Ninaposema msilipe mamilioni kuwasomesha watoto wenu English Medium huwa namaanisha mambo kama haya

Hiyo ni kwa mujibu wa uviccem amaπŸ€ͺ
 
Na ww unafikil n kwann karibu kila nchi wanalugha kuu inayo tumika kufundishia na ndo inayo tumika kuzungumzwa katika taifa usika.

Tofaut na tz kuna kugha ya kufundishia shule za msingi ambayo ndio lugha ya kufundishia na ndio lugha kuu ya kuzungumza katika taifa af kuna lugha ya kufundishia seco had elimu ya juu.

Apo ndo mnapo changanya mafail ya ubongo badala ya ku ubrain wash mnazid umix kama taa za disco kwa mgonjwa wa kifafa.
 
Hao watu wako mbali sana tena sana.

Wewe fikiria kama wametutengenezea hii mifumo: dini, utawala, siasa, uchumi, teknolojia nakadhalika, wao wako wapi?

Sorry to say this but that is the truth waafrika ndio daraja la mwisho kabisa la watu duniani, ambao hatujui chochote. Elimu yetu ni kwa ajili ya huduma na ujira.
 
Kwa ajili ya kufafanua.

Lugha ni kwa ajili ya mawasiliano.

Elimu kwa yenyewe ndio inatangulia hiyo lugha. Kwa maneno mengine unahitaji uwe na elimu ili uweze kuwasiliana. Kwa hiyo elimu ni kwa ajili ya lugha na sio lugha kwa ajili ya elimu.
 
Wanapewa cadaver (Google that). Hawawezi kupewa mwili wa ajali(tena ajali ya bodaboda), wanapewa mwili uliokamilika ili waweze kuusoma vizuri
 
Kwa ajili ya kufafanua.

Lugha ni kwa ajili ya mawasiliano.

Elimu kwa yenyewe ndio inatangulia hiyo lugha. Kwa maneno mengine unahitaji uwe na elimu ili uweze kuwasiliana. Kwa hiyo elimu ni kwa ajili ya lugha na sio lugha kwa ajili ya elimu.
Sasa let hyo elimu bila lugha husika uone ya. Ni sawa saiv ubadikishe mtaala wa elimu ya chin uandaliwe kwa kiswahilafu watu wasome in 30 yrs na zaid wasomi china watapungua trust me.
 
Sitasahau yule nesi tu pale muhimbili anatushauri tukamuanzishe mgonjwa wetu Clinic ya kansa kwa dalili alizoona tu yeye kuwa inaweza kuwa ni kansa na wakati bado mgonjwa hajaonana na daktari na kufanyiwa kipimo ambacho ndio ingejulikana shida ni nini, alitupa hadi yake ya simu tukitaka kwenda tumpigie kwanza yeye.
 
Nesi mwenyewe usikute ana DIPLOMA tu, tena ya kugegedwa na lecturer.

Halafu ati ndio akuponye kansa!! Thubutuuuuuu!!!

Yeye anafuata maelekezo ya wizara tu hana alijualo.
 
Kwa ajili ya kufafanua.

Lugha ni kwa ajili ya mawasiliano.

Elimu kwa yenyewe ndio inatangulia hiyo lugha. Kwa maneno mengine unahitaji uwe na elimu ili uweze kuwasiliana. Kwa hiyo elimu ni kwa ajili ya lugha na sio lugha kwa ajili ya elimu.
100% right
 
Kwa hiyo wenzake wa darasa lake wote wapo majuu kwa kuwa wana exposure?Tusaidie wapo wapi tafadhali
 
Niliwahi kufanya kazi na mtoto wa kigogo kasomea Nje ya Nchi kwa Hundreds of milions........hiyo pesa tuliokuwa tunalipwa sasa nikajisemea huyu jamaa kaenda kusomea ujinga( in Faiza' s voice)
Inawezekana wewe ndo mwenye shida, maana inaonekana upo motivated sana na pesa, kwahiyo unadhani kila mtu anafanya decision kuangalia pesa.
 
Soma tena mada ilikuwa abby chams.

Kama wamesoma shule za 40M+ unafikri watakuwa kama sisi wa kajamba nani mkuu?
Kinachowafanya wasiwe kama wewe sio Shule ya 40M bali familia zao ziko vyema


Yaani hao hata wasiposoma wewe kajamba nani humfikii.

So tayari wana connections hata kabla ya hizo shule za Kishua.

