi na wapi au mbingu na ardhi.
 
Ni utamaduni tu hata maandiko mengi kwenye Biblia yametokana na utamaduni wa jamii mbalimbali
 
Japo wengi mnatamani, ila humo kuna mate, kamasi, nyewle, vinyesi, n,k kiwe kimeandaliwa nyumbani au kwenye restaurant, n.k.

Sisi wabongo ni wachafu sana na hatuna kinyaa japo kimavazi unaweza kuona ni wasafi.

Mtanisamehe.
 
Sisi wenginee pilau daily
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…