Ninaomba mchanganuo wa biashara rahisi... Wanangu hawajalipiwa karo na maisha hayaendi. Nina 500,000 tu ndugu zangu, nifanye nini?

Hayo maji unafunga tu yanakuwa salama au unayachemsha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uamuzi ni wako utafanya vile utakavyoona ni sawa hata wewe Unaweza kuyanywa hayo MAJI...usiweke tu Maji kisa unatafuta hela ndio uweke tu mimaji..weka maji utakavyoona wewe ni sawa ILIMRADI hata ukiskia kiu unaweza ukachukua na ukanywa bila tatizo.
 
NAKUPA BIASHARA NDUGU CHANGAMKA NA USIACHE

Hii biashara inadharaulika lakini UTANIKUMBUKA (kama hautoidharau)

MAHITAJI : FRIJI/FREEZER (najua hukosi huko nyumbani)

:Kama huna Friji/friza Nunua Madell ya kuwekea MABARAFU

BIASHARA YA KUUZA MAJI YA KANDORO

Nunua maji ya DAWASCO ndoo kubwa sh.200...Tafuta vijana wawili au kama uko peke ako ingia kwenye BAR/PUB/HOTEL omba makopo ya maji watu waliokunywa wakayatupa MFANYA USAFI wa mahali husika UTAMKUTA ANAYO KAYAKUSANYA ANAPOPAJUA YEYE mpe sh.2000 atakupa Roba mfuko wa kg.100 ule wa MCHELE umejaa makopo kibao.

Nenda nyumbani na Makopo yako yaoshe vizuri kbs (usitumie sabuni) kisha chukua makopo ya LITRE 1 jaza maji yako masafi yale ya dawasco...ukimaliza nenda kayaweke kwenye Friza yagande kbsa Asubuhi pakikucha Chukua ndoo TUPU weka maji yako yapange vizuri (itapendeza ukipata vijana hata wawili) kisha nendeni kauzeni Na jua hili mtauza sana Mtauza sh.200 PER BOTTLE so mkimaliza mnarudi mnachukua mzigo mwingine wa Maji mnaenda Front.

Nakuhakikishia kwa SIKU ukiingiza CHINI ya 50,000 rudi hapa NITUKANIE WAZAZI WANGU WOTE,nakubali lawama zozote kama Huu ushauri ninaokupa hautokupa FAIDA...Hata kama ukiwa peke ako huna Vijana Ukikosa 30,000 kwa siku NAKURUHUSU uje unitukane HADHARANI.

LAKI 5 yako kama huna FRIZA nenda kanunue Friza la MTUMBA 300,000 INABAKI lAKI MBILI sikufundishi jinsi ya kuitumia hiyo...

NOTE: Shida yako imekuja kipindi muafaka JUA LINAMULIKA IPASAVYO litumie Hili JUA KUVUKA NDUGU YANGU..hamna asiekunywa MAJI tena wakati unauza Nunua Epron nyeupeeee na kofia Vaaa. Uza maji ktk hali ya USAFI hakika utavuka .

biashara ya mtaji wako HAMNA NYINGINE ZAIDI YA VINYWAJI kama unataka kutoka haraka MAANA UNAMAJUKUMU UMESEMA ILA KAMA HAUNA MAJUKUMU NA HUITAJI HELA HARAKA...FANYA ZINGINE NAZO ZINA PESA.

ONYO: USHAROBARO/U KAKA DUU weka pembeni PAMBANA YA ELA YOTE.
Wazo zuriii sana

Hizi ndo akili,safi sana...biashara bomba kabisa
 
Kwanza kabisa pole sana kwa changamoto hizo na hizi changamoto za kibiashara ndizo zinatofautisha wajasiriamali kwani ukiweza kupambana nazo basi utafanikiwa sana.
Kwa maelezo yako una uzoefu wa ufugaji wa kuku na kwa sasa mtaji ulionao hauwezi kuiendesha.Maana yake sasa unahitaji kuanza biashara ambayo kwako itakuwa mpya.Kuanza biashara mpya unahitaji kuanza kidogo kidogo kwa kusoma soko husika.
Biashara ambayo kwa kuitazama unaweza sema haina tija lakini ukipata uhakika wa soko ni nzuri sana.
Mfano ni baishara ya ubuyu ambayo unaweza kuwekeza efu kumi tu ambayo ni 1Kg ya ubuyu na kupata faida ya sh.4000.
Tutafute upate darasa la kuanzisha biashara hiyo.
0713659828

Sent using Jamii Forums mobile app

Asante kwa mchango wako mzuri na wa upendo na kujali sana nitakutafuta leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hajachelewa kama akiamua ifanyia kazi idea SASA hivi akipiga kazi kwa bidiii MWEZI 1 tu kwa faida ya 30,000 au tufanye kakosa kabisa apate 20,000 ina mana kwa mwezi ana 600,000..Mvua zikianza mfukoni ana Laki 600,000 FRIZA lake analo atabuni biashara nyingine maana MTAJI atakua nao..Na biashara yake ya Maji ataendelea nayo kwa kuwaachia Vijana hata kama kuna mvua ya Mafuriko kila siku HAKOSI 10,000 (uhakika hiyo bila chenga)..sasa wakati vijana wanaleta hesabu ya 10,000 per day Huku ile LAKI 6 yake nauhakika ATAKUA amepata kabiashara kengine.

