akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 674
- 868
Sa mbona mnaalalisha yaliyoharamishwa kwenye kitabu chenu!!?Nafikiri niliyemnukuu anaelewa nazungumzia kitabu kipi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sa mbona mnaalalisha yaliyoharamishwa kwenye kitabu chenu!!?Nafikiri niliyemnukuu anaelewa nazungumzia kitabu kipi.
Zaidi ya Iran ambayo kwa asili Iran sio Waarabu; nitajie taifa lingine la Kiarabu ambalo mafuta yao hayana mikono ya western countries? Hata hiyo Iran yenyewe bado kuna wazee wa Magogu, yaani RussiaWakati mwingine nafikiri labda ni wivu na husuda kwa waarabu kwa kuwa wamejaliwa mafuta pia wanazilinda na kuthamini rasilimali mali zao. Wivu upo!!
Bekham baada ya kutakiwa kuwa balozi ktk kombe la Dunia lililofanyika Qatar, mataifa yote ya Europe ambayo kimsingi ndio walioalalisha na kubariki USHOGA kanisa Angalikana likiwa ndio kinala wa Ushoga duniani, waliungana kumkejeli Bekham kwa nini, anawasariti Mashoga na mataifa yote ya Europe ambao ndio wabariki wa Ushoga ktk makanisa yao na yeye (Bekham) akubali kuwa balozi ktk nchi ambayo inapinga uchafu wa wazungu na wacrist!? (Qatar)
NB: Ucrist ndio dini pekee iliyoalalisha USHOGA Duniani.
Iran sio muarabu.Hakuna urafiki baina ya Mzungu na Muiran.
Mrusi anamnafikia Muiran tuu.
Mchina ndio Kabisa.
Mchina hawezi kuweka Alliance na Muarabu
Sio Kweli nchi kibao zinatoa mafuta sio uarabuni tu,sema ugaidi unawatafuna chunguza utagunduaWakati mwingine nafikiri labda ni wivu na husuda kwa waarabu kwa kuwa wamejaliwa mafuta pia wanazilinda na kuthamini rasilimali mali zao. Wivu upo!!
Unaonekana wazi kuwa umeamua kuchagua upande, uliaza vzr lkn ukamalizia vibaya kwa kuwela ushabiki pia ndugu.Sema nini; wabongo wengi tuna uelewa mdogo sana wa mambo mbalimbali, yaani karibu kila kitu ni ushabiki na upuuzi tu, hivi kabisa unaweza kutamka mbele za watu kwamba Ukristo unaruhusu ushoga? Biblia ina nukuu nyingi sana za kuupinga ushoga, imeeleza sana madhara ya ushoga na hata Mungu alivowahi kuadhibu maeneo yenye ushoga mwingi. Watu wakisikiaga story za kwenye vijiwe vya kahawa then wanadhani wana jua. Labda niulize; Biblia umesoma vitabu vingapi na Quran umesoma hadi juzuu ya ngapi? Let me know bro if you don't care
Mkuu, kuna kaskazini na kusini, tena kuna mashariki na magharibi halafu kuna ardhi na mbingu, mwisho upi wa Dunia usiokuwepo unaomaanisha bwana Taikon!?Dunia Haina mwisho hii Mkuu
Nataka kujua kwa nini waarabu wanachukiwa Duniani huko Twitter (X) kumechafuka.
Dhihaka, kejeli na Lugha mbaya kwa waarabu na waislam zimetawala.
Kwa nini hivi?
Mbona wengine wanalipua wanawake na watoto wasio na hatia wakati mauaji yameharamishwa kwenye kitabu chao?Sa mbona mnaalalisha yaliyoharamishwa kwenye kitabu chenu!!?