Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #81
Brother, msamehe bure tu huyoHuna unalojua wewe,
Kuna dogo namfahamu ni WA kawaida kabisa alikutanishwa na Mtoto WA Bakhrresa Mwaka Jana maeneo ya Kijitonyama.
Yule dogo alikuwa na Formula ya kutengeneza juice yake ya kipekee. Akakutanishwa na mtoto WA Bakhrresa (yusuph). Dogo akamtengenezea Ile juice bila kumpa formula, Yusuph bakhrresa akipenda Sana Ile juice.
Ila walikuja kushindwana dogo aliweka masharti mengi Sana watakapoanza KAZI pamoja.
Sasa wewe endelea Kudhani wanaotoa mawazo ni majitu makubwa yenye miguvu na misuli.
Sawa mamaaHuna unalojua wewe,

Mmekutana washauriBrother, msamehe bure tu huyo
Kwanini unamtukana mwenzako?Sawa mamaa
Tusi liko wap hapoKwanini unamtukana mwenzako?
Please, welcome to my ignore listTusi liko wap hapo
🙏 Nakubali mzee wangu, hy n list ya wanaume wa kazi ulioshindwa kushindana naoPlease, welcome to my ignore list
Daaah, hii story imekaa poa sana mkuuKuna dogo namfahamu ni WA kawaida kabisa alikutanishwa na Mtoto WA Bakhrresa Mwaka Jana maeneo ya Kijitonyama.
Yule dogo alikuwa na Formula ya kutengeneza juice yake ya kipekee. Akakutanishwa na mtoto WA Bakhrresa (yusuph). Dogo akamtengenezea Ile juice bila kumpa formula, Yusuph bakhrresa akipenda Sana Ile juice.
Ila walikuja kushindwana dogo aliweka masharti mengi Sana watakapoanza KAZI pamoja.
Hii ndio kwanza ninaisikia kutoka kwako mkuuNani wa kutumia kampuni ambazo ODD zake ni HOME DROO WIN hata akifanya marketing vipi hakuna mtu anakwenda kuwekeza sehemu ambapò probability ya kupoteza ni kubwa.
Nipo kaka unaendeleaje?Kaka upo?
Ninaendelea salama tu ndugu yanguNipo kaka unaendeleaje?
Karibu tena jukwaaniNinaendelea salama tu ndugu yangu

Nani kakwambia ni kampuni yake zaidi ya kupewa hisa kidogo kwa kutumia label yake?Asante sana mkuu
Sawa mkuuNani kakwambia ni kampuni yake zaidi ya kupewa hisa kidogo kwa kutumia label yake?
Ni ya Wakenya fulani,ambao ukitaka kuwaona pitia kwa Mwijaku