Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Sawa myahudi wa chanikaAiseeh!
Hii vita ya Israel Vs Hezbollah na haya mauaji ya safu ya UONGOZI wa Hezbollah ukisoma huko mitandaoni hasa mtandao X na Facebook utagundua Waarabu hawapendwi Dunia nzima.
Sio China, India, Pakistan, Ulaya ndio usiseme, Amerika na hata huku Afrika.
Sijajua tatizo ni nini. Hivi mchina anamaslahi gani na Muarabu na sikumbuki kama historia iliwahi kuwakutanisha,
Muafrika tunaweza kusema labda ni kutokana n biashara za utumw zilizofanywa na Waarabu au Jamii za kiislam akiwepo Mansa Musa aliyevunja rekodi ya kuuza watumwa zaidi ya Laki Mbili.
Swali linakuja, nini kinafanya waarabu wachukiwe?
Myahudi ni bingwa wa hizi kazi waarabu watulie tu
USSR
Sawa myahudi wa chanika
Kwasababu dini yao inapinga ushoga na wizi
Fuatilia vizuri.......Dini zote zinapinga ushoga.
Labda useme Dini ipi haipingi ushoga
Fuatilia vizuri.......
Mtibeli wa chanika?Mimi ni Mtibeli
Nijibu kwa nini hali hii ipo hivi? Kama unajua lakini kama hujui pita hivi
Wakati mwingine nafikiri labda ni wivu na husuda kwa waarabu kwa kuwa wamejaliwa mafuta. Wivu upo!!
Mtibeli wa chanika?
Kwa sababu ya tabia yao mbaya ya ugaidi na kuona dini yao ni bora kuliko wengine
Kakutana na kiboko yao Yahudi
Dunia lazima ifurahi bhana
Watoto wa nje ya ndoa hua wanapendwa na watoto halali wa ndoani?
Iran na Urusi,mbona marafiki mkuu na china nkAiseeh!
Hii vita ya Israel Vs Hezbollah na haya mauaji ya safu ya UONGOZI wa Hezbollah ukisoma huko mitandaoni hasa mtandao X na Facebook utagundua Waarabu hawapendwi Dunia nzima.
Sio China, India, Pakistan, Ulaya ndio usiseme, Amerika na hata huku Afrika.
Sijajua tatizo ni nini. Hivi mchina anamaslahi gani na Muarabu na sikumbuki kama historia iliwahi kuwakutanisha,
Muafrika tunaweza kusema labda ni kutokana n biashara za utumw zilizofanywa na Waarabu au Jamii za kiislam akiwepo Mansa Musa aliyevunja rekodi ya kuuza watumwa zaidi ya Laki Mbili.
Swali linakuja, nini kinafanya waarabu wachukiwe?
Iran na Urusi,mbona marafiki mkuu na china nk
Source yao ni Ismael mtoto wa nje ya ndoa, pia dini yao ipo kichuki chuki tuu ndio maana hawapendwi