INGENJA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 4,990
- 4,259
Kweli kabisa Maisha ya Tanzania yamekuwa pata pote, kunamtu kagrab kihuni ofisi ya umma anajinasibu anajenga nchiBiashara imekuwa ngumu sana, wengi wanabeba chakula kwenda kazini. Hata biashara ya mama ntilie imekuwa ngumu sana