Kwanza kabisa pole sana kwa changamoto hizo na hizi changamoto za kibiashara ndizo zinatofautisha wajasiriamali kwani ukiweza kupambana nazo basi utafanikiwa sana.
Kwa maelezo yako una uzoefu wa ufugaji wa kuku na kwa sasa mtaji ulionao hauwezi kuiendesha.Maana yake sasa unahitaji kuanza biashara ambayo kwako itakuwa mpya.Kuanza biashara mpya unahitaji kuanza kidogo kidogo kwa kusoma soko husika.
Biashara ambayo kwa kuitazama unaweza sema haina tija lakini ukipata uhakika wa soko ni nzuri sana.
Mfano ni baishara ya ubuyu ambayo unaweza kuwekeza efu kumi tu ambayo ni 1Kg ya ubuyu na kupata faida ya sh.4000.
Tutafute upate darasa la kuanzisha biashara hiyo.
0713659828
Sent using
Jamii Forums mobile app