Ambapo akichanganya faida ya biashara mpya na ya zamani anaenda kule kule kwenye 30,000 (per day) = 900,000 kwa mwezi.
Ni yeye tu kuamua na kuwa na maamuzi ya chap chap haina Kuzubaa hii vijana wanasema.

Akiona haoni cha kufanya wakati wa Mvua arudi hapa Aombe ushauri Apewe idea...MVUA ina FURSA kuliko JUA kwa wenye mitaji yetu ya 500,000 (kushuka chini)...yani haya maisha hayana kisingizio ukiwa huna hela ni UZEMBE.

kISINGIZIO KINACHOKUBALIKA POPOTE NI MAGONJWA YANI UKIWA DHAIFU KIAFYA HAPO HAMNA UJANJA ILA AFYA IKO POA UKIKIMBIZWA NA MBWA UNAJUA KUKIMBIA MPK NA KUPANDA MTI BRO/SISTERS HAMNA WA KUMLAUMU.

Nimetiwa moyo na mchango wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka ARUSHA huko NENDA dar katafute maisha..Unapokua huna hela na unaona mkoa uliopo Hauna Furrsa ONDOKA kwa MUDA sio kwamba unaikimbia familia yako ila MAISHA ndio yanayokufanya hivyo. so utafanya kazi utawajali familia yako na kkwa kua umejiajiri una uwezo wa Kila WIKI kurudi ARUSHA kusalimia familia yyako kama kweli ukifika huko dar UTAPAMBANA ipasavyo.

Mwanaume unatakiwa uwe kama mwanajeshi ukishaamua kuwa mfanyabiashara/mkulima unaweza ondoka kwenda kazini ukakaa miezi kadhaaa kisha ukarudi MUHIMU tu uwe UNAJITAMBUA

Mimi ni KE ndugu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaji wa Tsh 500,000/= kama hautegemei na kula hapo hapo na unaweza kuvumilia angalau mwezi mmoja bila kudokoa faida hata Tsh 100/= unatosha sana. Cha msingi ni kujiandaa kwa lolote - kubadilisha maisha yako na kuwa na furaha au kupoteza hata hicho kidogo ulichobakiwa nacho.
Kama ukiweza kufanya biashara kwa mtindo wa Pre-Selling unaweza kufanikiwa pia. Unachotakiwa kufanya ni kufikiria kitu gani unaweza kuwauzia kwa Cash watu ambao unaweza kuwafikia na kisha nunua sample chache sana kwa ajili ya kutangazia na kuonesha. Baada ya hapo watembelee na uwatangazie kwa ajili ya kukusanya orders na kupata uhakika wa soko. Ukipata order sasa ndo unaenda kununua bidhaa husika kwa bei ya jumla na kisha kufanya delivery na kuwauzia wateja wako kwa bei ya rejareja. Kwa kuanzia anza na bidhaa za watoto na wanawake.
Bidhaa angalia zinazoendana na mahitaji ya eneo lako na mtaji wako. Mengine muombe zaidi Mungu atakusaidia.

Asante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu! Naamini members advices some will help!
 
kULE biashara inatoka sana ndio mana wanauza sh.100 Mtu anaepiga biashara ile Gerezani Anauhakika wakulaza LAKI kibindoni Kila siku...Maji hayachukui Round yameisha..Sema ukiwa unafanya ile biashara kwa kule gerezani basi inakubidi uwe na Friza la maana NA SIO MOJA UWE NAYO SI CHINI YA matatu
Mhhhhhhh.umeongeza chumvi kwambalii .nikweli wanapiga sana pesaaa.tena sanaaa.coz nimeshuhudia na naelewa raman nzima yawat wapale but sio kwa usawa wa laki kwa siku.hyo itakuw mbal kdg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhhhh usichukulie rahisi kihivyo .eti mtaji wamaji .vijana wakuletee elfu 10 mwenye mtaji wa mil 2.kuletewa hyo pesa 10kwasik nimbinde atakm ukouko towb.unadhania mchezomchezo nn
.mawazo mnayo ila kidg mnaongeza na chumvi

Back
Top Bottom