HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hiyo haiwezi nyenyua ile ndege hata ikiwa tupu.
Ile ATR 42 ikiwa tupu ni 11.7T
Helicopter hiyo ya Airbus ni 5.T lift capacity
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo haiwezi nyenyua ile ndege hata ikiwa tupu.
MV NyerereHii ajali ukiangalia kwa upana na marefu yake. Ni ajali ya kukosa uwajibikaji. Yani tumerudi kule tumetoka. Jiulize angekuwa hai Mzee Magu.... End
Sawa mtaalam.Hiyo haiwezi nyenyua ile ndege hata ikiwa tupu.
Ile ATR 42 ikiwa tupu ni 11.7T
Helicopter hiyo ya Airbus ni 5.T lift capacity
Tena muda mwingine hicho kiboti kidogo cha uokoaji kilichopaki pembeni hata mafuta hakina yaani ikitokea ajali hakiwaki...... Sisi ni bado saana mkubwa.!Habari
Mimi nitazungumzia vitu vichache tu kati ya vingi vilivyojitokeza jana ambavyo vinaonyesha ufinyu wa akili wa viongozi wetu ambao ndio wanawakilisha uhalisia wa wananchi.
1. Ziwa Victoria pamoja na ukubwa wake na umuhimu wake kiuchumi serikali haijaweka boti angalau 4 za dharura kwaajili ya kufanya uokoaji na dharura.
2. Kuajiri kwa uchache Askari na maafisa wa jeshi la zimamoto na uokoaji pamoja na kuwapa vitendea kazi vichache . Jeshi la zimamoto na uokoaji lina watumishi wachache sana na vitendea kazi pia vichache. Hakuna KITUO CHA jeshi la zimamoto na uokoaji kando ya ziwa ili kudeal na dharura za ziwani.
3. Viongozi haraka wamekimbilia kutoa majibu ya sababu ya ajali ile ndani ya masaa machache ili kulinda ugali wao. Ni wazi Mwafrika kakosa utu na ni mbinafsi asiyekubali kuachia nafasi.
Maelfu wanavushwa na vivuko hapa Tanzania kila siku huku pembeni kuna kiboti kidogo cha uokoaji kinachoweza kuokoa watu 10-20 huku kivuko kina maelfu ya abiria. Hili nalo muende mkalitizame. Na ajabu zaidi kiboti hicho kidogo cha uokoaji kimepark pembeni hakina hata habari.
Mama anayesufiwa anatoa tamko la kijana mwokoaji aajiriwe Jeshi la maji, badala ya kutafakari wapi palikuwa na tatizo kwenye uokoaji na bila kuwa na vifaa !! Angetoa tamko la kununua boti ya mwendo Kasi ya uokoaji tungemwelewa.Hii ajali ukiangalia kwa upana na marefu yake. Ni ajali ya kukosa uwajibikaji. Yani tumerudi kule tumetoka. Jiulize angekuwa hai Mzee Magu.... End
Mkuu, hilo ndilo kinaloumiza, ungetembea baada ya ajali ya Mv Bukoba, vitengo vya ukoaji na boti maalumu kwa ajili ya kazi hiyo ningeanzishwa Mwanza, Bukoba na Kigoma, ili kukabiliana na ajali zinatokea katika ziwa Victoria na Tanganyika....Na Ajali Ile ya Meli pale Mwanza Miaka Michache nyuma inaelekea haikufundisha lolote licha ya Matamshi Kadhaa ya Kisiasa yalitolewa wakati ule!!
Hapo ni divers ndo walikuwa wa muhimu, hakuna helicopter ingesaidia kituSawa mtaalam.
Basi ingekuwepo around pamoja na divers waokoe watu.
🤣🤣🤣🤣nalo muende mkalitizame
Wanajeshi wanahusikaje hapo??? Uliza kazi ya jeshi la zima moto na uokozi linakazi gani? Kusubiri moto?? Uliza tena vituo vyao kwa nini vipo mjini peke yake? Ziwani na vijijini hakuna majanga??? Ziara ikatizwe.Naomba kufahamishwa kazi ya wanajeshi wetu wa Navy tafadhali.
Mimi nimeuliza swali maana yake sikuwa nafahamu. Ila tayari nimeshaelimishwa. AsanteWanajeshi wanahusikaje hapo??? Uliza kazi ya jeshi la zima moto na uokozi linakazi gani? Kusubiri moto?? Uliza tena vituo vyao kwa nini vipo mjini peke yake? Ziwani na vijijini hakuna majanga??? Ziara ikatizwe.
Watu washakuwa na vitambi, hawawezi kazi za shurubaNaomba kufahamishwa kazi ya wanajeshi wetu wa Navy tafadhali.
Yaan mnamaanisha siku tunavamiwa tunakufa km Kuku huku wao wakiwa wamekaa tu pembeni wanatuangalia tu tunavyokufa wakiwa wanasubiria amri kutoka juu au sijaelewa mkuu?Tuendelee tu kuwa waoga kwa kisingizio cha amani lakini ukweli ni kwamba siku tunavamiwa na jeshi la nchi nyingine tunaweza tukateketea kama kuku.
😀😀 hilo nalo linawezekana.Yaan mnamaanisha siku tunavamiwa tunakufa km Kuku huku wao wakiwa wamekaa tu pembeni wanatuangalia tu tunavyokufa wakiwa wanasubiria amri kutoka juu au sijaelewa mkuu?
Duuuh alafu wananchi wakaanza kujipambania na silaha za kijadi, itakua kubwa kuliko hio itavunja rekodi dunia nzima😀😀 hilo nalo linawezekana.
Au wanaweza wakaja vitani bila silaha
Hatushindwi kitu sie😀Duuuh alafu wananchi wakaanza kujipambania na silaha za kijadi, itakua kubwa kuliko hio itavunja rekodi dunia nzima
Kabisa mkuu, hakuna namna itabidi iwe hivyo tuHatushindwi kitu sie😀
Unaambiwa kila Halmashauri ina Kamati ya MaafaRescue facilities siyo boti tu...na ukitaka kuweka kila sehemu ni ghali kwetu sisi,siami kwamba hakuna patrol boats Viktoria..lakini moja itasaidia nini!?
Kwani PM alisemaje mkuu?Mimi lawama zote nawarushia CCM maana ndiyo Serikali inayoongoza nchi.
Serikali ya CCM inaona ma Toyota VX V8 ni muhimu kuliko uhai wa mwananchi.
Kiongozi wa CCM anakurupuka na matamko ya kisiasa, aache watu wa plane crash investigation wafanye kazi yao.
Hii nchi msishangae kusikia Black box imeibiwa ili tu kufanya uchunguzi wa kitaalamu usifanyike kumlinda PM na kauli yake asije akaumbuka.