Ninaposema msilipe mamilioni kuwasomesha watoto wenu English Medium huwa namaanisha mambo kama haya

Mimi naamini ishu ya mafanikio ya mtu haijalishi kasoma Kayumba au wapi huko International schools sana watoto wanatengenezewa connections tu kutokana na kipato cha wazazi wao sio kwa kuwa they are better than Kayumba students
Hii ndio Point Mtoto wa Tajiri ambaye analipiwa Ada 10M


Anapofanikiwa sio kwa sababu amesome St Kansiime.

Ni kwa sanabu tayari mzazi wake ana potential kwa hiyo usijw ukajikakamua mambo usiyoyaweza.

Mzazi mwenye uwezo huo u can imagine kwamba Watoto wake hata wasiposoma wanakua juu tu.
 
Kupasua mwili wa binadamu sio ishu sana, unahitaji mkasi na kisu tu.

Hata teja wa barabarani ukimfundisha basics za HUMAN ANATOMY anaweza kupasua tumbo na kulishona.

Hiyo siyo elimu ya KUFIKIRI. Hiyo ni elimu ya KUSOMA na KUKARIRI NOTES.
Unasema kweli niliwahi kuona jamaa ni darasa la 7, alianza akiwa anafyeka majani hospitalini baadae akawa nesi, akawa msaidizi wa daktari mpasuaji, mpaka anafanyiwa zengwe kwenye hiyo hospital naye alikuwa akipasua wagonjwa mbalimbali walioletwa hospital hiyo na wakakuta daktari mpasuaji hayupo, ameokoa maisha ya wengi sana.
 
Ile kazi wee aacha tu, hivi ulishawahi kuingia chumba cha upasuaji wakati hilo zoezi linaendelea? Binafsi siwezi kufanya hiyo kazi hata kwa sh?
 
Ulisemalo ni kweli lkn shida ni kwamba hawa watoto wa private school wamekuwa kama kuku wa nyama na kuku wa kienyeji, ukiwaweka pamoja huko mbele uwezo wa kufikiri ni tofauti yaani kwa maana nyingine huyu ana div 1, na huyu ana div 3 hawa wote wakikutana A level su chuoni wa st kayumba mwenye div 3 anao uhakika wa kusonga mbele kukiko huyu wa div 1 wa private/english medium. Hizi shule wakati mwingine zinaharibu watoto.
 
Hiv haya mawazo unaongelea kuwaambia jamii ya kitanzania au unaiambia dunia mkuu. Ushawah kufanya tafiti hizo nchi zilizoendelea au Asians wao walifanyaje hilo eneo.
 
Tell him
 
🤣🤣🤣🤣
 
100% correct
 
100% correct
 
Kinachowafanya wasiwe kama wewe sio Shule ya 40M bali familia zao ziko vyema


Yaani hao hata wasiposoma wewe kajamba nani humfikii.

So tayari wana connections hata kabla ya hizo shule za Kishua.

Msichanganye vitu viwili hapo.
100% correct
 
Mkuu unatuchanganya maana unazungumzia vitu viwili kwa wakati moja Yani mtoto kusoma English medium na kusoma Udaktari, kwani hao ambao hawasomi English medium unafikiri hawasomei Udaktari?
 
Mkuu unatuchanganya maana unazungumzia vitu viwili kwa wakati moja Yani mtoto kusoma English medium na kusoma Udaktari, kwani hao ambao hawasomi English medium unafikiri hawasomei Udaktari?
Ndio maana nimesema hakuna umuhimu wowote wa kulipa mamilioni kwenye English Mediums kwa sababu mwisho wa siku wote wanaenda kusomea ujinga so mzazi huna sababu yoyote kujitoil kulipa mamilioni English Mediums
 
Hoja yako ingekuwa na mashiko na ila ulivyoanza kuzungumzia vitu ambavyo haviusiani na usivyovielewa umefanya ikawa uharo means hujui hata chochote kuhusiana na hoja hako
 
Yaani hawa madakitari wako wengi sana mambo mengi wanakopi toka ulaya ma asia madakitari wa tanzania hakuna wanachogundua hawawezi hata kutengeneza madrip ya kuongezea mgonjwa maji mwilini
Magufuri aliwashawishi weeee hakuna kitu akasema kaeni mini nitawapa fedha lakini wapi.
…..akisoma phd anataka akagombee ubunge kwa sababu ubunge una miokoto mingi
 
100% correct
 
Hoja yako ingekuwa na mashiko na ila ulivyoanza kuzungumzia vitu ambavyo haviusiani na usivyovielewa umefanya ikawa uharo means hujui hata chochote kuhusiana na hoja hako
Alie muelewa huyu mlevi naomba anieleweshe tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…