Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Aiseeh!
Hii vita ya Israel Vs Hezbollah na haya mauaji ya safu ya UONGOZI wa Hezbollah ukisoma huko mitandaoni hasa mtandao X na Facebook utagundua Waarabu hawapendwi Dunia nzima.
Sio China, India, Pakistan, Ulaya ndio usiseme, Amerika na hata huku Afrika.
Sijajua tatizo ni nini. Hivi mchina anamaslahi gani na Muarabu na sikumbuki kama historia iliwahi kuwakutanisha,
Muafrika tunaweza kusema labda ni kutokana n biashara za utumw zilizofanywa na Waarabu au Jamii za kiislam akiwepo Mansa Musa aliyevunja rekodi ya kuuza watumwa zaidi ya Laki Mbili.
Swali linakuja, nini kinafanya waarabu wachukiwe?