Msichanganye vitu viwili hapo.
 
Mzungu haamini kama mweusi anasoma, ndio maana ukifika majuu na shahada zako wanakurudisha darasani kupigwa msasa usilishe matango watoto wao.

Na ukifuzu hata uwe profesa, utakuwa chini ya watu. Profesa aliyesoma bongo, kule ni tutor tu
 

Soma tena mada ilikuwa abby chams.

Kama wamesoma shule za 40M+ unafikri watakuwa kama sisi wa kajamba nani mkuu?
Ndo utuambie walipo ,nimesoma kayumba ila karibu 75% tulifanikiwa kufaulu kwenda high schools to universities+colleges na sasa tumesambaa nchi nzima wengine ni mainjinia ,madaktari ,MACO,Walimu na wahadhiri one of them UDSM but kati yetu wote kuna njemba inatuburuza kwa utajiri na ilipata div 4 point 26.Ana utajiri unaokadiriwa kufikia 2 bilions na bado hapoi hope by 45 atakuwa ana atleast 40+ bilions kwa mwendo anaokwenda nao , huyu naye ana exposure ipi? Je,wanae watalingana kimaisha na mfanyakazi wa UN ambaye analipwa 4millions per month ambaye akiondoka tu duniani UN wanaajiri mtu mwingine wanamsahau ghafla tu na familia yake inarudi kwenye msoto maana waliishi kwa kutegemea mshahara huo tu wakasoma hizo Feza Schools then wanabeba vyeti kusaka kazi mguu kwa mguu!? Mimi naamini ishu ya mafanikio ya mtu haijalishi kasoma Kayumba au wapi huko International schools sana watoto wanatengenezewa connections tu kutokana na kipato cha wazazi wao sio kwa kuwa they are better than Kayumba students kuihudumia jamii ndiyo maana hata hao wa shule hizo wengi wao hatuwaoni wakiwa tofauti na hawa waliosoma kayumba ukiwatenganisha wao na mitaji ya wazazi wao.

Mfano ishu ya Fernandez hiyo ni akili ya kibiashara tu alipokuja na ishu ya NALA fedha ya home ilimpush kutoka kufeli kidato cha nne hadi kufika Havard na kuwa successfull huko kuendelea lakini ikumbukwe business huenda ndicho kilikuwa kipaji chake tangu awali kwingine alikuwa anazunguka tu.Ndicho mtoa post anazungumzia kwamba besides kusoma huku au kule reflection ya elimu ya gharama inayolipiwa katika shule hizo haionekani katika maisha yetu kama taifa kwa namna tarajiwa.Mfano yupi ni mwl bora kati ya graduate wa kayumba na huyu wa hizo shule za multi millions ? Wapime kisha leta mrejesho.

Kuhusu huyo Adams ninawaza tofauti kidogo kwa mfano hai tu Diamond kasoma kayumba tu ila mafanikio yake tu kimziki anawazidi waliosoma kokote hata waliosomea muziki wenyewe iwe Harvad au kwingine (wa hapa kwetu).Diamond ana exposure kubwa kwa sababu ya talent yake tu not shule aliyosoma na ndiyo hapo tunaposema unapaswa kutazama vema elimu ya wanao inalenga nini zaidi maana maisha halisi yana mitaala kibao ambayo ukiizingatia tu utaisaidia jamii na kufanikiwa pakubwa wewe binafsi.
Simu yako ikifa hapa unamkimbilia std 7-Form 4 ndo akutengezee maana wengi wao wapo hapo kielimu na watakupiga bei wanayotaka na utakubali kisa shida yako maana huna elimu ya wanachofanya kuiponya simu yako japo una degrees za hizo international schools maana wao wana degrees kwenye angle nyingine ya maisha ambayo mtaala hauitambui rasmi.
Unafahamu kwamba screen ya simu yako ya Tsh milion 1 inauzwa Tsh 50000 tu ila fundi anakuhenyesha anakwambia kuiweka mpya na ufundi ni tsh 300000 na unatoa unampa kwa pongez kibao wakati ni kazi rahis tu!? Yaani yeye kutengeneza 1mil anaweza kuhitaji wateja watano tu kwa siku moja sema tu kutunza pesa ndo hawajui ila hawa wanathibitisha kuamini sana elimu ya kukariri darasani ni ujinga kimtindo na tuwaepushe watoto na elimu hii inapobidi tudeal na vitu vinavyoigusa jamii moja kwa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…